BUNGE LA RIDHIA AZIMIO LA MAKUBALIANO YA PARIS CHINI YA MKATABA WA UMOJA WA MATAIFA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba hii leo amewasilisha Bungeni azimio la kuridhia Makubaliano ya Paris chini ya Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mkataba wa Mabadiliko ya Tabianchi, Bunge limeridhia azimio hilo leoNaibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe. Kangi Lugola akizungumza na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mhe. Innocent Lugha Bashungwa mara baada ya Bunge kuridhia Makubaliano ya Paris chini ya Mkataba wa Umoja wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

CCM Blog

BUNGE LA BURUNDI LAPINGA AZIMIO LA UMOJA WA MATAIFA KUPELEKA POLISI NCHINI HUMO

  Picha: Kikao cha Bunge la Burundi
------------------
BURUNDI
Wabunge wa Burundi wamepinga azimio nambari 2303 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa na kukataa kabisa suala la kutumwa nchini humo askari polisi 228 wa kimataifa.

Katika kikao chake cha jana, Bunge la Burundi lilipinga azimio hilo la Baraza la Usalama na kutangaza kuwa uamuzi huo wa Umoja wa Mataifa hauendani na mtazamo wa serikali ya Bujumbura.

Wabunge wameeleza kuwa uamuzi wa kutaka kutuma...

 

4 weeks ago

Zanzibar 24

Umoja wa Mataifa wapitisha azimio la kupambana na ubakaji

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepitisha azimio la kupambana na ubakaji kama mbinu ya kivita, baada ya marekebisho ya dakika za mwisho yaliyolazimishwa na Marekani iliotishia kulipinga kwa kura ya turufu.

Baraza la Usalama lililazimika kukubali masharti ya Marekani hapo jana, iliyosema lugha iliyotumika kuelezea kipengele kinachohusiana na haki ya mwanamke juu ya suala la afya ya uzazi isitumiwe katika azimio hilo lenye lengo la kupambana na unyanyasaji wa kijinsia unaowakumba...

 

4 years ago

Michuzi

TAARIFA KWA UMMA (AZIMIO NA. 69/246 LA BARAZA KUU LA UMOJA WA MATAIFA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

MAHAKAMA 

 

  Tunapenda kuutaarifu Umma kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (United Nations) Mhe. Ban Ki-moon tarehe 16 Machi, 2015 alimteua Mhe Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania kuwa Mwenyekiti wa jopo huru la wataalamu wa kutafuta ukweli zaidi juu ya kifo cha aliyekuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Hayati Dag Hammarskjöld, kifo hicho kilichotokea kwenye ajali ya kusikitisha ya ndege mnamo tarehe 17-18 Septemba, 1961 maeneo ya Ndola,...

 

4 years ago

Michuzi

UMOJA WA MATAIFA WAPITISHA KWA KAULI MOJA AZIMIO DHIDI YA UJANGILI WA WANYAMAPOLI

Kifaru ni baadhi ya wanyamapori wanaotoweka kwa kasi duniani na hususani Afrika kusini mwa jangwa la Sahara kutokana na vitendo vya ujangili na biashara haramu za pembe zao. Jana Alhamisi Baraza kuu la Umoja wa Mataifa limepitisha kwa kauli moja Azimio linalolenga kudhibiti Biashara haramu ya wanyama pori na maliasili nyingine
Na Mwandishi Maalum, New York
Kwa mara ya kwanza jana alhamisi Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, limepitisha kwa kauli moja, azimio la kihistoria linalolenga...

 

3 years ago

Channelten

Matumizi ya Silaha za Nyuklia Baraza la usalama la umoja wa mataifa launga mkono azimio la zuio

_88552116_88538743

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepiga kura kuunga mkono azimio lenye lengo la kuizuia Korea Kaskazini kutumia silaha za nyuklia.

Maafisa wamesema azimio hilo limepitishwa kwa kauli moja, kuiwekea vikwazo Korea Kaskazini, ambavyo ni vikali zaidi kuwahi kuwekwa dhidi ya nchi hiyo katika kipindi cha miongo miwili.

Vikwazo hivyo vinajumuisha marufuku ya biashara ya silaha ndogo ndogo na bidhaa za kifahari  ambapo vimewekwa baada ya nchi hiyo kurusha roketi la masafa marefu mwezi...

 

5 months ago

BBCSwahili

Bunge la Umoja wa Ulaya latoa azimio la kulinda haki za binadamu Tanzania

Bunge la Umoja wa ulaya limetoa mustakabari wao juu ya uhusiano kati ya umoja wa ulaya na Tanzania

 

2 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA JENGO LA UMOJA WA MATAIFA LIKALOTUNZA KUMBUKUMBU ZA MAHAKAMA YA UMOJA WA MATAIFA ZA MAUAJI YA RWANDAMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa sherehe fupi za ufunguzi wa jengo la ofisi za Umoja wa Mataifa litakalotumika kutunza kumbukumbu mbalimbali za Mahakama ya Umoja wa Mataifa Kuhusu Mauaji ya Rwanda (MICT) katika eneo la Laki Laki nje kidogo ya mji wa Arusha.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka jiwe la msingi la ufunguzi wa jengo la ofisi za Umoja wa Mataifa litakalotumika...

 

5 years ago

Dewji Blog

Mafunzo juu ya Mkataba wa Umoja wa Mataifa kwa watu wenye Ulemavu-Ifakara Kilombero

SAM_0523

Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Wasioona (TLB) Mwalimu Greyson Mlanga(aliyesimama) akitoa somo juu ya Warsha ya Siku mbili ya Mkatabawa Umoja wa Mataifa Kwa Watu Wenye Ulemavu Mjini Ifakara hivi karibuni. Kushoto ni Mwenyekiti wa Chama Hicho Wilaya ya Kilombero Maria Faya na  Kulia ni Mwalimu Janet Kalalu, Mratibu wa Chama Wilaya.

SAM_0515

Viongozi wa TLB Taifa Wakiungana na Viongozi wa TLB Wilaya ya Kilombero katika kuimba Wimbo wa Haki za Binadamu katika Mafunzo ya Siku Mbili yaliyowakutanisha...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani