Busungu ajiweka mtegoni Yanga

Mshambuliaji wa Yanga, Malimi Busungu ameeleza kufurahia ujio wa kocha mpya, George Lwandamina na kuahidi kurudisha makali yake.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Mwananchi

TFF yaiweka Yanga mtegoni

Yanga ipo kwenye hatari  ya kuondolewa  kwenye Ligi Kuu iwapo uongozi  wake utashindwa kuwasilisha muhtasari wa kikao cha  mabadiliko ya katiba ya klabu hiyo ndani ya siku saba.

 

5 months ago

Malunde

MANARA AWAINGIZA YANGA MTEGONI

Msemaji wa Mabingwa Watetezi, Klabu ya Simba, Haji Manara amehoji Mamlaka ya mapato Tanzania juu utaratibu wa watani zao wa jadi kuhusu kuchangisha kwa ajili ya klabu yao na kuuliza kama utaratibu huo ni sahihi.
Manara amehoji iwapo kama Klabu hiyo inayoongoza msimamo wa ligi kuu soka Tanzania bara kama inalipia kodi katika Mamlaka hiyo huku akisistiza kwamba hata kama ukweli ukiwa mchungu kiasi gani lazima usemwe.
"TRA nakumbuka mlienda katika kanisa la Mchungaji Kakobe kufuatilia ile...

 

4 years ago

GPL

Busungu asaini Yanga

Malimi Busungu akisaini mkataba na timu ya Yanga.
Sweetbert Lukonge na Said Ally
YANGA haitaki masihara hata kidogo linapokuja suala la kukiongezea nguvu kikosi chake! Licha ya vijana hao wa Jangwani kuongoza kwa kufunga mabao 52 katika michezo 26 ya Ligi Kuu Bara msimu uliopita, imeamua kumuongeza mchana nyavu mwingine, anaitwa Malimi Busungu ambaye amesaini mkataba wa miaka miwili akitokea Mgambo JKT. Yanga imeizidi nguvu...

 

3 years ago

Mtanzania

Busungu ‘out’ Yanga

Malimi BusunguNA ADAM MKWEPU, DAR ES SALAAM

MSHAMBULIAJI wa timu ya soka ya Yanga, Malimi Busungu, huenda akalazimika kuwa nje ya uwanja kwa muda mrefu na kukosa baadhi ya mechi muhimu baada ya kupata majeraha ya kuchanika mbavu na kupasuka utosini.

Busungu alipata majeraha hayo juzi wakati wa mchezo wa hatua ya 16 bora ya Kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi ya Sagrada Esperanca ya Angola uliochezwa katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Katika mchezo wa juzi ambao Yanga ilishinda mabao 2-0, straika...

 

3 years ago

Mwananchi

Simba, Yanga mtegoni Ligi Kuu

Ni Jumamosi yenye mitego kwa timu za Ligi Kuu zitakaposhuka viwanja vitano tofauti nchini ili kusaka pointi tatu muhimu.

 

2 years ago

Mwanaspoti

Busungu wa Yanga apelekwa kliniki

WAKATI straika wa Yanga, Malimi Busungu akipelekwa kwa mtaalamu wa saikolojia, kikosi kizima cha mabingwa hao wa Tanzania leo kinaanza safari ya kulipeleka kombe lao Bungeni Dodoma kabla ya kutua jijini Arusha.

 

4 years ago

GPL

DOKII AJIWEKA KWA KOCHA WA YANGA

mwandishi wetu/ijumaawikienda
MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Ummy Wenslaus ‘Dokii’ ameanzisha urafiki wa karibu sana na Kocha wa Timu ya Yanga, Hans van der Pluijm, Raia wa Uholanzi. Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Ummy Wenslaus ‘Dokii’ akiwa na kocha wa Yanga. Ukaribu wa Dokii na kocha huyo ulichipukia kwa kasi Januari, mwaka huu walipokutana katika Kombe la Mapinduzi, Zanzibar kisha kuzidi kuwasiliana kwa ukaribu...

 

4 years ago

TheCitizen

Busungu the hero as Yanga spank Simba

Young Africans fans breathed a sigh of relief after Amissi Tambwe and substitute Malimi Busungu struck to hand the Vodacom Premier League reigning champions a 2-0 win over arch-rivals Simba SC, at the National Stadium yesterday.

 

2 years ago

Mwanaspoti

Yanga wamng'ang'ania Busungu

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Malimi Busungu, ambaye amecheza dakika 30 tu kwenye Ligi Kuu Bara msimu huu, bado nyota yake inaonekana kung’ara kwa Wanajangwani baada ya kuzungumza naye kuhusu mkataba mpya.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani