BULEMBO AWATAKA WANA CCM KIGOMA KUWA WAMOJA NA KUHAKIKISHA MAJIMBO YOTE YALIYOKO UPINZANI YANAREJESHWA.

Na Rhoda Ezekiel -Kigoma.
MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wazazi Taifa, ambae pia ni mlezi wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Kigoma,Abdallah Burembo amewaagiza Viongozi wapya wa Chama hicho Mkoani Kigoma kuhakikisha Wanayarudisha majimbo ya Kigoma mjini na Kakonko na kata zote zilizochukuliwa na upinzani .
Aidha amewataka kufanya kazi ya chama ya kusimamia ilani ya chama cha mapinduzi kwa kuwatuma kazi Viongozi wa serikali, na kuwakagua kama Wanatekeleza pamoja na kuwaacha Wabunge kufanya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Michuzi

MAGUFULI AWATAKA WANA CCM KUSHIKAMANA NA KUWA WAMOJA HASA KIPINDI HIKI CHA UCHAGUZI.

Dkt John Pombe Magufuli kwa pamoja akicheza wimbo wa Adinselema uliokuwa ukiimbwa na wanachama hao mara baada ya kumpokea na kuamsha shamra shamra na shangwe za hapa na pale.Pichani kulia ni Mke wa Rais na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM,Mama Salma Kikwete akishuhudia.Mgombea Uraisi wa chama cha Mapinduzi Dkt John Pombe Magufuli akipokelewa kwa shangwe na shamra shamra kutoka kwa wanachama na wafuasi wa chama cha CCM waliokuwa wamekusanyika nje ya ofisi za CCM mkoa wa Lindi,alipofika...

 

5 years ago

Habarileo

CCM: Tutarejesha majimbo yote ya upinzani

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema hivi sasa kipo makini kuhakikisha kinaweka udhibiti wa kutosha wa makundi majimboni. Pia chama hicho, kimesisitiza kuwa, kutokana na kukithiri kwa makundi hayo, viongozi wake wa kitaifa wamekuwa hawalali kwa kuangalia namna ya kurejesha majimbo yote ya wapinzani mikononi mwa chama hicho.

 

4 years ago

Vijimambo

KINANA AWATAKA WANA CCM KUSHIKAMA KUHAKIKISHA CHAMA KINABAKI IMARA


 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wana CCM wa Tawi la Kijito Upele jimbo la Fuoni.
  Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wana CCM wa tawi la Tungujani.
 
 Wana CCM wa Jimbo la Kiembesamaki wakionyesha ujumbe wa kuunga mkono Katiba iliyopendekezwa.

 Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM (Zanzibar) Shaka Hamdu Shaka akihutubia wakazi wa Jimbo la Dimani kwenye uwanja wa Magereza Tomondo.

 Balozi Ali Karume akihutubia wakazi wa jimbo la Dimani ambapo aliwaambia Katiba...

 

2 years ago

Michuzi

MBUNGE WA BUKOMBE AWATAKA WANANCHI KUVUNJA MAKUNDI YA VYAMA NA KUWA WAMOJA

Wananchi wa jimbo la Bukombe Mkoani Geita,wametakiwa kuachana na siasa ambazo zinaweza kusababisha kutokuwa wamoja katika kuleta maendeleo.
Hayo yamesemwa na Mbunge wa Jimbo la hilo Dotto Biteko wakati akizungumza na wananakijiji wa kijiji cha Bwenda Namba 9 Kata Ya Kantente ambao ulikuwa na lengo la kusikiliza Kero za wananchi na kutatua changamoto walizo nazo.
Amesema kuwa maendeleo ya sehemu yoyote hile hayawezi kuletwa kwa watu kutokuwa na umoja na upendo.
"Wana Bwenda inahitajika nguvu...

 

2 years ago

CCM Blog

VUAI AWATAKA WANA CCM ZANZIBAR SUALA LA USAFI WA MAZINGIARA KULIFANYA KUWA UTAMADUNI WA KUDUMU

Na Is-haka Omar, Zanzibar.
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimewataka wananchi, wanachama, viongozi na watumishi wa Chama na Jumuiya zake  Zanzibar, kulifanya suala la usafi wa mazingira kuwa sehemu ya utamaduni wa kudumu ili kuenzi kwa vitendo Mapinduzi ya mwaka 1964.

Rai hiyo imetolewa leo na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Vuai Ali Vuai wakati akifanya usafi wa Mazingira kupitia Tawi la CCM la Afisi Kuu Zanzibar Kisiwa Ndui lililopo katika maeneo ya Ofisi hiyo, Mjini hapa.

Alifafanua kwamba...

 

1 year ago

Michuzi

Meya wa Jiji la DSM Mwita awataka wananchi kuwa wamoja bila kujali itikadi ya vyama vyao.

NA CHRISTINA MWAGALA ,OFISI YA MEYA WA JIJI

MSTAHIKI Meya wa Jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita amesema watanzania hawajafikia hatua ya kubaguana kwa kiitikadi ya vyama, Dini, Kabila badala yake wote wanapaswa kutangaza hali ya Umoja, Upendo na Mshikamano katika nchi yao.

Meya Mwita alitoa kauli hiyo jijini hapa jana, wakati wa harambee ya uchangiaji wa ujenzi wa Kanisa la kisasa la Tanzania Assemblies Of God (TAG) lililopo Kivule ,Halmashauri ya Manispaa ya Ilala jijini hapa ambapo...

 

11 months ago

Michuzi

DKT.MARIA MASHINGO AWATAKA WAFUGAJI KUHAKIKISHA IFIKAPO JANUARI 31 MIFUGO YOTE NCHINI IWE IMEPIGWA CHAPA


Na Kumbuka Ndatta, WMUV

KATIBU Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Mifugo) Dk. Maria Mashingo amewataka wafugaji kuhakikisha wamekamilisha zoezi la upigaji chapa mifugo yao kabla ya muda ulioongezwa na Serikali wa hadi Januari 31 mwaka huu kwani baada muda huo kupita haijulikani Serikali itaamua nini kuhusu mifugo itakayokuwa haijapigwa chapa.

Akizungumza wakati akishiriki zoezi la upigaji chapa mifugo katika Kijiji cha Igalula Kata ya Mpanda ndogo Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi, Dk....

 

3 years ago

Michuzi

CCM inapenda kutoa taarifa ifuatayo kwa wana-CCM na kwa umma: MALALAMIKO YA CCM KUHUSU MATOKEO KWENYE BAADHI YA MAJIMBO

Chama cha Mapinduzi hakijaridhishwa na utaratibu wa kukusanya na kujumlisha matokeo kwenye baadhi ya majimbo. Katika majimbo manne kumekuwa na ukiukwaji mkubwa wa utaratibu wa uchaguzi, hasa katika kujumlisha matokeo, uliopelekea wabunge wa upinzani kutangazwa washindi. Majimbo hayo ni Iringa Mjini, Mikumi, Ndanda na Kawe. 
Wasimamizi wa uchaguzi katika majimbo haya wamevuruga uchaguzi. Kutokana na utata uliokuwa umejitokeza wakati wa zoezi la kujumlisha kura, CCM iliomba kura zihesabiwe upya...

 

5 years ago

Habarileo

CCM kurejesha majimbo yaliyochukuliwa upinzani

KATIBU wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye amesema wamejiandaa kurejesha majimbo yote yaliyochukuliwa na vyama vya upinzani. Aidha amesema wana uhakika wa kupata ushindi wa kishindo katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaofanyika mwaka huu.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani