Bulembo: Fatma Karume akae pembeni

Aliyekuwa Meneja wa kampeni za mgombea urais wa CCM, Abdalah Bulembo amesema haoni dosari katika uamuzi wa kufuta uchaguzi wa Zanzibar na kumshauri mtoto wa aliyekuwa Rais wa Zanzibar, Fatma Karume akae pembeni badala ya kuwachanganya wananchi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Mwananchi

Fatma Karume amshauri Dk Shein akae pembeni

Mwanasheria wa kujitegemea nchini, Fatma Karume amemshauri Rais wa Zanzibar, Ali Mohamed Shein kuachia madaraka.

 

3 years ago

MillardAyo

Wananchi wageuza viwavi jeshi kitoweo, Abdalah Bulembo vs Fatma Karume, fedha za elimu bure je?..#MAGAZETINI

MWANANCHI Wakazi wa Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma wanakula wadudu jamii ya viwavi jeshi, wanaojulikana kwa jina la fumbili kutokana na njaa kali iliyoikumba wilaya hiyo. Hata hivyo, chakula hicho huenda kikapotea wakati wowote kutokana na mvua kutonyesha hivyo wadudu hao, ambao huishi kwa kutegemea majani, nao kupotea kwa kukosa chakula. Mbali na fumbili, chakula […]

The post Wananchi wageuza viwavi jeshi kitoweo, Abdalah Bulembo vs Fatma Karume, fedha za elimu bure je?..#MAGAZETINI...

 

3 years ago

Habarileo

Kaliua wataka Maalim Seif akae pembeni

VIONGOZI wa Chama cha Wananchi (CUF) wilaya ya Kaliua mkoani Tabora, wamemtaka Katibu Mkuu wa chama hicho, Maalim Seif Sharif Hamad akae pembeni kama ameshindwa kuongoza chama hicho.

 

5 years ago

TheCitizen

FATMA KARUME: Zanzibaris deserve say in referendum

>If truth be known, last week was horrendous for me for lots of reasons which I cannot express in totality but which I shall attempt to put on record so that if my grandchildren research this era, they will be assured that there were points of view other than those expressed in Hansard.

 

1 year ago

Zanzibar 24

Fatma Karume ashinda urais wa TLS

WAKILI wa kujitegemea, Fatma Karume amechaguliwa kuwa Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (Tanganyika Lawyers Society – TLS), akichukua mikoba ya aliyekuwa Rais wa Chama hicho, Tundu Lissu baada ya muda wake kumalizika.

Katika uchaguzi huo, Dkt. Rugemeleza Nshala amechaguliwa kuwa Makamu wa Rais wa chama hicho.

Aidha, Ndugu Omar Shaaban amechaguliwa kuwa Rais wa Zanzibar Lawyers Society.

Kwa mujibu wa katiba ya Chama hicho, Uongozi wa TLS hudumu kwa kipindi cha mwaka mmoja tu, na baada...

 

12 months ago

Zanzibar 24

Fatma Karume afunguka hataki siasa

Rais mpya wa Tanganyika Law Society (TLS), Bi. Fatma Karume, amesema kuwa anapenda kuwa huru, hivyo hana mpango wa kuingia kwenye siasa, ingawa amesema hatoacha kuendelea kukosoa serikali na wanasiasa pale wanapokosea.

“I like my freedom, napenda kufanya vile ninavyoona mimi, kama serikali inafanya vitu kinyume na sheria nitasema kwamba hivi sio vizuri, si vizuri kuvunjia watu majumba yao wakati kuna court order, nitasema sitaogopa, ila sitaki kugombea, sitaki siasa, I like...

 

3 years ago

Mwananchi

Fatma Karume: Maana ya Mapinduzi imepotea Zanzibar

Mwanaharakati wa Marekani, Huey Newton alisema: “Mapinduzi siku zote yapo mikononi mwa damu changa. Ni vijana tu ndiyo huyarithi na kuyafaidi mapinduzi.”

 

2 years ago

Mwananchi

Msigwa ammiminia sifa Wakili Fatma Karume

Mbunge wa Iringa Mjini (Chadema) Mchungaji Peter Msigwa, amesema Wakili Fatma Karume ni miongoni mwa watoto wa viongozi wanaojitambua.

 

2 years ago

MwanaHALISI

Fatma Karume naye amvaa Rais Magufuli

FATUMA Karume, wakili wa Tundu Lissu, Mwanasheria mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amesema kila mtu ana haki ya kumkosoa Rais, anaandika Hellen Sisya. Wakili huyo ameyasema hayo nje ya Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu ambapo Lissu amefikishwa siku ya leo akishtakiwa kwa kosa la kutoa lugha ya uchochezi ambayo imeleta chuki katika ...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani