BWANA HARUSI AINGIA MITINI NDOA YABUMA

Stori:  Mwandishi Wetu
Aiseee! Ndoa ya binti aliyetambulika kwa jina moja la  Husna (16), imebuma baada ya bwanaharusi, Rahim (30), kuingia mitini muda mfupi kabla ndoa kufungwa. Binti anayetambulika kwa jina moja la  Husna (16)(mwenye shela) , aliyetaka kuolewa na bwanaharusi, Rahim (30). Tukio hilo la aina yake lilijiri maeneo ya Kitunda-Kati jijini Dar, wiki iliyopita ambapo chanzo makini kiliwajulisha Oparesheni Fichua...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Global Publishers

Bwana Harusi Aliyeingia Mitini: Shetani Alinipitia

1

Mayasa Mariwata na Gabriel Ng’osha | Gazeti la AMANI, Toleo la Desemba 22, 2016

DAR ES SALAAM: Katika kile kinachoonekana ni kioja cha kufungia mwaka baada ya bwana harusi Samuel John Mwakalobo kutofika kanisani kufunga ndoa na mwandani wake, Given Michael Mgaya, mwanaume huyo ameongea na Amani na kusema shetani alimpitia.

Hata hivyo, kwa mujibu wa chanzo chetu ndani ya familia hiyo, mwanaume huyo mwanzo alikuwa na utayari wa kufunga ndoa lakini cha ajabu siku hiyo ya ndoa iliyotakiwa...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Biharusi aingia mitini usiku wa kuamkia ndoa

Katika hali isiyokua ya kawaida ndugu, jamaa, marafiki na wapambe wa bwana harusi waliokuwa  wanajiandaa kwa harusi ya ndugu yao, wamejikuta wakipigwa na bumbuwazi baada ya biharusi mtarajiwa kuingia mitini.

Biaharusi huyo mkaazi wa kivumoni Msuka Wilaya ya Micheweni, alitoroka nyumbani kwao usiku wa manane kuamkia siku ya Jumatano siku ambayo ilikua ifanyike harusi hiyo  na hadi sasa hajulikani alipo.

Akizungumza na muandishi wa habari hizi bwana harusi Ali Khelef alisema, tayari amepata...

 

2 years ago

Bongo5

Bwana harusi na bibi harusi wazirai kanisani muda mchache kabla ya ndoa yao

Huko Kilimanjaro wilaya Moshi kuna moja kati ya matukio ya nadra kuwahi kutokea katika familia, baba mzazi wa mmoja wa maharusi mwishoni mwa wiki aliibuka kanisani saa chache kabla ya muda uliopangwa kufunga harusi, na kuweka pingamizi.

Maharusi waliopatwa na mkasa huo ni Yohana Mohammed na Rose Sembeye.

Kitendo cha mzazi wa Yohana kuweka pingamizi kilisababisha maharusi wote wawili kupoteza fahamu, na licha ya harusi kutofungwa, wawili hao waliamua kwenda ukumbini kuungana na waalikwa saa...

 

2 years ago

Mwananchi

Bwana harusi aliyekimbia siku ya ndoa arudi nyumbani

Bwana harusi, Samuel Mwakalobo aliyetoweka muda mfupi kabla ya kufunga ndoa na Given Mgaya katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Isanga jijini hapa, amerudi nyumbani kwao juzi.

 

4 months ago

Zanzibar 24

Bwana harusi afariki ghafla akisubiri kufunga ndoa

Sherehe ya harusi iliyokuwa ifanyike juzi jioni katika Kanisa la Nabii wa Utukufu wa Bwana lilipo Olmatejoo, Kata ya Sakina jijini Arusha na kwenye ukumbi wa Sariko Olasiti Garden, iligeuka msiba baada ya bwana harusi kufariki dunia ghafla akiwa kanisani.

Tukio hilo lilitokea majira ya saa 11 jioni katika kanisa hilo ambapo bwana harusi huyo, Heaven Makupa (47) alikuwa kanisani tangu saa saba mchana akisubiri kufunga ndoa na Jane Kimaro.

Hata hivyo, wakati sherehe, nderemo na vifijo...

 

4 months ago

Malunde

BWANA HARUSI AFARIKI AKISUBIRI KUFUNGA NDOA KANISANI


Sherehe ya harusi iliyokuwa ifanyike juzi jioni katika Kanisa la Nabii wa Utukufu wa Bwana lilipo Olmatejoo, Kata ya Sakina jijini Arusha na kwenye ukumbi wa Sariko Olasiti Garden, iligeuka msiba baada ya bwana harusi kufariki dunia ghafla akiwa kanisani.


Tukio hilo lilitokea majira ya saa 11 jioni katika kanisa hilo ambapo bwana harusi huyo, Heaven Makupa (47) alikuwa kanisani tangu saa saba mchana akisubiri kufunga ndoa na Jane Kimaro.
Hata hivyo, wakati sherehe, nderemo na vifijo...

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Vurugu zaibuka kanisani Arusha, Bwana Harusi akidaiwa kufunga ndoa ya pili

if

Weekend hii siku ya Jumamosi mkoani Arusha wakati ndoa ikifungwa katika kanisa la Kiinjili la Kilutheri ‘KKKT’, Usharika wa Usa River, wilayani Arumeru ziliibuka vurugu baada ya pande mbili zilizokuwa zikivutana upande mmoja ukidai bwana harusi anafunga ndoa ya pili na Bibi harusi aitwaye Agnes Kaaya. Ndoa hiyo iliyokuwa ikifungwa majira ya mchana iliingia dosari  […]

The post VIDEO: Vurugu zaibuka kanisani Arusha, Bwana Harusi akidaiwa kufunga ndoa ya pili appeared first on...

 

1 year ago

BBCSwahili

Bwana harusi apigwa risasi sehemu nyeti siku moja kabla ya ndoa Misri

Wakati sherehe ilikuwa ikifanyika siku moja kabla ya harusi yake, risasi zilizofyatuliwa kusherekea zilimpiga mguuni, mkononi na sehemu nyeti ya uume wake.

 

4 years ago

Mtanzania

Kocha Etoile aingia mitini

faouzibenzartiNA ONESMO KAPINGA

KOCHA Mkuu wa Etoile du Sahel ya Tunisia, Faouzi Benzarti, ameingia mitini baada ya kushindwa kutokea katika mkutano wa makocha na waandishi wa habari ulioandaliwa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa ajili ya mchezo wao wa Kombe la Shirikisho Afrika utakaochezwa leo katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Benzarti alishindwa kuhudhuria mkutano huo kwa madai walichoka baada ya kuwa angani kwa saa tisa wakitokea Tunisia ambapo waliwasili Dar es Salaam jana alfajiri.

Kwa...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani