Bwana harusi na bibi harusi wazirai kanisani muda mchache kabla ya ndoa yao

Huko Kilimanjaro wilaya Moshi kuna moja kati ya matukio ya nadra kuwahi kutokea katika familia, baba mzazi wa mmoja wa maharusi mwishoni mwa wiki aliibuka kanisani saa chache kabla ya muda uliopangwa kufunga harusi, na kuweka pingamizi.

Maharusi waliopatwa na mkasa huo ni Yohana Mohammed na Rose Sembeye.

Kitendo cha mzazi wa Yohana kuweka pingamizi kilisababisha maharusi wote wawili kupoteza fahamu, na licha ya harusi kutofungwa, wawili hao waliamua kwenda ukumbini kuungana na waalikwa saa...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Zanzibar 24

Maharusi wazirai kanisani muda mchache kabala ya kufunga ndoa

Huko Kilimanjaro wilaya Moshi kumetokea tukio ambalo ni  nadra  kutokea katika familia, baba mzazi wa mmoja kati ya maharusi wawili waliotarajiwa kufunga ndoa mwishoni mwa wiki aliibuka kanisani saa chache kabla ya kufunga ndoa, na kuweka pingamizi ambazo hakuzitaja hadharani .

Maharusi waliopatwa na mkasa huo ni Yohana Mohammed na Rose Sembeye ambao waliripotiwa kupoteza fahamu mara baada baba ambae ni mzazi wa yohana kutoa pingamizi kanisani hapo.

Lakini  licha ya ndoa hiyo kutofungwa,...

 

1 year ago

Malunde

BWANA HARUSI AFARIKI KWENYE AJALI YA GARI,BIBI HARUSI AJERUHIWA SINGIDA


Muonekano wa Noah baada ya ajaliHiace iliyopata ajali***
WATU 12 wamekufa na wengine 22 kujeruhiwa katika ajali iliyotokea kijiji cha Ighuka wilayani Ikungi kwenye Barabara Kuu ya Singida – Manyoni baada ya Toyota Hiace walimokuwa wakisafiria kutoka kumchukua bibi harusi kugongana uso kwa uso na Toyota Noah iliyokuwa imepakia watu kutoka msibani.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, Debora Magiligimba alisema kuwa ajali hiyo ilitokea juzi saa mbili usiku kwa kulihusisha gari lenye namba za...

 

4 months ago

Malunde

BWANA HARUSI AFARIKI AKISUBIRI KUFUNGA NDOA KANISANI


Sherehe ya harusi iliyokuwa ifanyike juzi jioni katika Kanisa la Nabii wa Utukufu wa Bwana lilipo Olmatejoo, Kata ya Sakina jijini Arusha na kwenye ukumbi wa Sariko Olasiti Garden, iligeuka msiba baada ya bwana harusi kufariki dunia ghafla akiwa kanisani.


Tukio hilo lilitokea majira ya saa 11 jioni katika kanisa hilo ambapo bwana harusi huyo, Heaven Makupa (47) alikuwa kanisani tangu saa saba mchana akisubiri kufunga ndoa na Jane Kimaro.
Hata hivyo, wakati sherehe, nderemo na vifijo...

 

3 years ago

Mtanzania

Bibi harusi amkimbia bwana harusi

NA UPENDO MOSHA, MOSHI

 

MWANAMKE aliyejulikana kwa jina la Doroth Msuya, mkazi wa Monduli mkoani Arusha, ametoweka muda mfupi kabla ya kufunga ndoa na Joseph Machange, mkazi wa Mwika, Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro.

Ndoa ya wawili hao ilitarajiwa kufungwa Jumamosi ya Novemba 7 katika Kanisa la Kinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini, Usharika wa Lole, Mwika.

 Mchungaji mwenza wa usharika huo, Elikeseni Shao, alisema majira ya saa sita na nusu mchana wakati maandalizi...

 

4 years ago

BBCSwahili

Bwana harusi aanguka kifafa kabla ya harusi

Mume aanguka kifafa sekunde chache kabla ya ndoa yake,bi harusi achukizwa na kitendo cha kufichwa hali hiyo, aamua kuolewa na ndugu wa mumewe.

 

3 years ago

Mwananchi

Bibi harusi atoroka saa chache kabla ya ndoa

Bibi harusi amezua gumzo mjini hapa baada ya kutoweka saa tatu kabla ya kufunga ndoa ambayo sherehe yake iligharimu Sh7 milioni.

 

5 years ago

GPL

BIBI HARUSI ANYONGWA SIKU CHACHE KABLA YA NDOA

Stori: Deogratius Mongela na Shani Ramadhani My God! Bibi harusi mtarajiwa aliyejulikana kwa jina la Edna Sangawe (34), mkazi wa Mikocheni B jijini Dar anadaiwa kunyongwa na watu wasiojulikana na mwili wake kutelekezwa maeneo ya Changanyikeni, Makongo-Juu, Dar, Risasi Jumamosi lina kisa kizima. Marehemu Edna Sangawe (34) enzi za uhai wake. ILIVYOKUWA
Kwa mujibu wa chanzo makini, Machi 31, mwaka huu muda wa saa 2:00 usiku,...

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Vurugu zaibuka kanisani Arusha, Bwana Harusi akidaiwa kufunga ndoa ya pili

if

Weekend hii siku ya Jumamosi mkoani Arusha wakati ndoa ikifungwa katika kanisa la Kiinjili la Kilutheri ‘KKKT’, Usharika wa Usa River, wilayani Arumeru ziliibuka vurugu baada ya pande mbili zilizokuwa zikivutana upande mmoja ukidai bwana harusi anafunga ndoa ya pili na Bibi harusi aitwaye Agnes Kaaya. Ndoa hiyo iliyokuwa ikifungwa majira ya mchana iliingia dosari  […]

The post VIDEO: Vurugu zaibuka kanisani Arusha, Bwana Harusi akidaiwa kufunga ndoa ya pili appeared first on...

 

1 year ago

BBCSwahili

Bwana harusi apigwa risasi sehemu nyeti siku moja kabla ya ndoa Misri

Wakati sherehe ilikuwa ikifanyika siku moja kabla ya harusi yake, risasi zilizofyatuliwa kusherekea zilimpiga mguuni, mkononi na sehemu nyeti ya uume wake.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani