Burudani inahamia Zanzibar, Kombe la Mapinduzi 2016 Yanga, Azam FC na Simba ndani, ratiba kamili ipo hapa …

Ni kawaida kila mwaka kufanyika kwa mashindano ya Kombe la Mapinduzi visiwani Zanzibar, kwa mwaka 2016 michuano hiyo inafanyika kama kawaida. Kombe la Mapinduzi kwa sasa Bingwa mtetezi wa Kombe hilo ni klabu ya Simba. Jumapili ya January 3 2016. Hii ndio ratiba kamili mtu wangu ya michuano ya Kombe la Mapinduzi. CHANZO CHA HII […]

The post Burudani inahamia Zanzibar, Kombe la Mapinduzi 2016 Yanga, Azam FC na Simba ndani, ratiba kamili ipo hapa … appeared first on TZA_MillardAyo.

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Dewji Blog

Ratiba ya mapinduzi Cup 2016 hii hapa, vigogo vya soka Azam Fc, Yanga watia timu Visiwani!!

IMG_6010

Uwanja wa Amaan Zanzibar ambao utakuwa moja ya viwanja vitakavyotimua vumbi katika Michuano ya Mapinduzi Cup 2016 yanayotarajia kuanza jioni ya leo na kesho..

Ratiba-ya-mapinduzi-cup-bongosoka

 

3 years ago

Mwananchi

Kombe la Mapinduzi lilete tija Yanga, Azam, Simba

Inawezekana kuhoji mashindano haya ya Kombe la Mapinduzi yaliyoanza jana kisiwani Zanzibar na kushirikisha timu mbalimbali, zikiwamo za Ligi Kuu ya Bara, yana manufaa gani kwa maendeleo ya soka?

 

3 years ago

Zanzibar 24

Simba, Yanga na Azam wapata mualiko Kombe la Mapinduzi

Mashindano ya Kombe la Mapinduzi yanategemewa kuanza rasmi tarehe 1 January, 2017 hadi tarehe 13 January, 2017 ambapo vilabu vikubwa kutoka Tanzania Bara Simba, Yanga na Azam tayari wameshapelekewa mualiko wa kushiriki Mashindano hayo.

Akizungumza na Mtandao huu Katibu wa chama cha Soka Visiwani Zanzibar “ZFA” Kassim Haji Salum amesema tayari wameshatoa mualiko kwa timu tatu kubwa za Tanzania Bara.

“Tayari tumeshatoa mualiko kwa timu tatu za Bara wakiwemo Simba, Yanga na Azam zote tumeziomba...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Kumekucha: Mapinduzi CUP kuanza rasmi ijumaa, Ratiba kamili hii hapa

Pazia la Mashindano ya Kombe la Mapinduzi linatarajiwa kuanza kutimua vumbi lake kesho kutwa Ijumaa Disemba 29, 2017 katika uwanja wa Amaan. Siku hiyo itapigwa michezo mitatu ambapo saa 8:00 za mchana wataanza kati ya Mlandege dhidi ya JKU, Saa 10:00 za jioni Jamhuri watacheza na ndugu zao Mwenge na  saa 2:15 usiku Zimamoto watakipiga na Taifa ya Jang’ombe. Jumla ya timu 11 zitakazoshiriki Mashindano hayo zikiwemo sita za Zanzibar, nne kutoka Tanzania bara na moja kutoka Uganda ambapo...

 

3 years ago

Habarileo

Yanga, Azam kamili kwa Mapinduzi

YANGA na Azam FC zinatarajia kuondoka leo kwenda Zanzibar kwa ajili ya kushiriki michuano ya Kombe la Mapinduzi inayotarajiwa kuanza keshokutwa mpaka Januari 13 kwenye uwanja wa Amani mjini Zanzibar.

 

3 years ago

Dewji Blog

Beyonce ashinda tuzo 8 za VMAS 2016, orodha kamili ya washindi ipo hapa

Usiku wa kumkia Jumatatu ya Agosti, 29 nchini Marekani kumefanyika sherehe za utoaji wa tuzo za MTV VMAs 2016 (MTV video music awards) zilizofanyika katika ukumbi wa Madison Square Garden uliopo jijini New York.

Katika tuzo hizo, mwanadada Beyonce ndiyo ameibuka kinara kwa kushinda tuzo nane akiwa katika vipengele 11, mastaa wengine walioshinda ni pamoja na Rihanna na Drake.

Orodha washindi wengine ni;

VIDEO OF THE YEAR

Winner: Beyoncé – “Formation”
Adele – “Hello”
Drake – “Hotline...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani