BUNGE LAPITISHA RASMI MUSWADA WA SHERIA YA HUDUMA ZA HABARI WA 2016.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Nape Nnauye alipokuwa akitoa hoja kabla Kamati ya Bunge zima kujadili Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari wa 2016 ambao umepitishwa leo mjini Dodoma.Wabunge wakiwa kwenye mjadala wa Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari wa 2016 leo mjini Dodoma.Baadhi ya Watendaji wa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo wakiongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Prof. Elisante Ole Gabriel (wa pili kushoto) wakifuatilia mjadala wa Wabunge wakati wa...

Michuzi

Read more

Habari Zinazoendana

3 years ago

Bongo5

Bunge lapitisha Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari wa mwaka 2016

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeupitisha Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari wa mwaka 2016 uliojadiliwa kwa siku mbili.
14925281_10154693236099339_5016656658260990178_n
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye (katikati) akiwa mwenye furaha

Mswada huo uliwasilishwa bungeni jana mjini Dodoma na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye kisha wabunge wakaanza kuujadili.

Ukurasa wa twitter wa Msemaji Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, umetoa taarifa hii:

Bunge limepitisha...

3 years ago

Dewji Blog

Hatimaye bunge lapitisha muswada wa Sheria ya Huduma za Habari 2016

Mkutano wa Tano wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania umepitisha rasmi Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari wa mwaka 2016 ambapo hatua inayofuata ni kuridhiwa na kusainiwa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli ili uwe Sheria kamili ya nchi.

Muswada huo umepitishwa leo Bungeni mjini Dodoma ambapo mkutano huo uliongozwa na Mwenyekiti wa Bunge hilo, Mhe. Andrew Chenge.

Wabunge walijadili Muswada huo kifungu kwa kifungu na kuunga mkono upitishwaji wake baada ya Waziri mwenye dhamana na...

3 years ago

Zanzibar 24

Yametimia: Bunge lapitisha muswada wa Sheria ya Huduma za Habari 2016

Mkutano wa Tano wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania umepitisha rasmi Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari wa mwaka 2016 ambapo hatua inayofuata ni kuridhiwa na kusainiwa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli ili uwe Sheria kamili ya nchi.

Muswada huo umepitishwa leo Bungeni mjini Dodoma ambapo mkutano huo uliongozwa na Mwenyekiti wa Bunge hilo, Mhe. Andrew Chenge.

Wabunge walijadili Muswada huo kifungu kwa kifungu na kuunga mkono upitishwaji wake baada ya Waziri mwenye dhamana na...

3 years ago

Michuzi

BUNGE LAPITISHA MUSWADA WA SHERIA YA HUDUMA ZA HABARI
Na Jacquiline Mrisho na Eleuteri Mangi – MAELEZO, Dodoma.
Mkutano wa Tano wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania umepitisha rasmi Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari wa mwaka 2016 ambapo hatua inayofuata ni kuridhiwa na kusainiwa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli ili uwe Sheria kamili ya nchi.
Muswada huo umepitishwa leo Bungeni mjini Dodoma ambapo mkutano huo uliongozwa na Mwenyekiti wa Bunge hilo, Mhe. Andrew Chenge.Wabunge walijadili Muswada huo kifungu kwa kifungu na kuunga...

2 years ago

Dewji Blog

Bunge lapitisha Muswada wa Sheria ya Huduma ya Msaada wa Kisheria wa Mwaka 2016

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo, Mjini Dodoma limepisha Muswada wa Sheria ya Huduma ya Msaada wa Kisheria wa Mwaka 2016 (The Legal Aid Bill, 2016).

Waziri wa Mambo ya Katiba na Sheria Dkt. Harrison Mwakyembe alipokuwa akitoa taarifa wakati wa kuwasilisha muswada huo amesema kuwa muswada huo wa sheria umepitia hatua nyingi na umechukua muda mrefu hadi kufikia hatua ya kujadiliwa na Bunge tukufu.

Aliendelea kwa kusema kuwa muswada huo unapendekeza kutungwa kwa sheria ya msaada wa...

3 years ago

Ippmedia

Bunge lapitisha Muswada wa Huduma za Habari wa mwaka 2016

Day n Time: Jumamosi saa 2:00 UsikuStation: ITV

3 years ago

Mtanzania

Bunge lapitisha Muswada wa Sheria ya Habari

Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe (ACT-Wazalendo), akichangia hotuba ya Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari wa Mwaka 2016 Dodoma jana.

Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe (ACT-Wazalendo), akichangia hotuba ya Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari wa Mwaka 2016 Dodoma jana.

BAKARI KIMWANGA Na GABRIEL MUSHI, DODOMA

MUSWADA wa Sheria ya Huduma za Habari wa mwaka 2016, umepitishwa jana na Bunge huku Serikali ikifanya marekebisho katika vifungu kadhaa kwenye muswada huo.

Hatua ya kupitishwa kwa muswada huo sasa kutawafanya wanahabari kuhakikisha wanazingatia sheria kwenye kazi zao huku wale watakaokwenda kinyume cha sheria...

3 years ago

Michuzi

KAMATI YA BUNGE YA HUDUMA NA MAENDELEO YA JAMII YAENDELEA KUUJADILI MUSWADA WA SHERIA YA HUDUMA ZA HABARI 2016 MJINI DODOMA

  Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii pamoja na viongozi wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo wakiwa katika kikao cha kujadiliana kuhusu Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari ya mwaka 2016 ambapo wamejadili na kupitia kifungu kwa kifungu katika Muswada huo leo Oktoba 20,2016 Mjini Dodoma. Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Prof Elisante Ole Gabriel akifafanua jambo mbele ya Kamati ya kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii katika...

3 years ago

Michuzi

Bunge lapitisha muswada wa Sheria ya Fedha kwa mwaka 2016

Na: Lilian Lundo 
– MAELEZO, Dodoma
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo limepitisha muswada wa sheria ya Fedha ya mwaka 2016 ili kuwezesha utekelezaji wa  bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2016/2017. Muswada huo umepitishwa na Bunge pamoja na marekebisho yake ambayo yametolewa na kamati ya kudumu ya bunge ya bajeti na wabunge.
Marekebisho yaliyofanyika katika muswada huo ni pamoja na kutoongeza ushuru wa kuingiza sukari ya viwandani kutoka asilimia 10 kwenda 15 ambapo kamati ya...

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani