CCM INA UWEZO WA KUTAFUTA MGOMBEA WA URAIS MWENYE SIFA - RAZA  Mbunge wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar,Mohamed Raza akionesha baadhi ya vifungu vya sheria vilivyopo kwenye kitabu kidogo cha sheria za Zanzibar,Mbele ya Waandishi wa Habari (hawapo pichani) leo katika ukumbi wa Idara ya Habari MAELEZO jijini Dar es Salaam. Mtangazaji wa BB Swahili nchini Tanzania,Arnold Kayanda akifanya mahojiano mafupi na Mbunge wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Mohamed Raza mara baada ya kuzungumza na Waandishi wa habari katika ukumbi wa Idara ya Habari MAELEZO...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Mwananchi

Sifa kumi za mgombea urais wa CCM

Hivi karibuni nimesaidiana kimawazo na Watanzania wenzangu katika kufanya uchambuzi wa watu wanaotajwa au waliojitangaza kuwa watawania uteule wa urais kupitia CCM na nalishukuru gazeti hili kwa kukubali kuchapisha maoni yangu.

 

4 years ago

Mwananchi

Warioba: CCM ina kazi ngumu kumpata mgombea urais

Waziri Mkuu wa zamani, Jaji Joseph Warioba amesema CCM inakabiliwa na kazi ngumu ya kupata mgombea wa urais atakayepeperusha bendera ya chama hicho kwenye uchaguzi wa mwaka huu, akionya kuwa makundi ya urais yasipomalizwa yanaweza kufika hadi ngazi ya kata.

 

4 years ago

Habarileo

Sadifa awaondoa hofu CCM sifa za mgombea urais

Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Sadifa Juma SadifaWANACHAMA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamehakikishiwa kuwa Kamati Kuu ya chama hicho itateua mgombea urais mwenye sifa zinazostahili na anayekubalika kwa wananchi na haitakata jina la mgombea bila sababu za msingi.

 

4 years ago

Vijimambo

PICHA: MGOMBEA WA URAIS KWA TIKETI YA CCM DKT. JOHN MAGUFULI NA MGOMBEA MWENZA MH. SAMIA SULUHU WACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea Mgombea wa Urais Dkt John Pombe Magufuli  kupitia Chama hicho katika ofisi ndogo ya CCM Lumumba baada ya kuchukua Fomu ya Kugombea Urais katika Ofisi za NEC Leo. 
  Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea Mgombea Mwenza  wa Urais Mh. Samia Suluhu  kupitia Chama hicho katika ofisi ndogo ya CCM Lumumba baada ya kuchukua Fomu ya Kugombea Urais katika Ofisi za NEC Leo.   Baadhi ya...

 

4 years ago

Habarileo

UVCCM yataja sifa za mgombea urais ajaye

Katibu Mkuu wa Taifa UVCCM Taifa, Sixtus Mapunda UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) umetaja sifa za mgombea urais, anayetakiwa kugombea kupitia chama hicho katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu.

 

4 years ago

Mwananchi

Sifa 10 za mgombea urais bora wa upinzani 2015

Ni jana tu nimemaliza uchambuzi wa watu wanaotajwa au waliojitokeza kugombea urais au wale ambao hawajajitangaza na hawana nia lakini jamii ndani na nje ya vyama vyao inawataja kama watu wenye sifa, uwezo na hata vigezo vya kuiongoza nchi yetu, kutoka vyama vya upinzani.

 

3 years ago

Mwananchi

CHIFU LYEMBA - Mgombea urais mwenye watoto zaidi ya 20

Kama angefanikiwa kushinda kiti cha urais, hakuna ubishi kwanza Tanzania ingeweka historia kwa kumchagua kiongozi mwenye wake na watoto wengi.

 

5 years ago

Tanzania Daima

CCM yahaha kutafuta mgombea Zanzibar

HARAKATI za kutafuta mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika uchaguzi mkuu utakaofanyika mwakani zimezidi kushika kasi ambapo safari hii baadhi ya majina kutoka Zanzibar yanatajwa tajwa kumrithi Rais...

 

5 years ago

Zitto Kabwe, MB

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani