Bunge, Magereza kuburutwa kortini

Taasisi ya Bunge na Jeshi la Magereza mkoani Dodoma, zinatarajiwa kufikishwa mahakamani kwa madai ya kushindwa kuwalipa Sh850 milioni makandarasi wa ujenzi wa jengo la utawala.     

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Mwananchi

Sakaya, wenzake kuburutwa kortini

Bodi ya wadhamini ya CUF imefungua kesi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu dhidi ya Magdalena Sakaya, Thomas Malima na wenzao sita ikiomba itoe zuio la muda ili wasiweze kujihusisha na uongozi wa chama na kufanya mikutano.

 

2 years ago

Mwananchi

Deni la Sh569.4 milioni kuipeleka magereza kortini

Makandarasi wamelipa Jeshi la Magereza notisi ya siku 14 ya kusudio la kushtakiwa mahakamani iwapo litashindwa kulipa deni la Sh569.4 milioni linazodaiwa.

 

4 years ago

Mwananchi

ATCL kuburutwa mahakamani

Waliokuwa wafanyakazi wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), Kapteni Msami Mmari na Kapteni Suel Mjungu wamefungua madai ya kuomba kukazia hukumu katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Kitengo cha Kazi, wakiomba kukamata na kuliuza jengo la ATC House ili wafidie malimbikizo yao ya mishahara.

 

1 year ago

MwanaHALISI

Serikali yahofiwa kuburutwa ICC

KAULI za viongozi wa serikali inayoongozwa na Rais John Magufuli kwa wananchi, zinaweza kusababisha kufikishwa kwenye Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC). Anaandika Faki Sosi … (endelea). Hayo yameelezwa leo na Baraza la Wazee wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mbele ya waandishi wa habari kwenye Makao Makuu ya chama hicho yaliyopo ...

 

5 years ago

Mwananchi

Serikali yapinga kortini Bunge la Katiba kusimamishwa

Serikali imewasilisha mahakamani pingamizi la kisheria dhidi ya maombi ya kusimamishwa vikao vya Bunge Maalumu la Katiba vinavyoendelea mjini Dodoma, kutokana na kesi ya kikatiba namba 28 ya mwaka 2014 iliyofunguliwa na mwanahabari, Said Kubenea.

 

5 years ago

Mwananchi

Serikali Kijiji cha Makorora kuburutwa mahakamani

Wananchi wa Kata ya Makorora, Tarafa ya Magoma Wilayani Korogwe mkoani Tanga wanatarajia kuufikisha mahakamani uongozi wa Serikali ya kijiji baada ya kushindwa kuitisha mkutano wa wananchi na kuwasomea mapato na matumizi kwa zaidi ya miaka miwili.

 

5 years ago

Mwananchi

Arfi naye kwenda kortini kupinga Bunge la Katiba

Mjumbe wa Bunge Maalumu, Said Arfi amesema anakusudia kwenda mahakamani kupata ufafanuzi wa uhalali wa Bunge hilo kuachana na Rasimu ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba na badala yake kufanya kile alichokiita kuandika rasimu nyingine.

 

3 years ago

Michuzi

KATIBU WA BUNGE AKUTANA NA VIONGOZI WA JESHI LA MAGEREZA NA SUMA – JKT, JIJINI DAR, UTENGENEZAJI WA MADAWATI YA SHULE NCHINI KUANZA MUDA WOWOTE

Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Thomas Kashilila akiongea na Viongozi wa Jeshi la Magereza pamoja na SUMA – JKT kwenye Ofisi za Bunge, Jijini Dar es Salaam kuhusiana na namna walivyojipanga katika kutekeleza jukumu la utengenezaji wa Madawati ya shule hapa nchini. Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Thomas Kashilila akiongoza mazungumzo na Viongozi wa Jeshi la Magereza pamoja na SUMA – JKT(hawapo pichani).Kamishna Jenerali wa Jeshi la...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani