Bunge laidhinisha ndoa za jinsia moja Australia

Wabunge wengi walipiga kura kubadilisha sheria ya ndoa siku nane baada ya kura kama hiyo katika bunge la Senate.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 months ago

Zanzibar 24

Bunge laidhinisha ndoa za jinsia moja

Ndoa za jinsia moja sasa zitakuwa halali  baada ya bunge kusitisha mswada wa kihistoria kwenye bunge la waakilishi nchini Australia.

Wabunge wengi walipiga kura kubadilisha sheria ya ndoa siku nane baada ya kura kama hiyo katika bunge la Senate.

Kura hiyo ilizua shangwe bungeni na kusababisha furaha na hata nyimbo.

Matokeo hayo yanafikisha kikomo mjadala mkali kwa karibu muongo mmoja kuhusu swala hilo.

Watu wengi wanaounga mkono ndoa za jinsia moja walisafiri kwenda Canberra kushuhudia...

 

4 years ago

BBCSwahili

Kanisa laidhinisha ndoa za jinsia moja

Kanisa la Presbyterian nchini Marekani ,limebadilisha sheria yake ya ndoa na kuwajumuisha watu wa jinsia moja.

 

2 years ago

BBCSwahili

Ndoa za wapenzi wa jinsia moja zatawala kampeni Australia

Ndoa za wapenzi wa jinsia moja zimetawala kampeni katika siku za mwisho za kampeni nchini Australia.

 

2 years ago

BBCSwahili

Kylie Minogue kusubiri ndoa za wapenzi wa jinsia moja Australia

Mchumba wa mwanamuziki maarufu kutoka Australia Kylie Minogue amesema wameahirisha harusi yao hadi pale ndoa za jinsia moja zitakapohalalishwa nchini Australia.

 

1 year ago

BBCSwahili

Waziri mkuu wa Australia aunga mkono ndoa ya jinsia moja

Bwana Turnbull alijitokeza kwa ghafla na kutoa hotuba wakati wa uzinduzi wa kampeni hiyo huko New South Wales

 

12 months ago

BBCSwahili

Watu wengi waunga mkono ndoa za jinsia moja Australia

Watu nchini Australia wamepiga kura kwa wingi katika hatua ya kuhalalisha ndoa za jinsia moja kwenye kura hiyo ya kihistoria

 

12 months ago

Zanzibar 24

Wengi wao waunga mkono ndoa ya jinsia moja Australia

Waziri mkuu Malcolm Turnbul alisema serikali yake kwa sasa itaruhusu kupitishwa sheria hizo bungeni ifikapo krismasi.

“Watu wa Australia wamezungumza kwa mamilioni na wamepiga kura kwa wingi kura ya ndio kuleta usawa wa ndoa, Bw Turnbull alisema baada ya matokeo kutangazwa.

 

Zaidi ya watu milioni 12.7 karibu asilimia 79.5 ambao ni wapiga kura walishiriki katika zoezi hilo la majuma 8 ambapo swali moja tu liliulizwa, “sheria ya ndoa inaweza kubadilishwa kuruhusu wapenzi wa jinsia moja...

 

5 years ago

Michuzi

MWIGULU NCHEMBA AHUTUBIA BUNGE LA ACP NA EU,APINGA NDOA YA JINSIA MOJA,AZUNGUMZIA UCHUMI BARANI AFRIKA

Naibu Waziri wa Fedha  mhe Mwigulu Nchemba amehutubia kikao cha pamoja cha bunge la ACP na EU katika mji wa Strasbourg nchini Ufaransa.
Katika hotuba yake, mhe Mwigulu alianza kwa kukishukuru chombo hicho kwa ajili ya msimamo wake usioyumba kwenye maswala ya amani akitolea mfano wa kazi nzuri waliofanya kwenye swala la Jamhuri ya Afrika ya Kati na Sudani  Kusini. Mhe Mwigulu aliitaka Jumuiya ya Kimataifa imsaidie Rais wa muda Mama Carthrine Samba Panza ili kuwezesha kipindi cha mpito...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani