BREAKING NYUZZZ: BASI LA PRINCESS MURO LAPATA AJALI JIONI HII ENEO LA MIKUMI MKOANI MOROGORO

Baadhi ya abiria waliokuwemo kwenye basi la Princess Muro walilokuwa wakisafiri nalo kutoka Mkoani Mbeya kuja jijini Dar es Salaam wakiwa hawajui la kufanya baada ya Basi hilo kupinduka jini hii katika eneo la Hifadhi ya Wanyama ya Mikumi,Mkoani Morogoro.
TAARIFA KAMILI ITAWAJIA BAADAE KIDOGO.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

GPL

BASI LA PRINCESS MURO LAPATA AJALI MIKUMI MKOANI MORO

Basi la abiria la kampuni ya Princess Muro likiwa limepata ajali eneo la Mikumi mkoani Morogoro muda mfupi uliopita. BASI la abiria la kampuni ya Princess Muro lililokuwa likitoka Njombe kwenda Dar limepata ajali eneo la Mikumi mkoani Morogoro na kujeruhi watu kadhaa. Katika ajali hiyo, hakuna aliyepoteza maisha. (PICHA NA MDAU WA GLOBAL WHATSAPP, KAMA UNA MATUKIO KAMA HAYA, TUTUMIE KUPITIA NAMBA YETU YA WHATSAPP 0753 715… ...

 

4 years ago

Vijimambo

BREAKING NEWS: BASI LA SIMIYU LILILOKUWA LINATOKEA MWANZA KWENDA DAR LAPATA AJALI MKOANI DODOMA

Taarifa za mwanzo kutoka mkoani Dodoma zinasema kuwa Basi la Simiyu Expresslimepata ajali eneo la Chalinze - Mbande mkoani Dodoma na zaidi ya Abiria takribani 20 wamefariki dunia usiku huu, huku zaidi ya abiria zaidi ya 40 wamejeruhiwa vibaya baada ya basi la kampuni ya SIMIYU EXPRESS walilokua wakisafiria kutoka Mwanza kwenda Dar es Salaam kupasuka tairi na kuacha njia na kugonga mbuyu na kisha kupinduka.Taarifa zinasema ajali hiyo ni mbaya sana kuwahi kutokea mkoani Dodoma, hadi hivi sasa...

 

3 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZ....: Balozi Mwapachu arejea CCM jioni hii

Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Balozi Juma Mwapachu akipokea Kadi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), kutoka kwa Mwenyekiti wa CCM Kata ya Mikocheni,Jijini Dar es salaam jioni hii, baada ya kutangaza kurejea kwenye Chama chake hicho cha awali alichokihama mwishoni mwa mwaka jana.Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Balozi Juma Mwapachu akizungumza mbele ya Wanachama na Makada wa CCM waliofika Ofisi ya chama hicho, Kata ya Mikocheni jijini Dar baada...

 

5 years ago

Michuzi

BASI LA DAR EXPRESS LAPATA AJALI ENEO LA WAMI


Bari mali ya kampuni ya Dar Express iliyokua ikitokea jijini Dar na kuelekea Jijini Nairobi,Nchini Kenya limepata ajali mapema leo asubuhi katika eneo la kijiji cha jirani na Mto Wami.Chanzo cha ajali hiyo hakijajulikana. Abiria wengi wamenusurika na kufanikiwa kutoka,japo kuna wachache ambao wamejeruhiwa.

 

3 years ago

Global Publishers

Breaking News: Basi la Luwinzo lapata ajali Mufindi

luwinzo (1) luwinzo (2)Ajali ilivyotokea mapema leo asubuhi.
luwinzo (4)Shughuli za kuwaokoa walionusurika na ajali.

AJALI mbaya imetokea leo asubuhi baada ya basi la abiria mali ya Kampuni ya Luwinzo linalofanya safari zake kati ya Dar es Salaam na Njombe, kugongana na lori wakati basi hilo likiwa linatoka Njombe kuelekea Dar es Salaam na kusababisha watu kadhaa kupoteza maisha na wengine kadhaa kujeruhiwa.

Ajali imetokea katika eneo la Kinegembasi, Kata ya Mbalamaziwa wilayani Mufindi mkoani Njombe.

 

4 years ago

Vijimambo

LORI LALIPUKA ENEO LA MIKUMI MKOANI MOROGORO

Tumepokea picha ya tukio la ajali ya Lori lililokuwa limebeba mapipa ya lami ambalo limeshika moto mapema leo asubuhi maeneo ya Mikumi, Morogoro.chanzo cha mlipuko huo bado hakijafahamika mpaka sasa na bado hatujapata taarifa kama kuna aliepoteza maisha au kupatwa kwa majeruhi.Chini ni ujumbe kutoka kwa mdau wetu alietuletea taswira hizi kuhusiana na hali ya barabara hiyo.''Kama una safari ya kwenda Iringa-Mbeya au kama unapokwenda utapita mikumi basi sitisha safari kwani njia inefungwa...

 

3 years ago

Dewji Blog

News Alert: Ajali ya basi la Lupondije Express lapata ajali Mkoani Iringa, lilikuwa likitokea Mwanza

Kutoka Mkoani Iringa ni kuwa usiku huu, imetokea ajali mbaya iliyosababisha watu  zaidi ya   wanne  kufa  papo  hapo na  wengine  zaidi ya 20 kujeruhiwa  vibaya  baada  ya  basi lenye  namba  za  usajili    T 798 AKV mali ya Lupondije Express Kutoka  Mwanza kuingia Mkoani Iringa  kupinduka  eneo la  Mteremko  wa Ipogolo  mjini  Iringa  wakati basi hilo   likielekea  kufaulisha  abiria  wa  Mbeya.

Kwa mujibu wa taarifa zilizoripotiwa kutoka Mkoani Iringa,  zimeeleza kuwa baadhi ya  abiria   ...

 

1 year ago

Michuzi

Ajali ya gari aina ya Toyota Noah Kilombero- Mikumi mkoani Morogoro

 Wasamaria wema akiwemo Mwandishi wa habari na mpiga picha wa Kituo cha ITV , Mkoa wa Morogoro, Hussein Nuha wakitoa msaada wa kusaidia mmoja wa majeruhi ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja ambaye ni dereva wa gari Toyota Noah namba ya usajili T 782 DKV  inayofanya safari zake mji wa Ruaha   Kilosa - Mikumi baada ya gari hiyo kupinduka  eneo la Kijiji cha Lumango, katika  kona kali ya barabara ya Kilombero- Mikumi  katika ajali hiyo hapakutokea kifo chochote na majeruhi wote...

 

4 years ago

GPL

AJALI: BASI LA ABILIA LAGONGANA USO KWA USO NA FUSO LA NYANYA ENEO LA MIKUMI

Watu wawili wamefariki dunia papo hapo na wengine watatu kujerihiwa baada ya basi la FM Safari likitokea Dar es Salaam kwenda mkoani Mbeya kugongana uso kwa uso na Fuso iliyo sheheni nyanya katika eneo la hifadhi ya mikumi barabara ya Morogoro-Iringa. Mashuhuda wa ajali hiyo wamesema chanzo cha ajali hiyo ni dereva wa basi kutaka kulipita gari lingine na hivyo kugongana uso kwa uso ambapo wametupia lawama baadhi ya abiria...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani