BWANA HARUSI AFARIKI KWENYE AJALI YA GARI,BIBI HARUSI AJERUHIWA SINGIDA


Muonekano wa Noah baada ya ajaliHiace iliyopata ajali***
WATU 12 wamekufa na wengine 22 kujeruhiwa katika ajali iliyotokea kijiji cha Ighuka wilayani Ikungi kwenye Barabara Kuu ya Singida – Manyoni baada ya Toyota Hiace walimokuwa wakisafiria kutoka kumchukua bibi harusi kugongana uso kwa uso na Toyota Noah iliyokuwa imepakia watu kutoka msibani.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, Debora Magiligimba alisema kuwa ajali hiyo ilitokea juzi saa mbili usiku kwa kulihusisha gari lenye namba za...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Bongo5

Bwana harusi na bibi harusi wazirai kanisani muda mchache kabla ya ndoa yao

Huko Kilimanjaro wilaya Moshi kuna moja kati ya matukio ya nadra kuwahi kutokea katika familia, baba mzazi wa mmoja wa maharusi mwishoni mwa wiki aliibuka kanisani saa chache kabla ya muda uliopangwa kufunga harusi, na kuweka pingamizi.

Maharusi waliopatwa na mkasa huo ni Yohana Mohammed na Rose Sembeye.

Kitendo cha mzazi wa Yohana kuweka pingamizi kilisababisha maharusi wote wawili kupoteza fahamu, na licha ya harusi kutofungwa, wawili hao waliamua kwenda ukumbini kuungana na waalikwa saa...

 

3 years ago

Mtanzania

Bibi harusi amkimbia bwana harusi

NA UPENDO MOSHA, MOSHI

 

MWANAMKE aliyejulikana kwa jina la Doroth Msuya, mkazi wa Monduli mkoani Arusha, ametoweka muda mfupi kabla ya kufunga ndoa na Joseph Machange, mkazi wa Mwika, Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro.

Ndoa ya wawili hao ilitarajiwa kufungwa Jumamosi ya Novemba 7 katika Kanisa la Kinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini, Usharika wa Lole, Mwika.

 Mchungaji mwenza wa usharika huo, Elikeseni Shao, alisema majira ya saa sita na nusu mchana wakati maandalizi...

 

3 years ago

Mwananchi

Bwana harusi afariki katika ajali baada ya sendoff

Maisha ya mtu ni siri ya Muumba wake na wakati ukifika hana budi kuyakatisha.

 

5 years ago

Mwananchi

Zawadi, uheshimiwa ni vya bwana na bibi harusi

Chereko chereko za harusi kwa kweli zinapendeza zaidi ukilinganisha na sherehe nyingine za kijamii.

 

1 year ago

Zanzibar 24

Bwana harusi apigwa risasi sehemu za siri siku ya sherehe ya harusi

Bwana harusi ajeruhiwa vibaya sehemu za siri, kwenye nyonga na mkononi baada ya kupigwa na risasi iliyokuwa imelengwa kufyatuliwa juu hewani kama ishara ya kusherehekea harusi yake.

Tukio hilo limetokea huko nchini Misri ambapo Osman al-Alsaied mwenye umri wa miaka 28 alikuwa akisherehekea usiku wake wa mwisho akiwa kapera wakati silaha hiyo ilipofyutuliwa upande wake badala ya hewani.

Maafisa wa polisi wanasema kuwa bunduki hiyo ilifyatuliwa kiuzembe na mwanamume mwenye umri wa miaka...

 

3 years ago

MillardAyo

Pale ambapo sherehe ya harusi inalazimika kuendelea japo bwana harusi kafariki… (+Video)

Ndugu jamaa na marafiki walijikuta wakiendelea na ratiba ya mazishi kwa mtindo wa sherehe baada ya bwana harusi kufariki… bibi harusi nae ilibidi akubaliane na ukweli kwamba ndoa yao imekatishwa na kifo cha mume mtarajiwa. Kifo cha bwana harusi John Mwangi kilitokana na ajali baada ya gari kutumbukia mtoni maeneo ya Kabarnet, Kaunti ya Baringo Kenya… […]

The post Pale ambapo sherehe ya harusi inalazimika kuendelea japo bwana harusi kafariki… (+Video) appeared first on...

 

2 years ago

MillardAyo

HEKAHEKA: Bwana harusi akataliwa kuoa siku ya harusi

jjj

Heka Heka ya Leo November 9 2016 kwenye leo Tena ya Clouds FM ni kuhusu Bwana harusi aliyekataliwa kuoa dakika za mwisho za harusi huku taratibu zote zikiwa zimefatwa kwa kutolewa barua na mahari huku bibi harusi akiwa ameshafanyiwa kitchen party na mama yake. Imeelezwa kuwa sababu iliyopelekea bwana harusi kukataliwa ni kutokana na baba mzazi wa bi harusi kutokushirikishwa kwenye […]

The post HEKAHEKA: Bwana harusi akataliwa kuoa siku ya harusi appeared first on...

 

4 years ago

BBCSwahili

Bwana harusi aanguka kifafa kabla ya harusi

Mume aanguka kifafa sekunde chache kabla ya ndoa yake,bi harusi achukizwa na kitendo cha kufichwa hali hiyo, aamua kuolewa na ndugu wa mumewe.

 

5 years ago

Vijimambo

BIBI NA BWANA HARUSI WANUSURIKA KIFO BAADA YA MTUMBWI WALIOPANDA KUZAMA ZIWA TANGANYIKA

Ndugu jamaa na wapambe wa bwana na bibi harusi walionusurika kifo baada ya ajali ya mtumbwi kutokea katika kijiji cha kalalangabo wakiwa wanaendelea na matibabu katika hospita ya Mkoa wa KigomaBibi harusi Mariamu mduwa aliyenusurika kifo katika ajali ya mitumbwi katika kijiji cha kalalangabo akiwa naendelea na matibabu katika hospital ya mkoa wa KigomaWaokoaji mbalimbali wakijindaa kwenda katika eneo ilipotokea ajali ya mitumbwi iliyobeba harusi kutoka kigoma mjini kwenda katika kijiji cha...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani