BREAKING NYUZZZZ.....: WATU WAWILI WATIWA MBARONI KWA TUKIO LA UJAMBAZI KARIAKOO MCHANA HUU

 Watuhumiwa wa Tukio la Ujambazi, wakiwa chini ya ulinzi wa Polisi mara baada ya kukamatwa mchana huu katika eneo la Kariakoo, Jijini Dar es salaam.
Sehemu ya Umati wa watu wakishuhudia tukio la kukamatwa kwa Watuhumiwa hao wa tukio la Ujambazi.Taarifa kamili itakujia baadae kidogo.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Michuzi

Wawili watiwa mbaroni katika tukio la Ujambazi,Darajani Zanzibar mchana wa leo

Watuhumiwa wawili katika tukio la Ujambazi lililotokea Mchana wa leo eneo la Darajani Jua Kali,Zanzibar wametiwa mbaroni baada ya kuzidiwa nguvu na wananchi wenye hasira wakati walipokuwa wakiwakimbia Polisi.

Inadaiwa kuwa watuhumiwa hao walikua watatu na walitaka kuiba katika maduka na mawakala wa huduma za pesa yaliyopo eneo la Mnazi,baada ya kushtukiwa walikimbia na kufukuzana na Polisi hadi katika maeneo ya Darajani ndipo wananchi kwa kushirikiana na polisi wakawadhibiti na...

 

4 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZZZ....: WANAOTUHUMIWA KWA UJAMBAZI WA SILAHA WATIWA MBARONI JIJINI DAR

Watuhumiwa wa Ujambazi wakiwa wamewekwa chini ya Ulinzi mara baada ya kutiwa mbaroni kwenye mataa ya Red cross katikati ya jiji Dar es salaam muda huu. inaelezwa kuwa Majambazo hao walimvamia na kumpora raia mmoja wa kigeni (Mzungu) maeneo ya Kinondoni na kufanikiwa kukimbia, lakini kumbe wakati wanafanya tukio hilo kuna raia aliwaona na alijitolea kuwakimbiza kwa gari na kuwanikiwa kuwablock maeneo hayo ya Red Cross ambapo huwa na askari wengi wa doria, wamekamatwa na bunduki mbili.

 

2 years ago

Dewji Blog

Watu wanne watiwa mbaroni kwa tuhuma za ujambazi

Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam kupitia kikosi cha kupambana na ujambazi wa kutumia silaha limekamata watu wanne kwa tuhuma za ujambazi wa kutumia silaha.

Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, Naibu Kamishna wa Polisi wa kanda hiyo, Hezron Gymbi amesema watuhumiwa hao walikamatwa jana maeneo ya Chamanzi muda mfupi baada ya kukutana na kupanga kufanya uhalifu wa kutumia silaha.

Watuhumiwa hao wanaofahamika kwa majina ya Uswege Seleman (23), Hassan...

 

2 years ago

Dewji Blog

Watu wawili watiwa mbaroni kwa kusababisha kifo mjamzito

Watu  wawili wakazi wa kijiji cha Itagata tarafa ya Itigi wilayani Manyoni mkoani Singida, wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma ya kufanya uzembe wa kumchelewesha Heleni Maduhu (29), kitendo kilichosababisha afie  kwenye duka la madawa muhimu.

Watuhumiwa hao ni mume wa Heleni, Bahame Kamuda (32) na mmiliki wa duka la dawa muhimu, Joseph Hengwe.

Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Singida, ACP Debora Magiligimba, alisema tukio hilo limetokea Januari, 25 mwaka huu saa 9:30 alasiri  huko...

 

3 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZ...... MBUNGE TUNDU LISSU APANDISHWA KIZIMBANI MCHANA HUU.

 Mbunge wa Jimbo la Singida Magharibi, Tundu Lissu akifika  katika mahakama ya hakimu mkazi ya Kisutu jijini Dar es Salaam mchana huu. Ikiwa jana Mbunge huyo alihojiwa na Jeshi la Polisi katika kituo cha Polisi cha Kanda maalumu ya Dar es Salaam na kutupwa Rumande mara baada ya kukosa dhamana.
 Mbunge wa Jimbo la Singida Magharibi, Tundu Lissu apandishwa kizimbani mchana huu  katika mahakama ya hakimu mkazi ya Kisutu jijini Dar es Salaam leo.‪  Mbunge wa Jimbo la Singida Magharibi, Tundu...

 

2 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZ.....: JENGO LAPOROMOKA MJI MKONGWE ZANZIBAR MCHANA HUU

Watu wanne akiwemo mama na mtoto wanashukiwa kufukiwa na kifusi kufuatia kubomoka kwa ukuta wa upande wa jengo la ghorofa 3 huko Mji Mkongwe, Zanzibar. juhudi za kuokoa waliofukiwa na kifusi hicho yaendelea.Chanzo cha kuporomoka kwa ukuta huo bado hakijafahamika.
Juhudi za kuokoa watu waliofunikwa na kifusi baada ya kuanguka kwa ukuta wa jengo hilo zikiendelea, Mji Mkongwe Zanzibar mchana huu.Muonekano wa Jengo hilo baada ya kuporomoka.

 

12 months ago

Malunde

WATU WAWILI WATIWA MBARONI KWA KUHUSIKA NA MAUAJI YA KIONGOZI WA CHADEMA

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Slaam linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya aliyekuwa Kiongozi wa chama cha Chadema Kata ya Hananasifu, Marehemu Daniel John.

Akizungumza na wanahabari jana jijini Dar es Salaam, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, SACP Lazaro Mambosasa alisema watu hao walikamatwa majira ya saa nne usiku, Februari 23 mwaka huu maeneo ya Hananasifu Kinondoni.
“Kufuatia uchunguzi unaoendelea juu ya mauaji hayo, walikamatwa watu wawili...

 

2 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZ......: HOTELI YA KCC KIBAHA MAILI MOJA YASHIKA MOTO MCHANA HUU

Moto Mkali ukiendelea kuteketeza eneo la jiko la hoteli ya KCC iliyopo Kibaha Maili Moja, Mkoani Pwani mchana huu. Askari wa zimamoto bado wanaendelea na uzimaji wa moto huo. haijafahakima bado kama kuna mtu aliyepoteza maisha au kujeruhiwa kutokana na tukio hilo la moto. PICHA ZOTE NA CATHBERT KAJUNA WA KAJUNASO BLOG.Moto ukiendelea kuteketeza Jengo hilo.Baadhi ya Askari wa Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji wakiendelea na kazi ya uzimaji wa Moto huo, uliozuka ghafla kutokea katika Jiko la...

 

5 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZ....: MCHEZAJI WA ZAMANI WA TIMU YA SIMBA,GEBBO PETER AFARIKI DUNIA MCHANA HUU

TAARIFA ILIYOIFIKIA GLOBU YA JAMII HIVI PUNDE,INAELEZA KUWA ALIEWAHI KUWA MCHEZAJI WA TIMU YA SIMBA,GEBBO PETER AMEFARIKI DUNIA MCHANA HUU KATIKA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI JIJINI DAR ALIKOKUWA AKIPATIWA MATIBABU YA MRADHI YALIYOKUWA YAKIMSUMBUA.
GLOGU YA JAMII INAFATILIA TARATIBU ZOTE ZA MSIBA HUO NA TUTAENDELEA KUTAARIFIANA KADRI TUTAKAVYOKUWA TUKIZIPATA.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani