BUJORA DANCE GROUP KUWAKILISHA NCHI NGOMA ZA ASILI, INDIA

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

8 months ago

Michuzi

TULIA TRUST YAWAPELEKA BUJORA DANCE GROUP KUWAKILISHA NCHI MASHINDANO YA DANCE INDIA

Na Zainab Nyamka, Blogu ya jamii
WASHINDI wa Tulia Traditiona Dance Festistal 2017 chini ya Taaisisi ya Tulia Trust Bujora Dance Group la Mkoa Mwanza jana  wameelekea nchini India kushiriki mashindano ya ngoma ya asili yatakayofanyika tarehe 25 na 26 wiki hii.
Akizungumza na vyombo vya habari mmoja wa wanakikundi hao Deogratius Willium ameeleza kuwa walishinda katika mashindano ya Tulia dance mwaka jana na kwa sasa wanaelekea India katika mashindano hayo ya ngoma za asili.
Aidha ameeleza kuwa...

 

8 months ago

Michuzi

BUJORA DANCE GROUP WAREJEA NCHINI KWASHANGWE

Na Agness Francis,Globu ya Jamii.
KIKUNDI cha  ngoma cha Bujora Dance  kililokwenda Nchini India katika tamasha la michezo ya asili Afrika kimerejea nchini. 
Kundi hilo lililofanya vizuri zaidi katika mashindano ya Tulia Traditional Dances Festival 2018  ambao waliibuka kuwa ndio washindi limeifanya Tanzania kuwa kivutio huko nchini India.
Ambapo kundi hilo kutokea mwanza Mei 25 mwaka huu ndio lilianza kufanya kazi hiyo ya michezo  asili ya Mtanzania ambapo waliifanya nchi yetu kuwa kivutio...

 

2 years ago

Malunde

VIDEO ZAIDI YA 100 ZA NGOMA ZA ASILI,FAIDI NGOMA ZA ASILI LEO


Habari za leo mpenzi msomaji wa Malunde1 blog hususani wewe mfuatiliaji wa nyimbo za asili..Leo nimeamua kukuletea  nyimbo zaidi ya 100 za Makabila mbalimbali nchini Tanzania...Zipo za Kisukuma,Kikurya,Kihaya,Kiha,Kijita n.k BOFYA <<HAPA>> KUTAZAMA VIDEO ZOTE

 Au Bofya hapa>>https://goo.gl/14hJsk

NGOMA ZA ASILI

Subscribe Channel Yetu Tukutumie Video zote Mpya

 

4 years ago

GPL

BUJORA MABINGWA BALIMI NGOMA KANDA YA ZIWA 2014

Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Christopher Fuime (kulia) akimkabidhi kikombe kiongozi wa kikundi cha ngoma cha Bujora mara baada ya kuibuka mabingwa wa Kanda ya Ziwa wa fainali za mashindano ya Ngoma za Asili. Baadhi ya wacheza ngoma wa kikundi cha Bujora wakishangilia baada ya kuibuka mabingwa na kukabidhiwa  zawadi ya kikombe pamoja na pesa taslimu shilingi 1,100,000/= Gabriel Ng’osha/GPL KIKUNDI cha… ...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Azania Group kuwakilisha Tanzania michuano ya Road to Anfield

Timu ya Azania Group itawakilisha Tanzania katika mashindano ya kikanda ya Afrika Mashariki ya Benki ya Standard Chartered-Road to Anfield yatakayofanyika uwanja wa Jakaya Kikwete Youth Park Jumamosi, Machi 4.
Azania walipata ushidni huo kwa kuichakaza timu ya H& R Consultacy mabao 6-5 kwa njia ya penalti. Azania sasa wanatarajia kumenyana uso kwa uso na washindi wa michuano hiyo kutoka nchi za Kenya inayowakilishwa na timu ya Radio Capital FM na Timu ya Cocacola toka Uganda.

The post...

 

1 year ago

Malunde

Ngoma ya Asili : KULWA SIMON Ft BEST NASSO..NGOMA KALI BALAA 'KUCHAGULIWA MCHUMBA'Ninayo hapa ngoma mpya ya asili ya Kulwa Simon amemshirikisha Best Nasso inaitwa 'Mila',yupo pia Mchekeshaji Erick.Wimbo unahusu masuala ya 'Kuchaguliwa Mchumba wa Wazazi'.
Tazama ngoma hii hapa chini,weka mbali na watoto kuna viuno vya hatari

 

2 years ago

Michuzi

WANANNCHI WA ZANZIBAR WENYE ASILI YA INDIA WASHEREHIKEA MIAKA 70 YA UHURU WA INDIA.


 Mwananchi wa Zanzibar mwenye asili ya India Bhagwanji Meisuria maarufu kwa jina la (MSHAMBA) akizungumza na waandishi wa habari juu ya namna ya Amani iliyopo Nchini kwa ujumla. Balozi Mdogo wa India Tek Chand Barupal akisalimiana na Wananchi wenye asili ya India wanaoishi Zanzibar katika maadhimisho ya kutimia miaaka 70 ya Taifa hilo iliofanyika katika Ofisi ya Balozi Mdogo wa India iliopo Migombani Zanzibar. Balozi Mdogo wa India Tek Chand Barupal akiwahutubia wananchi wa Zanzibar wenye...

 

3 years ago

Global Publishers

Bombeso Dance Group: Iyobo ametokea kwetu

1.Wakifanya yao ndani ya ukumbi huo.Wakifanya yao ndani ya ukumbi wa Vijana Kinondoni Dar.

2.Burudani kwa kwenda mbele.Burudani kwa kwenda mbele.

3.Wasanii wa kudansi wakiwa katika pozi baada ya mazoezi.Kundi hilo likiwa katika pozi.

4

5Pozi kwa kwenda mbele.

   KUNDI la kudansi lijulikanalo kama Bombeso Dance Group, linalofanya maonyesho yake kwa mialiko ya shughuli mbalimbali za kijamii, limesema kuwa dansa Moze Iyobo, anayefanya kazi kwa msanii nyota Nasibu Abdul  ‘Diamond Platnumz’ alitokea kwao.

Akichonga na mwandishi wetu, Meneja wa kundi hilo, Abubakar Ramadhani alisema lengo lao ni kukuza vipaji vya...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani