Bwana harusi apigwa risasi sehemu nyeti siku moja kabla ya ndoa Misri

Wakati sherehe ilikuwa ikifanyika siku moja kabla ya harusi yake, risasi zilizofyatuliwa kusherekea zilimpiga mguuni, mkononi na sehemu nyeti ya uume wake.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

BBCSwahili

Bwana harusi apigwa risasi katika sehemu nyeti Misri

Bwana harusi moja nchini Misri anejaruhuwa vibaya baada kupigwa na risasi iliokuwa imefyatuliwa ili kusherehekea harusi yake.

 

1 year ago

Zanzibar 24

Bwana harusi apigwa risasi sehemu za siri siku ya sherehe ya harusi

Bwana harusi ajeruhiwa vibaya sehemu za siri, kwenye nyonga na mkononi baada ya kupigwa na risasi iliyokuwa imelengwa kufyatuliwa juu hewani kama ishara ya kusherehekea harusi yake.

Tukio hilo limetokea huko nchini Misri ambapo Osman al-Alsaied mwenye umri wa miaka 28 alikuwa akisherehekea usiku wake wa mwisho akiwa kapera wakati silaha hiyo ilipofyutuliwa upande wake badala ya hewani.

Maafisa wa polisi wanasema kuwa bunduki hiyo ilifyatuliwa kiuzembe na mwanamume mwenye umri wa miaka...

 

4 years ago

GPL

SIKU MOJA KABLA YA NDOA BI HARUSI AGOMA KUOLEWA!

Chande Abdallah na Deogratius Mongela
KIMENUKA! Ikiwa ni siku moja tu kabla ya kufungwa kwa ndoa kati ya Zuhura Omari na Abdallah Salehe, katika hali isiyotarajiwa, mke mtarajiwa amekataa kushiriki tendo hilo la kheri licha ya taratibu zote kukamilika na kusababisha tafrani kubwa huko Buguruni Kwa Mnyamani jijini Dar mwishoni mwa wiki iliyopita. Ndugu wakiwa hawana la kufanya baada ya binti huyo kugoma kuolewa. Tukio hilo...

 

2 years ago

Bongo5

Bwana harusi na bibi harusi wazirai kanisani muda mchache kabla ya ndoa yao

Huko Kilimanjaro wilaya Moshi kuna moja kati ya matukio ya nadra kuwahi kutokea katika familia, baba mzazi wa mmoja wa maharusi mwishoni mwa wiki aliibuka kanisani saa chache kabla ya muda uliopangwa kufunga harusi, na kuweka pingamizi.

Maharusi waliopatwa na mkasa huo ni Yohana Mohammed na Rose Sembeye.

Kitendo cha mzazi wa Yohana kuweka pingamizi kilisababisha maharusi wote wawili kupoteza fahamu, na licha ya harusi kutofungwa, wawili hao waliamua kwenda ukumbini kuungana na waalikwa saa...

 

1 year ago

Malunde

BWANA ARUSI APIGWA RISASI SEHEMU ZA SIRI


Bwana harusi mmoja chini Misri amepatwa na bahati mbaya ya ajali siku moja kabla ya harusi yake.

Wakati sherehe ilikuwa ikifanyika siku moja kabla ya harusi yake, risasi zilizofyatuliwa kusherekea zilimpiga mguuni, mkononi na sehemu ya nyeti ya uume wake.Polis waliwaambia waandishi wa habari kuwa bwana harusi alipelekwa hospitalini huku uchunguzi ukiendea.
Mwanamume aliyetajwa kufyatua risasi hizo anaripotiwa kutoroka, lakini baaadaye alikamatwa na polisi.
Kisa hicho kimezua shutuma kwenye...

 

2 years ago

Mwananchi

Bwana harusi aliyekimbia siku ya ndoa arudi nyumbani

Bwana harusi, Samuel Mwakalobo aliyetoweka muda mfupi kabla ya kufunga ndoa na Given Mgaya katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Isanga jijini hapa, amerudi nyumbani kwao juzi.

 

4 years ago

GPL

BI. HARUSI ATOWEKA SIKU 4 KABLA YA NDOA

Deogratius mongela
MTU mmoja aliyetambuliwa kwa jina la Juma Mwinyivue maarufu kama ‘Tabambwa’ (28) mkazi wa Zogowale, Visiga mkoani Pwani, alijikuta katika wakati mgumu baada ya mwanamke aliyetaraji kumuoa, aliyetajwa kwa jina moja la Manka (20) kumzimia simu na kuingia mitini siku chache kabla ya ndoa yao, tukio lililotokea Mei 23, mwaka huu. Juma Mwinyivue maarufu kama ‘Tabambwa' anayedaiwa kutorokwa na mchumbaake....

 

5 years ago

GPL

BIBI HARUSI ANYONGWA SIKU CHACHE KABLA YA NDOA

Stori: Deogratius Mongela na Shani Ramadhani My God! Bibi harusi mtarajiwa aliyejulikana kwa jina la Edna Sangawe (34), mkazi wa Mikocheni B jijini Dar anadaiwa kunyongwa na watu wasiojulikana na mwili wake kutelekezwa maeneo ya Changanyikeni, Makongo-Juu, Dar, Risasi Jumamosi lina kisa kizima. Marehemu Edna Sangawe (34) enzi za uhai wake. ILIVYOKUWA
Kwa mujibu wa chanzo makini, Machi 31, mwaka huu muda wa saa 2:00 usiku,...

 

4 years ago

BBCSwahili

Bwana harusi aanguka kifafa kabla ya harusi

Mume aanguka kifafa sekunde chache kabla ya ndoa yake,bi harusi achukizwa na kitendo cha kufichwa hali hiyo, aamua kuolewa na ndugu wa mumewe.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani