Bunge latoa Azimio

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Edward LowassaBunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania juzi lilisitisha shughuli zake na kutoa Azimio kutokana na kifo cha Mandela, kwa kumuenzi kwa kudumisha umoja, amani, mshikamano ili kuleta maendeleo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 months ago

BBCSwahili

Bunge la Umoja wa Ulaya latoa azimio la kulinda haki za binadamu Tanzania

Bunge la Umoja wa ulaya limetoa mustakabari wao juu ya uhusiano kati ya umoja wa ulaya na Tanzania

 

2 years ago

Channelten

Bunge limepitisha azimio la kuwaadhibu wabunge Mdee na Bulaya kukosa mikutano mitatu ya bunge

MDEE

Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania limepitisha azimio la kuwaadhibu wabunge wawili wa kambi ya upinzani bungeni kukosa mikutano mitatu ya bunge, baada ya kupatikana na hatia ya kukiuka kanuni za haki, hadhi, kinga na madaraka ya bunge.

Kutolewa kwa azimio hilo kunafuatia kamati ya bunge ya Kinga, Haki na Madaraka ya bunge kuleta hoja bungeni kuhusiana na Mbunge wa Kawe Bi. Halima Mdee na Mbunge wa Bunda Mjini Bi. Esther Bulaya, kukaidi wito wa kamati kuhojiwa baada ya kufanya vitendo...

 

5 years ago

Habarileo

Bunge laridhia Azimio la SADC

Mwigulu NchembaWATANZANIA wengi wataweza kufanya biashara na kuwekeza katika nchi za Kusini mwa Afrika kuanzia sasa.

 

5 years ago

Habarileo

Bunge kutoa Azimio la Mandela

KUTOKANA na kifo cha Rais wa kwanza wa Afrika Kusini, Nelson Mandela, Bunge la Tanzania leo litatoa maazimio ya kumsifu na kumpongeza, kutokana na ukombozi wa bara la Afrika.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani