BREAKING NYUZZZZ.....: RAIS DKT. MAGUFULI ATEUA WAKUU WAPYA WA MIKOA, LEO MARCH 13.2016

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa wakuu wa Mikoa 26 ya Tanzania Bara, ambapo kati yao 13 ni wapya, 7 wamebakizwa katika vituo vyao vya kazi, 5 wamehamishwa vituo vya kazi na 1 amepangiwa Mkoa Mpya wa Songwe.
Uteuzi huo umetangazwa na Kaimu Katibu Mkuu Kiongozi, Mhandisi Mussa Ibrahim Iyombe leo tarehe 13 Machi, 2016 Ikulu Jijini Dar es salaam.
Wakuu wa Mikoa walioteuliwa ni kama ifuatavyo;1. Mh. Paul Makonda - Mkuu wa Mkoa wa Dar es...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Dewji Blog

Breaking News: Rais Magufuli ateua Wakuu wa Wilaya na Mikoa wapya, wapo hapa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 26 Juni, 2016 amefanya mabadiliko madogo katika safu ya wakuu wa mikoa na amewateua wakuu wa wilaya 139.

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi amesema katika mabadiliko hayo Rais Magufuli amemteua aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Sengerema Bi. Zainab R. Telack kuwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga.

Bi. Zainab R. Telack anajaza nafasi iliyoachwa wazi na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Bi. Anna Kilango Malecela ambaye uteuzi...

 

4 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE ATEUA WAKUU WA MIKOA WAPYA WANNE, AHAMISHA SITA, WATATU WA ZAMANI AWAWEKA KIPORO, PIA ATEUA MAKATIBU WAKUU WANNE WAPYA WA WIZARA NA KUHAMISHA MMOJA.

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
Telephone: 255-22-2114512, 2116898
E-mail: ikulucommpress@googlemail.com
Website : www.ikulu.go.tz   Fax: 255-22-2113425
PRESIDENT’S OFFICE,STATE HOUSE,1 BARACK OBAMA ROAD,11400 DAR ES SALAAM.Tanzania.TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amefanya uteuzi wa wakuu wapya wanne wa Mikoa, amewahamisha wengine sita na ameamua kuwa wengine watatu watapangiwa kazi...

 

3 years ago

CCM Blog

RAIS MAGUFULI ATEUA WAKUU WAPYA WA WILAYA NA KUFANYA MABADILIKO KATIKA BAADHI YA MIKOARais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 26 Juni, 2016 amefanya mabadiliko madogo katika safu ya wakuu wa mikoa na amewateua wakuu wa wilaya 139.Rais Magufuli Ateua Wakuu Wa Wilaya Na Kufanya Mabadiliko Madogo Ya Wakuu Wa Mikoa

 

4 years ago

GPL

RAIS KIKWETE ATEUA WAKUU WA MIKOA WAPYA

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amefanya uteuzi wa wakuu wapya wanne wa Mikoa, amewahamisha wengine sita na ameamua kuwa wengine watatu watapangiwa kazi nyingine. Taarifa iliyotolewa mjini Dodoma jioni ya leo, Jumatano, Novemba 5, 2014 na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue inasema kuwa, Wakuu wapya wa Mikoa ni Bi. Halima Omari Dendego ambaye anakuwa...

 

3 years ago

Dewji Blog

News Alert: Rais wa Zanzibar Dk. Shein ateua Wakuu wa Wilaya na Mikoa wapya

Rais Wa Zanzibar na Mwenyekiti Wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (Pichani) amefanya uteuzi Wa wakuu Wa Mikoa na Wilaya Kama ifuatavyo:- Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe. Ayoub Mohamed Mahmoud, Mkuu Wa Mkoa Wa Kaskazini Unguja Mhe. Vuai Mwinyi Mohamed.

Aidha, Wakuu Wa Mikoa ambao Mikoa yao haikutajwa watakuwa wanaendelea na nyadhifa zao kama kawaida.

Kwa upande wa Wakuu Wa Wilaya: Mkuu Wa Wilaya ya Mjini Mhe. Marina Joel Thomas, Mkuu Wa Wilaya ya Magharibi ‘B’ Mhe. Silima Haji...

 

4 years ago

GPL

2 years ago

Michuzi

Breaking Newzzzzz:Rais Magufuli afanya mabadiliko ya Makatibu wakuu, Naibu Katibu Wakuu na Wakuu wa Mikoa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 07 Desemba, 2016 amefanya uteuzi wa Katibu Mkuu mmoja na Mkuu wa Mkoa mmoja na pia amefanya mabadiliko madogo katika Wizara na Mikoa kama ifuatavyo;Dkt. Magufuli amemteua Prof. Faustin Kamuzora kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais.Kabla ya uteuzi huo, Prof. Kamuzora alikuwa Katibu Mkuu Mawasiliano.Rais Magufuli amemteua Mhandisi Mathew Mtigumwe kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Uvuvi na Mifugo...

 

1 year ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZ: RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AFANYA UTEUZI WA VIONGOZI MBALIMBALI IKULU JIJINI DAR LEO

Rais Dkt. John Pombe Magufuli leo Oktoba 26, 2017 amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali  wakiwemo Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu wa Wizara, Mabalozi pamoja na Wakuu wa Mikoa. Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi akisoma majina ya  walioteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani  Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam leo Oktoba 26, 2017
Uteuzi wa Makatibu Wakuu na Manaibu wao

Ofisi ya Rais Ikulu - Katibu Mkuu Alifayo Kidata

Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi...

 

3 years ago

Bongo5

Rais Magufuli ateua wakuu wa wilaya 139 wapya

Taarifa iliyotoka Ikulu ya Tanzania June 26 inasema Rais John Pombe Magufuli amefanya mabadiliko kwenye nafasi za wakuu wa Mikoa pamoja na wakuu wa Wilaya. Kwenye mabadiiko hayo amewateua jumla ya wakuu wa wilaya 139.

Mabadiliko haya yanamhusu aliyekua mkuu wa Wilaya ya Sengerema Bi.Zainab R. Telack kuwa mkuu mkoa wa Shinyanga ambaye anajaza nafasi iliyoachwa wazi na aliyekua mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Bi.Anna Kilango Malecela.

Mwingine aliyehusishwa na mabadiliko haya ni pamoja na Dkt...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani