Bunge la Pitisha Sheria ya Kuanzishwa Baraza La Vijana

Na Anitha Jonas – MAELEZO,Dodoma.
Serikali inatarajia kuanzisha Baraza la Vijana litakalo kuwa chombo cha vijana kitakacho waunganisha Kitaifa bila kujali itikadi zao za Kisiasa,Imani zao za Kidini wala tofauti zao za Rangi,hayo yamesemwa na Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Mhe.Fenella Mukangara alipokuwa akisoma Muswada wa Sheria ya Baraza la Vijana Tanzania Bungeni Mjini Dodoma.
Mheshimiwa Mukangara aliendelea kusema Baraza hilo litaisaidia Serikali kuweza kuwafikia vijana kwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Habarileo

Mawaziri waridhia sheria ya kuanzishwa Baraza la Vijana

Assah MwambeneBARAZA la Mawaziri limeridhia kutungwa kwa Sheria ya Kuanzisha Baraza la Vijana ambalo litakuwa chombo cha kuwaunganisha vijana nchini.

 

4 years ago

Michuzi

Vijana waridhishwa na mswada uliopitishwa bungeni wa kuanzishwa baraza la vijana la Taifa

Na Mwandishi wetu
Vijana wameridhishwa na mswada uliopitishwa bungeni wa kuanzishwa baraza la vijana la Taifa na kudai kuwa hiyo ndio njia mojawapo vijana wanaweza kuendeleza shughuli zao za maendeleo .
Wamedai kuwa katika mswada huo vijana wanangazi zao za uongozi kutoka vijijini hadi kitaifa na hali hiyo inakuwa ni rahisi vijana kuwa na uwezo wa kuelezea changamoto zinazowakabili .
Kauli hiyo imetolewa jijini Dar es salaam na shirika la Restless Development Tanzania – ICS) ...

 

4 years ago

Dewji Blog

Wadau wajadili Muswada wa Sheria ya Baraza la Vijana Tanzania

IMG_1226

Muwakilishi kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma, Mgaya Ezekiel akichangia wakati wa Semina ya kujadili Muswada wa Sheria ya Baraza la Vijana Tanzania wa mwaka 2015, utakaowasilishwa Bungeni Ijumaa ya tarehe 27/03/2015. Semina hii iliyofanyika tarehe 23-24/03/2015 katika ukumbi wa Pius Msekwa, Mjini Dodoma imewakutanisha Wadau, Kamati ya Maendeleo ya Jamii na Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo.

IMG_1247

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dkt. Fenella Mukangara(kulia) akifurahia...

 

4 years ago

Habarileo

Bunge lapitisha Muswada wa Baraza la Vijana

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk Fenella MukangaraBUNGE limepitisha Muswada wa Sheria ya Baraza la Vijana wa mwaka 2015, uliowasilishwa na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk Fenella Mukangara.

 

2 years ago

Dewji Blog

Baraza la Taifa la Usalama Barabarani laeleza mafanikio liliyoyapata ikiwa ni siku 77 tangu kuanzishwa

Baraza la Taifa la Usalama Barabarani limefanikiwa kupunguza, vifo na majeruhi wa ajali za barabarani kwa zaidi ya asilimia 10 katika kipindi cha miezi miwili mfululizo kuanzia mwezi Agosti mwaka huu.

Mwenyekiti wa Baraza hilo ambaye pia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Massauni wakati akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, ametaja mikoa ya kipolisi inayoongoza kwa ajali za barabarani kuwa ni Ilala na Kindoni.

Amesema kwa mujibu wa tathimini ya...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Katibu Mtendaji wa Baraza la Vijana Zanzibar asmema kuna umuhim wa kuunda mipango kazi katika baraza hilo

Katibu Mtendaji wa Baraza la Vijana Zanzibar Khamis Faraji Abdalla, amesema kuna umuhimu mkubwa wa Baraza la Vijana nchini kuandaa mipango kazi utakaotoa muelekeo wa mafanikio wa baraza hilo.

Amesema bila ya baraza la Vijana kutayarisha mpango kazi shughuli mbali mbali za maendeleo ya vijana hayatakuepo.

Ndugu Khamis aliyasema hayo leo asubuhi huko kwenye ukumbi wa mikutano wa Skuli Ya Madungu Sekondari alipokuwa akifungua mkutano wa baraza la vijana  huko Pemba wa kuandaa mpango kazi wa...

 

5 years ago

Michuzi

BARAZA LA AMANI NA USALAMA LA UMOJA WA AFRIKA LAADHIMISHA MIAKA 10 KUANZISHWA KWAKE CHINI YA UWENYEKITI WA TANZANIA

Mhe. Balozi Naimi Aziz (wa tatu kulia) akiongoza tukio la kuwasha tochi kama ishara ya mafanikio na utekelezaji wa Masharti ya Baraza hilo katika kuleta ufumbuzi wa migogoro barani Afrika. Kushoto kwa Mhe. Naimi Aziz ni Mhe. Erastos Mwencha, Makamu Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika na kulia ni Balozi Smail Chergui, Kamishna wa Amani na Usalama wa Umoja wa Afrika. Mhe. Naimia Aziz, Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia na Mwakilishi wa kudumu katika Umoja wa Afrika, akitoa hutuba ya...

 

3 years ago

Michuzi

SERIKALI YAWAKUTANISHA VIJANA KUUNDA KANUNI ZA UENDESHAJI BARAZA LA VIJANA TAIFA.

 Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira, Vijana na watu wenye ulemavu Bw. Eric Shitindi akizungumza na vijana (hawapo pichani) alipokuwa akifungua kikao cha wadau wa maendeleo ya vijana katika kuchangia uandaaji wa kanuni za uendeshaji wa Baraza la Vijana Taifa jana jijini Dar es Salaam.. Wawakilishi kutoka Mamlaka mbalimbali za Serikali, Asasi za kiraia, Vyama vya siasa, Taasisi za kidini, Vijana wenye ulemavu, Shule za sekondari na Shule za msingi wakifuatilia kwa makini mada...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani