Buffon aomba msamaha kwa niaba ya Itali na kustaafu kimataifa

Mlinda lango wa Italia Gianluigi Buffon amesema ''anaomba radhi kwa kila mmoja kwenye soka ya Italia'' kwa kuiaga soka ya kimataifa baada ya kushindwa na Sweden

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

RFI

Papa aomba msamaha kwa niaba ya kanisa Katoliki nchini Rwanda

Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis ameomba msamaha kwa Kanisa kushindwa kuzuia mauaji ya kimbari nchini Rwanda mwaka 1994 lakini pia kwa viongozi wa Kanisa hilo ambao huenda walihusika.

 

3 years ago

Mtanzania

Buffon atangaza kustaafu soka

buffonTURIN, ITALIA

MLINDA mlango wa timu ya Taifa ya Italia na klabu ya Juventus, Gianluigi Buffon, ametangaza kustaafu soka baada ya kumalizika kwa michuano ya Kombe la Dunia mwaka 2018, ambayo itafanyika nchini Urusi.

Mlinda mlango huyo mwenye umri wa miaka 37, anajivunia kuwa na mafanikio makubwa ya kuchukua ubingwa wa Kombe hilo mwaka 2006, akiwa na timu yake ya Taifa, huku akichukua ubingwa wa Ligi Kuu nchini Italia mara sita akiwa na klabu hiyo ya Juventus.

Hata hivyo, mchezaji huyo amedai...

 

4 years ago

BBCSwahili

Gervinho aomba msamaha kwa kadi nyekundu

Mchezaji wa Ivory Coast Gervinho ameomba msamaha baada ya kupewa kadi nyekundu kwa kumpiga mlinzi wa timu ya Guinea Naby Keita

 

2 years ago

BBCSwahili

Aomba msamaha kwa kuwaita wahamiaji ''funza''

Australia imekuwa na sera yenye utata ya kuwazuilia wakimbizi wanaowasili kwa maboti katika vituo vya kuwazuilia wahamiaji karibu na taifa la pacific la Nauru na Papua New Guniea.

 

3 years ago

GPL

BOBBY BROWN AOMBA MSAMAHA KWA KUSAHAU MASHAIRI

Mwanamuziki wa kimataifa wa R&B, Bobby Brown. GEORGIA, Marekani
MWANAMUZIKI wa kimataifa wa R&B, Bobby Brown hivi karibuni aliwaomba msamaha mashabiki waliohudhuria kwenye tamasha lake huko Atlanta, Georgia baada ya kusahau mashairi ya wimbo aliokuwa anaimba hali iliyosababisha yeye na madensa wake kupishana jukwaani. Bobby hakuonekana kabisa mwenye furaha katika tamasha hilo ambalo ni la pili kufanya tangu Januariā€¦ ...

 

2 years ago

VOASwahili

Salva Kirr aomba msamaha kwa watu wake

Rais Salva Kirr wa Sudan Kusini ameomba wananchi wake kumsamehe makosa aliowatendea.

 

2 years ago

BBCSwahili

Papa Francis aomba msamaha kwa mauaji Rwanda

Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani Papa Francis ameomba msamaha kutoka kwa Mungu kwa “dhambi na makosa yaliyotekelezwa na Kanisa na waumini wake" wakati wa mauaji ya kimbari Rwanda.

 

1 year ago

BBCSwahili

Mcheshi aomba msamaha kwa picha ya 'kichwa cha Trump kilichokatwa'

Mcheshi mmoja nchini Marekani ameomba msamaha kuhusu picha ambayo alionekana amebeba kichwa kilichokatwa kinachofanana na na ra Donald Trump .

 

8 months ago

BBCSwahili

Mwanasayansi wa Japan aomba msamaha kwa kudanganya kukua sentimita 9 akiwa angani

Wanasayansi kwa kawaida hukua kwa takriban sentimita 2-5 wanapokuwa katika kituo cha anga za juu

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani