Bunge la Katiba lijadili nguvu ya hoja si hoja za nguvu

BUNGE la kujadili katiba mpya limepangwa kuanza rasmi Februari 18 mwaka huu, pale Makao Makuu ya Tanzania, mjini Dodoma. Mijadala itaendeshwa kwa siku 70. Ikibidi zitaongezwa tena siku nyingine 20...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Raia Mwema

Kama chama changu kinataka kushinda, kishinde kwa nguvu ya hoja si kwa nguvu ya dola

Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.

Mwandishi Wetu

 

2 years ago

Zanzibar 24

Nape: Siasa ni ushindani wa HOJA sio NGUVU

Kufuatia kuvunjika kwa mkutano wa CUF hapo jana April 22, 2017  baada ya watu wanye silaha za jadi na mmoja akiwa na bastola kuvamia na kupiga Wanahabari na Wajumbe.

Mkutano ambao ulipangwa kufanyika katika Hoteli ya Vina, Mabibo, lakini kabla haujaanza, watu waliovalia soksi nyeusi usoni (maski) walivamia na kuanza kuwapiga wanachama wa CUF na waandishi wa habari, waliokuwa kwenye mkutano huo.

leo April 23 2017 kupitia ukurasa wa Twitter wa mbunge wa Mtama Nape Moses Nnauye ameyaandika haya...

 

3 years ago

Mwananchi

HOJA YANGU : Nguvu ya dola haitatatua mkwamo wa kisiasa Z’bar

Ingawa uchaguzi umekwisha, lakini hali siyo shwari katika Visiwa vya karafuu, Zanzibar.

 

3 years ago

Mwananchi

MAONI YA MHARIRI: Tunatarajia kusikia majadiliano ya nguvu ya hoja bungeni

Ni faraja kusikia kuwa katika Mkutano huu wa Nne wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania unaoanza leo, kambi ya upinzani imeamua kurudi bungeni.

 

1 year ago

Malunde

MAHAKAMA YAKUBALI HOJA TATU KESI YA BABU SEYA...IMO YA NGUVU ZA KIUME


Mahakama ya Afrika ya Haki za Binaadamu imekubali hoja 3 kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu katika kesi ya Babu Seya ikiwemo hoja ya Nguza Viking kutaka apimwe nguvu za kiume.
Akisoma hukumu kwa niaba ya majaji wenzake, Jaji Gerard Niyungeko aliainisha kwamba kati ya haki zilizokiukwa wakati wa mwenendo wa kesi hiyo ni ombi la Nguza Viking kupimwa kitabibu ili kuthibitisha kama hakuwa na nguvu za kiume na hivyo asingeweza kufanya vitendo vya ubakaji.
Mahakama hiyo imekubali pia hoja kwamba...

 

5 years ago

Tanzania Daima

Hoja 4 zinazotikisa Bunge la Katiba

MAHAKAMA ya Kadhi, Uraia pacha, kiongozi wa umma kumiliki akaunti ya benki nje ya nchi na nafasi tatu za Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni hoja...

 

5 years ago

Tanzania Daima

Hoja za wanawake zitimizwe Bunge la Katiba

NI wiki mbili tangu Bunge Maalumu la Katiba lianze vikao vyake kwa ajili ya kujadili rasimu ya pili ya katiba. Lakini inasikitika kuona katika wiki ya kwanza baadhi ya wajumbe...

 

5 years ago

Mwananchi

Hoja kuamua hatima Bunge la katiba leo

Hatima ya kesi mbili za kupinga Bunge la Katiba, inatarajiwa kujulikana leo wakati Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam itakapotoa uamuzi wake.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani