BUNGE LAFANYA MABADILIKO YA RATIBA ZA SHUGHULI ZA KAMATI ZAKE

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Dewji Blog

Mabadiliko ya ratiba shughuli za Kamati za Bunge

PRESS RELEASE – MABADILIKO YA SHUGHULI ZA KAMATI (3)-2.pdf 

The post Mabadiliko ya ratiba shughuli za Kamati za Bunge appeared first on DEWJIBLOG.

 

1 year ago

Malunde

BUNGE LAFANYA MABADILIKO YA VIONGOZI KWENYE KAMATI MBALIMBALI,ANGALIA HAPA

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai ametoa orodha ya majina ya Wabunge mbalimbali ambao wameteuliwa katika kamati mbalimbali za kudumu za Bunge ambao wataongoza kwa kipindi cha mwaka 2018-2020.

Wabunge mbalimbali wameteuliwa kuongoza kamati hizo za kudumu kwa kipindi hiko cha mwaka ambapo baadhi ya wabunge walioteuliwa ni Mhe. Nnape Nnauye, Mhe. Andrew J. Chenge, Mhe. Emmanuel Mwakasaka na wengine.

Kufahamu wabunge hao na kamati zao angalia chati iliyopo hapa chini...

 

3 years ago

Mtanzania

Bunge labadili ratiba za kamati zake

NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM

OFISI ya Bunge imebadilisha ratiba ya Kamati za Bunge kutokana na kuwapo kwa mabadiliko ya tarehe ya kupokea mapendekezo ya mpango na kiwango cha ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha wa 2016/2017.

Taarifa iliyotolewa Dar es Salaam jana kwa vyombo vya habari na Kitengo cha Habari, Elimu na Mawasiliano inaeleza kuwa kuelekea mkutano wa tatu wa Bunge (mkutano wa Bajeti) ofisi hiyo imeamua kufanya mabadiliko ya ratiba ili kuendana na masharti ya Kanuni...

 

5 years ago

Michuzi

Just in: Ratiba za Kamati za Bunge

Vikao vya Kamati za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (sio la Katiba) vimepangwa kuanza leo na vitaendelea hadi Mei 5, 2014 katika kumbi mbalimbali jijini Dar es salaam, kwa mujibu wa ofisi za Bunge. Kuona ratiba ya kila kamati na mahali watakofanyia vikao  TAFADHALI BOFYA HAPA

 

5 years ago

Dewji Blog

Ratiba za Kamati za Bunge

Jengo la Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

1. Ardhi, Maliasili Na Mazingira- Bot Mt. Meru Doc by moblog

2. Kilimo, Mifugo Na Maji by moblog

3. MIUNDOMBINU by moblog

4. Nishati Na Madini by moblog

5. PAC by moblog

6. MAMBO YA NJE by moblog

7. Huduma Za Jamii by moblog

8. TAMISEMI by moblog

9. Katiba, Sheria Na Utawala by moblog

10. BAJETI by moblog

11. Uchumi Viwanda Na Biashara by moblog

12. UKIMWI by moblog

13. Ulinzi Na Usalama by moblog

14. LAAC by moblog

15. Maendeleo Ya Jamii by moblog

 

3 years ago

Mwananchi

Bunge lapangua ratiba za kamati

Ofisi ya Bunge imepangua shughuli za kamati za zake kuelekea mkutano wa tatu, baada ya kutokea mabadiliko ya tarehe ya kupokea mapendekezo ya mpango na kiwango cha ukomo wa bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha wa 2016/17.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani