Bunge lajadili sababu za kukatika kwa umeme

Serikali ya awamu ya tano kupitia Wizara ya Nishati imesema na kudai kuwa kukatika kwa umeme mara kwa mara kunatokana na sababu nyingi na wala sio kutokuwepo kwa umeme au miundo mbinu pekee yake kama baadhi ya wananchi wanavyokuwa wanafikiria.

Hayo yamebainishwa na Waziri wa Wizara hiyo, Dkt Medard Kalemani leo April kwenye kikao cha tisa mkutano wa 11 wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambalo linaendelea kufanyika Jijini Dodoma, wakati akijibu swali la Mbunge Temeke (CUF),...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

4 months ago

Zanzibar 24

Shirika la Umeme laomba radhi latoa sababu iliyopelekea kukatika kwa umeme

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), limeomba radhi  wateja wake wa mikoa iliyounganishwa na gridi ya Taifa kwa katizo la umeme lililotokea leo Desemba 29, 2018 majira ya Saa 9:00 Alfajiri.

Kupitia ukurasa wa mtandao wa kijamii wa Twitter, TANESCO imesema kwamba sababu iliyopelekea kukatika kwa umeme ni hitilafu iliyotokea katika mfumo wa gridi.

Hata hivyo taarifa hiyo imesema kwamba wataalamu na mafundi wa shirika hilo wanaendelea na jitihada za kuhakikisha umeme unarejea kwa haraka...

 

1 year ago

Zanzibar 24

TANESCO yadhihirisha sababu ya kukatika kwa umeme

Shirika la Umeme nchini, TANESCO limetangaza kutokana na kukosekana umeme katika maeneo mengi nchini ni kutokana na hitilafu iliyosababishwa na Radi kupiga  mifumo ya usambazaji wa umeme katika gridi ya taifa.

“Kutokana na tatizo la umeme limejitokeza TANESCO tumefanya juhudi kurejesha hali ile, tulianza kurejesha Tanga, Chalinze kupitia kituo cha New Pangan, Dodoma kupitia kituo cha Mtera na sehemu ya kituo cha kidatu” amesema  Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Dkt. Titus Mwinuka.  

The post...

 

3 years ago

Habarileo

Tanesco yaeleza sababu za kukatika umeme

SHIRIKA la Umeme nchini (Tanesco) limesema tatizo la kukatika kwa umeme mara kwa mara hasa nyakati za jioni katika maeneo ya Mbagala, Mtoni Kijichi na Yombo kutokana na mifumo ya umeme katika maeneo hayo kuzidiwa jambo ambalo wameanza kulishughulikia.

 

2 years ago

Mtanzania

TANESCO YAELEKEZA SABABU KUKATIKA UMEME

Kaimu Meneja Uhusiano wa Tanesco, Leila Muhaji

Kaimu Meneja Uhusiano wa Tanesco, Leila Muhaji

Na FERDNANDA MBAMILA, DAR ES SALAAM

SHIRIKA la ugavi wa Umeme Tanzania (Tanesco), limesema kukatika kwa umeme kila wakati kunasababishwa na uboreshaji wa miundombinu katika maeneo mbalimbali husika, hususani katika Jiji la Dar es Salaam.

Akizungumza na MTANZANIA jana jijini Dar es Salaam, Kaimu Meneja Uhusiano wa Tanesco, Leila Muhaji,  alisema suala la kukatika kwa umeme  linatokana na kuboreshwa kwa miundombinu ya umeme kwa kuweka...

 

4 years ago

Mwananchi

Tanesco yatoa sababu kukatika umeme mara kwa mara

Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limetoa ufafanuzi kuhusu  tatizo la kukatika  kwa umeme linaloendelea nchini linatokana na kuongeza taratibu megawati hadi zifikie megawati 335.

 

3 years ago

Michuzi

Mwarobaini wa kukatika kwa umeme Arusha wapatikana Ni baada ya kukamilika kwa kituo cha kupoza umeme cha KIA, Wateja zaidi ya 89,000 waunganishwa

Na  Greyson Mwase, Arusha
 Imeelezwa kuwa kukamilika kwa kituo cha  kupoza umeme  cha KIA kilichopo karibu na  Uwanja wa Kimataifa wa Kilimanjaro (Kilimanjaro  International Airport) kumepelekea tatizo  la kukatika kwa umeme kuisha katika mkoa wa Arusha na baadhi ya maeneo  ya Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro na kuongeza kipato   kwa wakazi wa mkoa huo.
Kauli hiyo ilitolewa na Meneja wa Shirika la Umeme Nchini (TANESCO), Mkoa wa Arusha Mhandisi Gaspa Msigwa,  kwenye ziara ya waandishi wa...

 

4 years ago

BBCSwahili

Kukatika kwa umeme Bangladesh gizani

Bangladesh imekumbwa na tatizo kubwa la ukosefu wa umeme baada ya umeme kukatika nchi nzima

 

4 years ago

Habarileo

Tanesco yafafanua kukatika kwa umeme

SHIRIKA la Umeme Nchini (Tanesco) limetoa sababu ya kukatika kwa umeme katika maeneo mbalimbali nchini katika kipindi cha Novemba 26 hadi Desemba Mosi.

 

3 years ago

Habarileo

Serikali yajieleza bungeni kukatika kwa umeme

SERIKALI imesema tatizo la kukatika kwa umeme mara kwa mara nchini linatokana na uchakavu na kuzidiwa kwa vituo vya kupoza umeme na miundombinu ya usafirishaji na usambazaji nishati hiyo.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani