BUNGE LAOMBOLEZA KIFO CHA MBUNGE WA BUYUNGU MKOANI KIGOMA MAREHEMU KASUKU BILAGO


Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 months ago

Michuzi

Mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Buyungu Marehemu Mwl. Kasuku Bilago wasafirishwa

  Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akizungumza  wakati wa tukio la kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Buyungu Marehemu Mwl. Kasuku Bilago katika Viwanja vya Bunge Jijini Dodoma. Mara baada ya tukio hilo mwili huo ulisafirishwa kwenda Wilayani Kakonko, Mkoani Kigoma kwa ajili ya mazishi.   Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akitoa heshima za mwisho wakati wa kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Buyungu Marehemu Mwl. Kasuku Bilago. Mara baada ya tukio hilo mwili huo...

 

5 months ago

Michuzi

SPIKA NDUGAI AWAFARIJI WAFIWA NA KUTOA HESHIMA ZA MWISHO MSIBA WA MAREHEMU KASUKU BILAGO.

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akizungumza na Waheshimiwa Wabunge, ndugu, jamaa na marafiki waliofika nyumbani kwa marehemu kasuku Bilago Wilayani kakonko Mkoani Kigoma.Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akitoa heshima za mwisho nyumbani kwa marehemu Kasuku Bilago Wilayani kakonko Mkoani Kigoma.Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kulia) akiwasabai watoto wa marahemu, Kasuku Bilago Wilayani kakonko Mkoani Kigoma.Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto)akimfariji Mke wa marehemu Ndg. Pietha...

 

5 months ago

Michuzi

MWILI WA MBUNGE KASUKU BILAGO WAAGWA LEO JIJINI DAR

Na Said Mwishehe, Globu ya jamiiMWILI wa aliyekuwa Mbunge wa Buyungu wilayani Kakonko mkoani Kigoma Kasuku Samson Bilago(Chadema), aliyefariki duniani juzi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili umeagwa leo jijini Dar es Salaam ambapo Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ameongoza mamia ya waombolezaji wakati wa kuaga mwili wa mbunge huyo.
Akizungumza leo jijini Dar es Salaam wakati wa kuaga mwili wa mbunge huyo, Mbowe amesema mwili wa Bilago utapumzishwa kwenye nyumba yeke ya milele Alhamisi...

 

5 months ago

Malunde

BUNGE LAAHIRISHWA KUOMBOLEZA KIFO CHA KASUKU


Naibu Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson leo asubuhi ameahirisha Bunge mpaka kesho saa tatu asubuhi kupisha maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Buyungu Mwl. Kasuku Bilago aliyefariki siku ya Jumamosi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili.
Akizungumza mbele ya wabunge wote waliokuwepo Bungeni siku ya leo Mei 28, 2018, Naibu Spika Dkt. Tulia amesema kuwa Wabunge watakao kwenda kuwakilisha kwenye mazishi hayo wataondoka Dodoma siku ya Jumanne asubuhi na kurejea Dodoma Jumatano mara baada ya...

 

3 years ago

Raia Tanzania

Kasuku: Chiza ameshindwa, anipishe Buyungu

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) katika jimbo la Buyungu, Wilaya ya Kakonko, mkoani Kigoma, kinakabiliwa na tishio la kung’olewa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika nafasi ya ubunge mwaka huu.

Tishio hilo la kisiasa limewekwa na kada wa Chadema, Mwalimu Kasuku Bilago, ambaye tayari amejaza na kurudisha fomu kuomba kuteuliwa na chama hicho kugombea ubunge jimboni humo wakati wa Uchaguzi Mkuu Oktoba, mwaka huu.

Mwalimu Bilago anasema kutoridhika kwake na utendaji wa mbunge...

 

5 months ago

Michuzi

LALA SALAMA MWALIMU KASUKU BILAGO, UMEONDOKA KABLA YA NDOTO YAKO KUTIMIA.

Leo Mbunge wangu Mwalimu Kasuku Bilago, Mbunge wa Buyungu utalala katika nyumba yako ya milele, utalala hutaamka tena, familia yako itakukosa, wananchi wa Buyungu watakukosa, ndugu jamaa na marafiki hatutakuona tena mtu uliyefanya siasa za kistaarabu, uliyetanguliza mbele maslahi ya wananchi wake na uliyetamani chama chako cha CHADEMA kufanya siasa zenye mwelekeo wa maendeleo.
Tangu kauli yako izimike Mei 26, 2018 katika hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam, nimekumbuka mengi...

 

5 months ago

MwanaHALISI

Huu ndiyo ugonjwa uliosababisha kifo cha Mwalimu Bilago

MWALIMU Kasuku Kasuku Bilago (54), mbunge wa Buyungu, wilayani Kakonko, mkoani Kigoma (Chadema), aliyefariki dunia Jumamosi iliyopita na kuzikwa jana Jumatano. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Mwalimu Bilago amekutwa na mauti, kwenye hospitali ya taifa ya Muhimbili, alikokuwa akipatiwa matibabu. Alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa kuota kinyama sehemu ya haja kubwa unaofahamika kwa jina la ...

 

3 years ago

Michuzi

BUNGE LAAHIRISHWA KUFUATIA KIFO CHA MBUNGE WA UKONGA EUGEN MWAIPOSA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge Mhe. Jenista Mhagama (mwenye nguo nyekundu) akimfariji Mwenyekiti wa Bunge Bi. Lediana Mng’ong’o mara baada ya bunge kuahirishwa kufuatia kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Ukonga Bi. Eugen Mwaiposa. Kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utawala Bora Bi. Mary Nagu na kushoto ni wabunge James Mbatia na Goodluck Ole Medeye.Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Anjela Kairuki (kushoto) akitoka nje ya ukumbi wa bunge akiwa...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani