Bunge lapitisha Muswada wa Sheria ya Kuratibu Ajira za Wageni nchini

Na. Anitha Jonas na Johary Kachwamba -MAELEZO, DODOMA
WAZIRI wa Kazi na Ajira Mhe. Gaudensia Kabaka amesoma Muswada wa Sheria ya Kuratibu Ajira za Wageni nchini wa mwaka 2014 kwa mara ya pili ikiwa muswada huu umelenga masuala mbalimbali ikiwemo mabadiliko ya kiuchumi pamoja na mahitaji ya kiteknolojia ambayo ni kichocheo kikubwa  cha uhamiaji wa nguvu kazi kutoka nchi moja kwenda nyingine.
 Mhe.Kabaka alisema kwa sasa zipo mamlaka nyingi zinzotoa vibali vya ajira kwa wageni kwa kuzingatia...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Michuzi

Sheria ya Kuratibu Ajira za Wageni Nchini Na.1 ya Mwaka 2015 (The Non - Citizens (Employment Regulation) Act).

  1.         Mwezi Machi, 2015, Bunge la 10 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Lilipitisha  Sheria ya Kuratibu Ajira za Wageni Nchini Na.1 ya Mwaka 2015 (The Non - Citizens (Employment Regulation) Act). Sheria hii ilisainiwa na Mheshimiwa Rais mwezi Mei, 2015 na imetangazwa kuanza kutumika rasmi tangu tarehe 15/09/2015 kupitia Gazeti la Serikali Na. 406 la mwaka 2015.


2.          Sheria hii inaanzisha Mamlaka moja ya utoaji wa vibali vya ajira kwa wageni

 na Mamlaka hiyo ni Kamishna wa Kazi. ...

 

3 years ago

RFI

Bunge lapitisha muswada wa sheria ya habari nchini Tanzania,waandishi wasemaje?

Bunge nchini Tanzania mwishoni mwa juma limepitisha muswada wa sheria ya hhuduma za habari wa mwaka 2016 tayari kusainiwa na raisi ili kuwa sheria kamili. Hata hivyo wadau wa habari na wanahabari wamelalamikia kupitishwa kwa muswada huo kuwa sheria kwa madai kuwa hawakupewa muda kujadili masuala kadhaa yaliyomo ndani ya muswada huo kwa lengo la kufikia makubaliano ya pamoja. Juma lililopita raisi wa Tanzania John Magufuli alisema hatasita kutia saini muswada huo kuwa sheria,mara utakapofika...

 

4 years ago

Habarileo

Bunge lapitisha muswada wa sheria ya bajeti

KWA mara ya kwanza Tanzania itakuwa na sheria ya bajeti baada ya Bunge jana kupitisha muswada wa sheria ya bajeti ambayo inataka mchakato wa kuandaa bajeti kuwahusisha Wabunge.

 

3 years ago

Mtanzania

Bunge lapitisha Muswada wa Sheria ya Habari

Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe (ACT-Wazalendo), akichangia hotuba ya Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari wa Mwaka 2016 Dodoma jana.

Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe (ACT-Wazalendo), akichangia hotuba ya Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari wa Mwaka 2016 Dodoma jana.

BAKARI KIMWANGA Na GABRIEL MUSHI, DODOMA

MUSWADA wa Sheria ya Huduma za Habari wa mwaka 2016, umepitishwa jana na Bunge huku Serikali ikifanya marekebisho katika vifungu kadhaa kwenye muswada huo.

Hatua ya kupitishwa kwa muswada huo sasa kutawafanya wanahabari kuhakikisha wanazingatia sheria kwenye kazi zao huku wale watakaokwenda kinyume cha sheria...

 

3 years ago

Michuzi

BUNGE LAPITISHA MUSWADA WA SHERIA YA HUDUMA ZA HABARI
Na Jacquiline Mrisho na Eleuteri Mangi – MAELEZO, Dodoma.
Mkutano wa Tano wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania umepitisha rasmi Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari wa mwaka 2016 ambapo hatua inayofuata ni kuridhiwa na kusainiwa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli ili uwe Sheria kamili ya nchi.
Muswada huo umepitishwa leo Bungeni mjini Dodoma ambapo mkutano huo uliongozwa na Mwenyekiti wa Bunge hilo, Mhe. Andrew Chenge.Wabunge walijadili Muswada huo kifungu kwa kifungu na kuunga...

 

2 years ago

Michuzi

Bunge lapitisha Muswada wa Mabadiliko ya Sheria Mbalimbali

Na Beatrice Lyimo- MAELEZO, DODOMA
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepitisha Muswada wa Mabadiliko ya Sheria Mbalimbali (Na. 3) wa mwaka 2017.
Akiwasilisha Bungeni Muswada huo leo Mjini Dodoma kwa niaba ya Waziri wa Katiba na Sheria Mwanasheria Mkuu wa Serikali George Masaju amesema kuwa lengo la marekebisho yaliyopendekezwa ni kuboresha utekelezaji wa Sheria hizo kwa kuondoa upungufu uliojitokeza wakati wa kutumia sheria hizo na kuongeza masharti mengine ili kuleta uwiano kati ya...

 

3 years ago

Michuzi

Bunge lapitisha muswada wa Sheria ya Fedha kwa mwaka 2016

Na: Lilian Lundo 
– MAELEZO, Dodoma
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo limepitisha muswada wa sheria ya Fedha ya mwaka 2016 ili kuwezesha utekelezaji wa  bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2016/2017. Muswada huo umepitishwa na Bunge pamoja na marekebisho yake ambayo yametolewa na kamati ya kudumu ya bunge ya bajeti na wabunge.
Marekebisho yaliyofanyika katika muswada huo ni pamoja na kutoongeza ushuru wa kuingiza sukari ya viwandani kutoka asilimia 10 kwenda 15 ambapo kamati ya...

 

3 years ago

Michuzi

Bunge lapitisha muswada wa sheria ya upatikanaji wa taarifa ya mwaka 2016
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa Michezo akichangia hoja kuhusu Muswada wa Sheria ya upatikanaji wa Taarifa ya mwaka 2016 ambapo alisema Muswada huu utasaidia kuongeza uwazi na uwajibikaji pia utasaidia kukuza tasnia ya habari nchini, Wakati wa Kikao cha 2 leo Bungeni Mjini Dodoma.
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye Ulemavu) akichangia akichangia hoja kuhusu Muswada wa Sheria ya upatikanaji wa Taarifa ya mwaka 2016 ambapo alisema Muswada huu utasaidia kukidhi hitaji la...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani