Bunge la A.Mashariki laidhinisha marufuku ya vipodozi vinavyobadili rangi ya mwili

Bunge la Afrika Mashariki (EALA) limepitisha azimio linalotoa wito wa kuwekwa kwa marufuku dhidi ya watengenezaji na waagizaji wa bidhaa zenye kemikali ya hydroquinone.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

BBCSwahili

Rwanda: Bunge laidhinisha muhula wa 3

Bunge la chini la Rwanda limeidhinisha mabadiliko ya katiba yanayopendekeza rais Paul Kagame kuendelea kutawala kwa muhula wa tatu

 

4 years ago

BBCSwahili

Bunge la Rwanda laidhinisha muhula wa 3

Bunge la Rwanda limepitisha mswada utakaoidhinisha kubadilishwa kwa sheria na kuruhusu rais kuongoza kwa muhula wa tatu

 

1 year ago

BBCSwahili

Bunge laidhinisha matumizi ya shirikisho

Bunge la Seneti nchini Marekani limeidhinisha matumizi ya muda kufadhili serikali ya shirikisho

 

5 years ago

BBCSwahili

Bunge la Iraq laidhinisha serikali mpya

Bunge la Iraq limeidhinisha serikali mpya itakayoshirikisha makundi muhimu nchini humo.

 

2 years ago

BBCSwahili

Bunge la Colombia laidhinisha makubaliano ya amani

Bunge la Colombia limeidhinisha kwa pamoja muafaka wa amani uliofanyiwa marekebisho na ambao utamaliza vita vya zaidi ya miongo mitano nchini humo

 

2 years ago

BBCSwahili

Bunge laidhinisha Mfalme kung'atuka

Bunge la Japan limeidhinisha sheria itakayomuwezesha Mfalme wa nchi hiyo Akihito kuondoka madarakani

 

1 year ago

Zanzibar 24

Bunge laidhinisha ndoa za jinsia moja

Ndoa za jinsia moja sasa zitakuwa halali  baada ya bunge kusitisha mswada wa kihistoria kwenye bunge la waakilishi nchini Australia.

Wabunge wengi walipiga kura kubadilisha sheria ya ndoa siku nane baada ya kura kama hiyo katika bunge la Senate.

Kura hiyo ilizua shangwe bungeni na kusababisha furaha na hata nyimbo.

Matokeo hayo yanafikisha kikomo mjadala mkali kwa karibu muongo mmoja kuhusu swala hilo.

Watu wengi wanaounga mkono ndoa za jinsia moja walisafiri kwenda Canberra kushuhudia...

 

3 years ago

BBCSwahili

Bunge la Tunisia laidhinisha serikali ya Youssef Chahed

Serikali ya umoja inayoongozwa na waziri mkuu, Youssef Chahed, iliungwa mkono na wabunge 167, kati ya wabunge 217

 

2 years ago

Mwananchi

Bunge laidhinisha amri ya hatari kwa siku 90

 Bunge la Zambia limeidhinisha amri ya hali ya hatari iliyotolewa na Rais Edgar Lungu kwa siku 90, hatua ambayo wakosoaji wanaona ni juhudi za kudhibti mamlaka sawasawa

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani