Bwana harusi afariki katika ajali baada ya sendoff

Maisha ya mtu ni siri ya Muumba wake na wakati ukifika hana budi kuyakatisha.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Malunde

BWANA HARUSI AFARIKI KWENYE AJALI YA GARI,BIBI HARUSI AJERUHIWA SINGIDA


Muonekano wa Noah baada ya ajaliHiace iliyopata ajali***
WATU 12 wamekufa na wengine 22 kujeruhiwa katika ajali iliyotokea kijiji cha Ighuka wilayani Ikungi kwenye Barabara Kuu ya Singida – Manyoni baada ya Toyota Hiace walimokuwa wakisafiria kutoka kumchukua bibi harusi kugongana uso kwa uso na Toyota Noah iliyokuwa imepakia watu kutoka msibani.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, Debora Magiligimba alisema kuwa ajali hiyo ilitokea juzi saa mbili usiku kwa kulihusisha gari lenye namba za...

 

4 months ago

Zanzibar 24

Bwana harusi afariki ghafla akisubiri kufunga ndoa

Sherehe ya harusi iliyokuwa ifanyike juzi jioni katika Kanisa la Nabii wa Utukufu wa Bwana lilipo Olmatejoo, Kata ya Sakina jijini Arusha na kwenye ukumbi wa Sariko Olasiti Garden, iligeuka msiba baada ya bwana harusi kufariki dunia ghafla akiwa kanisani.

Tukio hilo lilitokea majira ya saa 11 jioni katika kanisa hilo ambapo bwana harusi huyo, Heaven Makupa (47) alikuwa kanisani tangu saa saba mchana akisubiri kufunga ndoa na Jane Kimaro.

Hata hivyo, wakati sherehe, nderemo na vifijo...

 

4 months ago

Malunde

BWANA HARUSI AFARIKI AKISUBIRI KUFUNGA NDOA KANISANI


Sherehe ya harusi iliyokuwa ifanyike juzi jioni katika Kanisa la Nabii wa Utukufu wa Bwana lilipo Olmatejoo, Kata ya Sakina jijini Arusha na kwenye ukumbi wa Sariko Olasiti Garden, iligeuka msiba baada ya bwana harusi kufariki dunia ghafla akiwa kanisani.


Tukio hilo lilitokea majira ya saa 11 jioni katika kanisa hilo ambapo bwana harusi huyo, Heaven Makupa (47) alikuwa kanisani tangu saa saba mchana akisubiri kufunga ndoa na Jane Kimaro.
Hata hivyo, wakati sherehe, nderemo na vifijo...

 

5 years ago

Vijimambo

Bwana harusi asimulia walivyonusa kifo ajali ya mtumbwi

Bwana harusi, Ramadhani Hamisi (30), aliyenusurika kifo baada ya mtumbwi kuzama katika Ziwa Tanganyika na kusababisha vifo vya watu 10 na wengine 11 kujeruhiwa, ameibuka na kusimulia jinsi alivyochungulia kaburi.

Akizungumza na NIPASHE katika mahojiano maalum jana, Hamis alisema baada ya kuona mtumbwi ukizama, alimrukia mkewe na kumshika mkono na kisha kuanza kuogelea naye hadi nchi kavu na hivyo kunusurika kifo.

Kutokana na hali hiyo, anasema anamshukuru Mungu kwa yeye na mkewe, Mariamu (24),...

 

5 years ago

Vijimambo

BIBI NA BWANA HARUSI WANUSURIKA KIFO BAADA YA MTUMBWI WALIOPANDA KUZAMA ZIWA TANGANYIKA

Ndugu jamaa na wapambe wa bwana na bibi harusi walionusurika kifo baada ya ajali ya mtumbwi kutokea katika kijiji cha kalalangabo wakiwa wanaendelea na matibabu katika hospita ya Mkoa wa KigomaBibi harusi Mariamu mduwa aliyenusurika kifo katika ajali ya mitumbwi katika kijiji cha kalalangabo akiwa naendelea na matibabu katika hospital ya mkoa wa KigomaWaokoaji mbalimbali wakijindaa kwenda katika eneo ilipotokea ajali ya mitumbwi iliyobeba harusi kutoka kigoma mjini kwenda katika kijiji cha...

 

1 year ago

BBCSwahili

Bwana harusi apigwa risasi katika sehemu nyeti Misri

Bwana harusi moja nchini Misri anejaruhuwa vibaya baada kupigwa na risasi iliokuwa imefyatuliwa ili kusherehekea harusi yake.

 

4 years ago

Michuzi

HARUSI YA DICKSON BUSAGAGA NA SALOME MHOZYA [SENDOFF PIA]

dickson busagaga & salome mhozya wedding (9)Dickson Busagaga (Blogger) na Salome Mhozya katika picha baada ya kufunga ndoa iliyowafanya kuungana na kuwa mwili mmoja tukio lililofanyika katika kanisa la Mt. Teresia wa Mtoto Yesu jimbo kuu la Tabora mnamo tarehe 23 Sep, 2015.dickson busagaga & salome mhozya wedding (8)Waharusi (Dickson na Salome) wakionesha pete zao mara baada ya kuungana na kuwa kitu kimoja.dickson busagaga & salome mhozya wedding (2)Hakika ilikuwa ni siku ya furaha sana kwao, hata walipoingia ukumbini katika sherehe ya usiku walidhihirisha kuto kubahatisha kuungana kwao.dickson busagaga & salome mhozya wedding (3)Furaha ilitawala sana miongoni...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Bwana harusi apigwa risasi sehemu za siri siku ya sherehe ya harusi

Bwana harusi ajeruhiwa vibaya sehemu za siri, kwenye nyonga na mkononi baada ya kupigwa na risasi iliyokuwa imelengwa kufyatuliwa juu hewani kama ishara ya kusherehekea harusi yake.

Tukio hilo limetokea huko nchini Misri ambapo Osman al-Alsaied mwenye umri wa miaka 28 alikuwa akisherehekea usiku wake wa mwisho akiwa kapera wakati silaha hiyo ilipofyutuliwa upande wake badala ya hewani.

Maafisa wa polisi wanasema kuwa bunduki hiyo ilifyatuliwa kiuzembe na mwanamume mwenye umri wa miaka...

 

3 years ago

MillardAyo

Pale ambapo sherehe ya harusi inalazimika kuendelea japo bwana harusi kafariki… (+Video)

Ndugu jamaa na marafiki walijikuta wakiendelea na ratiba ya mazishi kwa mtindo wa sherehe baada ya bwana harusi kufariki… bibi harusi nae ilibidi akubaliane na ukweli kwamba ndoa yao imekatishwa na kifo cha mume mtarajiwa. Kifo cha bwana harusi John Mwangi kilitokana na ajali baada ya gari kutumbukia mtoni maeneo ya Kabarnet, Kaunti ya Baringo Kenya… […]

The post Pale ambapo sherehe ya harusi inalazimika kuendelea japo bwana harusi kafariki… (+Video) appeared first on...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani