Bunge lamuweka rehani Waziri Tizeba

BAJETI ya Wizara ya Kilimo iliyowasilishwa bungeni mjini Dodoma jana Jumanne, ni mzigo kwa wananchi na imelenga kuwanyonya wakulima. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Akichangia mjadala wa bajeti ya wizara hiyo, mbunge wa Mbozi (Chadema), Pascal Haonga, ametuhumu serikali kunyonya wakulima na kupendelea wafanyabiashara. “Hii serikali haina dira yeyote kwenye sekta ya kilimo. Haina mkakati wala ...

MwanaHALISI

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Michuzi

WAZIRI MWIJAGE, WAZIRI TIZEBA WAFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI MKUU WA VIETNAM

Leo tarehe 2 Agosti, 2017, ikiwa ni siku ya tatu ya ziara yao nchini Vietnam, Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage pamoja na Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dkt. Charles Tizeba, wamekutana kwa mazungumzo na Waziri Mkuu wa Vietnam, Mhe. NGUYEN XUAN PHUC, ambapo walijadili namna ya kuimarisha mahusiano na ushirikiano wa kiuchumi na biashara baina ya nchi hizo mbili. Mazungumzo hayo yalifanyika baada ya kukamilisha kongamano la tatu la biashara na uwekezaji kati ya...

 

2 years ago

Global Publishers

JPM Awateua Mwigulu Kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Tizeba Waziri wa Kilimo

MwiguluWaziri Mpya wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba.

RAIS Dkt. John Pombe Magufuli amemtangaza Mwigulu Lameck Nchemba kuwa Waziri mpya wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, akichukua nafasi ya Dkt. Charles Kitwanga aliyefutwa kazi hivi karibuni.

Nafasi ya Mwigulu katika Wizara ya Kilimo na Uvuvi imechukuliwa na Injinia Dkt. Charles Tizeba, Mbunge wa Buchosa mkoani Mwanza ambaye katika uongozi wa awamu ya nne, aliwahi kuwa Naibu Waziri wa Uchukuzi.

Kabla ya kuteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya...

 

5 months ago

MwanaHALISI

Waziri mwingine awekwa rehani bungeni

MBUNGE wa Monduli (CHADEMA), Julius Karanga, ametuhumu serikali kuwanyonya wafugaji nchini na kusema, “wakati wengine (Chama Cha Mapinduzi), wakifikiri mifugo ni chakula, wao (Chadema), wanaiona mifugo kuwa ni uchumi.” Anaripoti Mwandishi Wetu kutoka Dodoma … (endelea). Akizungumza bungeni wakati wa kuchangia mjadala wa bajeti ya wizara ya Uvuvi na Mifugo bungeni leo Alhamisi, Kalanga alisema, ...

 

2 years ago

Mwananchi

Waziri Tizeba aibua mzozo

Dar es Salaam. Waziri wa Kilimo, Dk Charles Tizeba ametoa zabuni kwa kampuni inayodaiwa kukosa sifa kuleta viuatilifu aina ya salfa ya unga kwa ajili wakulima wa korosho. Kutokana na hali hiyo, Dk Tizeba ameingia kwenye mzozo na Mfuko wa Wakfu wa Kuendeleza zao la Korosho (CIDTF).

 

7 months ago

Malunde

SIMBA WAMTANGAZA WAZIRI TIZEBA

Klabu ya soka ya Simba kupitia kwa msemaji wake Haji Manara imemtangaza Waziri wa Kilimo Charlse Tizeba kuwa mgeni rasmi kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Al Masry Jumatano Machi 7,2018
Taarifa ya Manara imeeleza kuwa Waziri Tizeba ndiye ataongoza maelfu ya mashabiki wa soka nchini watakaojitokeza kwenye uwanja wa taifa kushuhudia mtanange huo.
''Waziri wa kilimo wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Charles Tizeba anatarajiwa kuongoza maelfu ya wanasimba na watanzania...

 

2 years ago

Mwananchi

Waziri Tizeba asimamisha vigogo watano Kilimo

Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dk Charles Tizeba amewasimamisha kazi watendaji watano wa wizara hiyo, akiwamo Kaimu Mkurugenzi wa Usalama wa Chakula, Ombaeli Limweli na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Taifa Hifadhi ya Chakula, Charles Walwa. 

 

2 years ago

Michuzi

KUNA CHAKULA CHA KUTOSHA NCHINI-WAZIRI TIZEBA

Na Beatrice Lyimo-MAELEZO, Dodoma.
Serikali imetoa kauli kuhusu hali ya chakula nchini na kusema kuna chakula cha kutosha pamoja na ziada ya asilimia 123. Ziada hiyo ya chakula inatokana na uzalishaji wa msimu wa mazao mwaka 2015/2016 ambao unapelekea upatikanaji wa chakula kwa mwaka 2016/2017.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dkt. Charles Tizeba leo mjini Dodoma alipokuwa akitoa kauli ya Serikali kuhusu hali ya chakula nchini.“Takwimu zinaonesha upatikanaji na mahitaji ya...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Waziri Tizeba azungumzia haliya upatikanaji wa chakula nchini

Waziri wa kilimo, mifugo na uvuvi, Charles Tizeba amesisitiza kauli ya serikali kuwa Tanzania hakuna baa la njaa kama inavyoelezwa na baadhi ya watu.

Waziri Tizeba ameyaainisha hayo Jumatatu hii jijini Dar es Salaam, wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu hali ya upatikanaji na chakula nchini.

“Ndugu waandishi ukweli ni kwamba hali ya upatikanaji wa chakula nchini ni ya kuridhisha sana katika maeneo mengi, hivyo siyo kweli kwamba kuna tatizo la njaa kama baadhi ya watu...

 

1 year ago

Mwananchi

MAONI YA MHARIRI: Waziri Tizeba kutana na wadau wa mbolea

Gazeti hili toleo la jana lilikuwa na habari iliyohusu malalamiko ya wadau wa kilimo kuhusu uamuzi wa Waziri wa Kilimo na Mifugo, Dk Charles Tizeba wa kupitisha kanuni mpya za uagizaji wa mbolea kwa mkupuo (bulk procurement) kupitia tangazo lake alilolitoa kwenye gazeti la Serikali namba GN 49 ya mwaka 2017.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani