Bunge la Uingereza latoa idhini kujitoa umoja wa Ulaya

Bunge la Uingereza limetoa idhini ya mwisho ya sheria muhimu katika hatua ya mchakato wa kuelekea kutaka kujitoa katika jumuiya ya Ulaya.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Channelten

Waziri Mkuu wa Uingereza sasa yuko huru kuanza mchakato wa Uingereza kujitoa Umoja wa Ulaya

1

Waziri Mkuu wa Uingereza sasa yuko huru kuanza mchakato wa Uingereza kujitoa Umoja wa Ulaya.
Waziri Mkuu wa Uingereza Bibi Theresa May yuko huru kuanzisha mchakato wa Uingereza kujitoa Umoja wa Ulaya, baada ya baraza la juu la bunge la Uingereza kuacha kupinga uamuzi wa baraza la chini la bunge, na kinachosubiriwa sasa ni idhini kutoka kwa malkia wa Uingereza.

Baraza la makabwela lilikataa mapendekezo kutoka baraza la juu, moja ni kuhakikisha haki kwa watu milioni 3.2 kuendelea kuwepo...

 

3 years ago

Channelten

Uingereza kujitoa Umoja wa Ulaya.

 

b0f1a4f5-feb8-4533-a3a9-abe5f26e7275-2060x1236

Kufuatia kura ya maoni ya Uingereza kujitoa ndani ya Jumuiya ya Ulaya waziri wa mambo ya kigeni wa Marekari John Kerry amesema Marekani inaangalia mfumo wa ushirikiano na Uingereza kiuchumi.

Msimamo huo wa Marekani dhidi ya Uingereza, ni kufuatia kura ya maoni iliyofanyika wiki iliyopita, kujitoa katika jumuiya hiyo.

John Kerry anasema kilicho salia kwa Marekani ni kusubiri na kuona matokeo ya mazungumzo hayo na kuamua ni kwa mfumo gani uendeshaji wa mahusiano ya kibiashara utakuwa iwapo...

 

2 years ago

Channelten

Kujitoa Umoja wa Ulaya, Uingereza yaanza mchakato

Philip-Hammond-Photo-Telegraph

Waziri wa fedha wa Uingereza Phillip Hammond amesema kwamba Uingereza itahitaji kufanya maridhiano na Umoja wa Ulaya ili kufanikiwa kupata makubaliano bora kwa ajili ya nchi hiyo kuondoka katika Jumuiya hiyo ya Umoja wa Ulaya.

Akizungumza na kituo cha televisheni cha Sky News waziri wa fedha Hammond amesema katika mazungumzo na Umoja wa Ulaya Uingereza italazimika kuchukua maamuzi yatakayokubalika na pande zote mbili ili kuweka uwezekano wa nchi hiyo kupata makubaliano yaliyo bora.

Baadae...

 

3 years ago

StarTV

Viongozi wa nchi za ulaya wapigwa na butwaa baada ya uingereza kujitoa katika umoja huo

Mkuu wa muungano wa Ulaya Donald Tusk amesema kuwa mataifa yaliyosalia 27 ya EU yataendelea mbele na ushirikiano

Mkuu wa muungano wa Ulaya Donald Tusk amesema kuwa mataifa yaliyosalia 27 ya EU yataendelea mbele na ushirikiano

Kufuatia kufaulu kwa kura ya kujiondoa kutoka kwa muungano wa ulaya viongozi wakuu wa mataifa ya muungano wa Umoja wa Ulaya wamekuwa akielezea masikitiko yao.

Wanasiasa wakuu barani Ulaya na maeneo mengine duniani wameshikwa na mshutuko mkubwa kufuatia hatua hiyo ya Uingereza.

Mkuu wa muungano wa Ulaya Donald Tusk amesema kuwa mataifa yaliyosalia 27 ya EU yataendelea mbele na...

 

3 years ago

Channelten

Viongozi kukutana Mjini Berlin kujadili suala la kujitoa kwa Uingereza katika Umoja wa Ulaya

Screen Shot 2016-06-27 at 2.32.11 PM

Viongozi  wanne wa Umoja wa Ulaya wanatarajiwa kukutana hii leo mjini Berlin ili kujadili suala la kujitoa kwa Uingereza katika Umoja wa Ulaya.

Kansela wa Ujerumani Angela Merkel anatarajiwa kuwa na mazungumzo na Rais wa Ufaransa Francois Hollande, Waziri Mkuu wa Italia Matteo Renzi na  Rais wa Umoja wa Ulaya Donald Tusk.

Wakizungumza kwa njia ya simu hapo jana Kansela Merkel na Rais Holande walikubaliana kuwa kuna haja ya kufanyika haraka  majadiliano ya  pamoja yatakayozingatia masuala...

 

3 years ago

Michuzi

KUFUATIA UINGEREZA KUJITOA UMOJA WA ULAYA, TIMU NYINGI ZAPATA KWIKWI KWENYE SWALA LA USAJILI WA WACHEZAJI

 Na Dac Popos, Globu ya Jamii.Timu nyingi zinazoshiriki kwenye ligi kuu nchini Uingereza zimekumbwa na kigugumizi cha kufanya usajili katika kipindi hiki ambacho nchi yao imejitoa katika umoja wa ulaya (EU).
Wakili wa masuala ya michezo, Carol Couse amedai kuwa uamuzi huo tayari umeanza kuleta athali ambapo sarafu ya nchi hiyo imeporomoka na kuzidiwa na sarafu ya Euro, hivyo basi vilabu vyote 20 vya ligi hiyo ambavyo vilikuwa vinapiga kampeni Uingereza isijitoe kwenye umoja huo, kwa kuwa na...

 

5 months ago

BBCSwahili

Bunge la Umoja wa Ulaya latoa azimio la kulinda haki za binadamu Tanzania

Bunge la Umoja wa ulaya limetoa mustakabari wao juu ya uhusiano kati ya umoja wa ulaya na Tanzania

 

3 years ago

Mtanzania

Athari za Uingereza kujitoa Jumuiya ya Ulaya

David CameronMASOKO ya fedha na hisa duniani yana wasiwasi mkubwa. Juni 23 mwaka huu Waingereza watapiga kura ya maoni kuamua nchi yao iendelee kuwa mwanachama wa Jumuiya ya Ulaya au ijitoe. Ikiwa wapiga kura wa Uingereza wataamua kujitoa, paundi ya Uingereza itaporomoka, thamani za hisa zitapungua katika masoko ulimwenguni kote, pia kuna uwezekano wa mtikisiko wa uchumi wa duniani.

Mpaka naandika makala hii, sampuli za kura za maoni zinaonyesha kuwa wanaotaka kujitoa watashinda.

SABABU YA KURA YA...

 

3 years ago

Global Publishers

Hatma ya Uingereza Kujitoa Jumuiya ya Ulaya

cameroon 1
HISTORIA inaibeba Uingereza (England) ikijulikana kama moja ya nchi zenye nguvu zaidi duniani katika masuala ya kiuchumi na kijeshi.  Historia hii haipishani na ukweli halisi kwamba katika dunia ya sasa ya utandawazi  kila nchi inapigania kujijenga kiuchumi na ikihakikisha usalama wa uchumi wake na taifa kwa ujumla.

Uingereza inabaki kuwa miongoni mwa mataifa yenye nguvu na ushawishi mkubwa katika masuala ya kimataifa ikijivunia historia yake, uchumi wake, nguvu yake ya kijeshi.  Hii ni...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani