Butiku aunga mkono wanaohama CCM

DSC_0857NA WAANDISHI WETU, DAR ES SALAAM

MKURUGENZI wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku, amewaunga mkono wanachama na makada wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) wanaohamia vyama vya upinzani.

Alisema makada hao walichelewa  kutoka ndani ya chama hicho na wameondoka wakati tayari chama hicho kimeharibika.

Butiku aliyasema hayo   alipotoa mada kwenye mdahalo  wa Maadili na Haki kuelekea Uchaguzi Mkuu, Dar es Salaam jana.

Alisema   CCM ni sawa  na kokoro ambalo limebeba kila aina ya uchafu.

Butiku...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Channelten

JK aunga Mkono elimu bure

Screen Shot 2016-06-18 at 11.24.55 PM

Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne,Dk Jakaya Kikwete amewataka wananchi na wadau wengine wa maendeleo kuunga mkono juhudi za Serikali kutoa Elimu Bure kwa kuwasaidia watoto wanaotoka kwenye familia duni zisizo na uwezo mahitaji muhimu ya
shule.
Dk. Kikwete ametoa wito jijini Dar es salaam kwenye viwanja vya Leaders,wakati alipokuwa akizungumza baada ya kutembea matembezi ya kuiunga mkono kampeni inayoendeshwa na Taasisi ya Binti Foundation,inayolenga kuwasaidia watoto wanaoishi katika mazingira...

 

4 years ago

BBCSwahili

Kiongozi wa Taleban aunga mkono amani

Kiogozi wa kundi la Taliban nchini Afghanistan Mullah Omar ameunga mkono mazungumzo ya amani na serikali.

 

4 years ago

Mwananchi

Mansour aunga mkono msimamo wa Moyo

Waziri wa zamani wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Mansour Yussuf Himid amesema msimamo wa mwanasiasa mkongwe, Hassan Nassor Moyo kuendelea kutetea mamlaka kamili ya Zanzibar ndani ya mfumo wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni wa kishujaa licha ya kufukuzwa CCM.

 

5 years ago

BBCSwahili

Rais wa Colombia aunga mkono Bhangi

Rais wa Colombian Juan Manuel Santos amesema kuwa anaunga mkono matumizi ya bangi kwa minajili ya utabibu.

 

5 years ago

Mwananchi

Mhadhiri aunga mkono Serikali Tatu

Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Mzumbe, Ross Kinemo amesema Muungano wa Serikali unaopendekezwa kwenye Rasimu ya Pili ya Katiba Mpya unafanana na muungano uliopo katika Nchi za Marekani, India, Canada na hata Uswisi.

 

2 years ago

Mwananchi

Sheikh aunga mkono juhudi za Makonda

Baraza la viongozi wa dini la kupambana na dawa za kulevya Tanzania linaunga mkono juhudi za Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kupambana na dawa za kulevya

 

5 years ago

BBCSwahili

Tutu aunga mkono sheria ya kujitoa uhai

Aliyekuwa Askofu mkuu nchini Afrika kusini Desmond Tutu amesema kuwa anaunga mkono mjadala wa kujitoa uhai,

 

3 years ago

Bongo5

Ole Sendeka aunga mkono utafiti wa Twaweza

Msemaji wa chama cha Mapinduzi (CCM), Christopher Ole Sendeka amesema amekubaliana na utafiti wa Twaweza kwakuwa watanzania wengi wana imani na kuupenda utendaji kazi wa Rais Dkt John Pombe Magufuli.

twaweza-colour-logo

Ameyasema hayo wakati wa uzinduzi wa utafiti huo, ambapo alikuwa mmoja wa viongozi waliohudhuria. Utafiti huo uliopewa jina la Sauti za Wananchi, ulihusisha wananchi wa chama tawala, na vyama pinzani.

“Mmesikia ukwepaji kodi ambao ulikuwepo, kulikuwa na mtandao wa kuibia nchi uliokithiri na...

 

2 years ago

Mwananchi

Raza aunga mkono vita dawa za kulevya

Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Mwakilishi wa Jimbo la Uzini, Mohammed Raza ameunga mkono vita dhidi ya dawa za kulevya inayoendeshwa na Serikali ya Awamu ya Tano.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani