BUNGE LAFANYA MABADILIKO YA VIONGOZI KWENYE KAMATI MBALIMBALI,ANGALIA HAPA

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai ametoa orodha ya majina ya Wabunge mbalimbali ambao wameteuliwa katika kamati mbalimbali za kudumu za Bunge ambao wataongoza kwa kipindi cha mwaka 2018-2020.

Wabunge mbalimbali wameteuliwa kuongoza kamati hizo za kudumu kwa kipindi hiko cha mwaka ambapo baadhi ya wabunge walioteuliwa ni Mhe. Nnape Nnauye, Mhe. Andrew J. Chenge, Mhe. Emmanuel Mwakasaka na wengine.

Kufahamu wabunge hao na kamati zao angalia chati iliyopo hapa chini...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Malunde

MABADILIKO VIONGOZI WA UHAMIAJI YAFANYIKA...ANGALIA HAPA MAJINA MAPYA YA VIONGOZI WA MIKOA


Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Nchini Dr. Anna Peter Makakala amefanya mabadiliko makubwa ya Viongozi wa Uhamiaji wa Mikoa mbalimbali hapa nchini pamoja na kuwateua Wakuu Wapya wa mikoa kushika nyadhifa hizo katika Mikoa iliyopo Tanzania Bara na Visiwani Zanzibar.

Katika Mabadiliko haya Naibu Kamishna wa Uhamiaji Sixstus Faustine Nyaki aliyekuwa Mkuu wa Uhamiaji Mkoa wa Mwanza amehamishiwa  mkoa wa  Simiyu wakati aliyekuwa Mkuu wa Uhamiaji Mkoa wa Rukwa Naibu Kamishna  wa Uhamiaji Selemani ...

 

1 year ago

Malunde

ANGALIA PICHA : MSIBA WA KINGUNGE WAKUTANISHA VIONGOZI MBALIMBALI,MAZISHI YAFANYIKA

Rais Dkt.John Pombe Magufuli pamoja na Marais wastaafu wa Tanzania na viongozi mbalimbali,wakiwa katika shughuli maalum ya kumpumzisha aliyekuwa Mwanasiasa mkongwe nchini Kingunge Ngombale Mwiru,makaburi ya kinondoni Dar es salaamRais Dkt.John Pombe Magufuli akiweka udongo kwenye kaburi la muasisi wa Taifa na mwanasiasa mkongwe Kingunge Ngombale Mwiru ambaye anazikwa leo katika makaburi ya KInondoni Jijini Dar es salaamMarais wastaafu,Dr.Jakaya Mrisho Kikwete,Benjamin William Mkapa na Ali...

 

1 year ago

Malunde

RAIS SHEIN AFANYA MABADILIKO KATIKA BARAZA LA MAWAZIRI ZANZIBAR..ANGALIA HAPA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Ali Mohamed Shein amefanya mabadiliko madogo katika Baraza la Mapinduzi kwa kuongeza Wizara moja zaidi, na kuwabadilishia Wizara baadhi ya Mawaziri. Kufuatia mabadiliko hayo, shughuli za Vijana zimehamishiwa katika Wizara mpya ya Vijana, Utamaduni, Sanaa na Michezo; shughli za Mazingira zimehamishiwa katika Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais; na shughli za Wakala wa Serikali wa Uchapaji zimehamishiwa Wizara mpya ya Habari,...

 

2 years ago

Michuzi

Bunge lapitisha Muswada wa Mabadiliko ya Sheria Mbalimbali

Na Beatrice Lyimo- MAELEZO, DODOMA
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepitisha Muswada wa Mabadiliko ya Sheria Mbalimbali (Na. 3) wa mwaka 2017.
Akiwasilisha Bungeni Muswada huo leo Mjini Dodoma kwa niaba ya Waziri wa Katiba na Sheria Mwanasheria Mkuu wa Serikali George Masaju amesema kuwa lengo la marekebisho yaliyopendekezwa ni kuboresha utekelezaji wa Sheria hizo kwa kuondoa upungufu uliojitokeza wakati wa kutumia sheria hizo na kuongeza masharti mengine ili kuleta uwiano kati ya...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Haya hapa Mabadiliko ya Mawaziri kwa Wizara mbalimbali SMZ

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Ali Mohamed Shein amafanya mabadiliko madogo katika Baraza la Mapinduzi kwa kuongeza Wizara moja zaidi, na kuwabadilisha Wizara baadhi ya Mawaziri.

Kufuatia mabadiliko hayo, shughuli za Vijana zimehamishiwa katika Wizara mpya ya Vijana, Utamaduni, Sanaa na Michezo; shughli za Mazingira zimehamishiwa katika Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais;na shughli za Wakala wa Serikali wa Uchapaji zimehamishiwa Wizara mpya ya Habari,...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani