‘CCM italinda amani, utulivu’

Rais na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na wananchi na wanaCCM wa mikoa ya Pemba katika uzinduzi wa sherehe za miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM Uwanja wa Gombani Wilaya ya Chake Chake, Pemba jana. (Picha na Mpigapicha Wetu).MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amesema CCM itasimamia misingi yake mikuu ya kuasisiwa kwake, ambayo ni kulinda amani na utulivu wa wananchi wake.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Habarileo

Shein: Amani na utulivu kipaumbele cha CCM

MWENYEKITI wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein amesema ili kuhakikisha kunakuwepo na maendeleo ya kiuchumi na kijamii, suala la amani na utulivu ni la kipaumbele kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na serikali zake.

 

3 years ago

Bongo5

Waziri Mkuu: Serikali italinda amani kwa gharama yoyote

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema serikali itahakikisha inalinda amani ya nchi kwa gharama zozote na kamwe haitoruhusu mwanasiasa yeyote kusababisha vurugu zitakazochochea uvunjifu wa amani.

DSC_1818

Amesema hayo leo jijini Dar es Salaam na kuwaondoa hofu wananchi kuwa serikali haitakubali mwanasiasa yeyote kuharibu amani.

“Ni kweli kuna viashiria, lakini nataka kukuhakikishia kwamba serikali tumesimama vizuri hatutaruhusu mwanasiasa yeyote atakaye sababisha vurugu nchi hii, kimbilio la katiba...

 

3 years ago

Raia Mwema

Tunawatakia uchaguzi wa amani na utulivu

JUMAPILI ijayo, Watanzania watafanya uamuzi wa kuchagua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,

Mwandishi Wetu

 

2 years ago

Zanzibar 24

Zanzibar yasisitizwa Amani na utulivu

Mwanzilishi wa huduma ya Efatha Ulimwenguni Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira amesema Zanzibar inaweza kupiga hatua zaidi  za kimaendeleo  endapo  imani za dini zitabaki kutawala katika nyoyo za wananchi ili  kudumisha amani .

Akizungumza mara baada ya kukutana na Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi huko Ofisini kwake Vuga Mjini Zanzibar amesema lengo la ujio wake ni kuhamasisha viongozi na wananchi kudumisha amani na utulivu ili Zanzibar iweze kupiga hatua nzuri...

 

3 years ago

Habarileo

Mitihani yaanza kwa amani na utulivu

MTIHANI wa kidato cha nne ulioanza jana nchini kote umeanza kwa hali ya utulivu na amani katika shule mbalimbali za jiji la Dar es Salaam.

 

4 years ago

Habarileo

Wema na wenzake kunadi amani, utulivu

KUNDI la wasanii wa kike wa Chama Cha Mapinduzi ‘CCM’ wakiongozwa na Wema Sepetu wanatarajia kufanya tamasha kubwa la Mama Ongea na Mwanao 2015 kwa ajili ya kuhamasisha watu kuwaheshimu wanawake na kuwathamini kuelekea kipindi hiki cha Uchaguzi Mkuu 2015.

 

4 years ago

StarTV

Wanasiasa wahimizwa kulinda amani na utulivu

 

Wanasiasa wa vyama mbalimbali wametakiwa kuilinda na kuiendeleza amani  na utulivu iliyopo nchini katika kipindi hiki cha kampeni za kuelekea uchaguzi mkuu kwa kutotoa maneno yatakayo hamasisha watanzania kufanya vurugu

Wakiongea na Star Tv baadhi ya wananchi wamesema kuwa toka nchi ipate uhuru haijawahi kufanya uchaguzi uliyo na ushindani mkubwa kama wa mwaka huu kutokana na joto la uchaguzi na ushabiki kuwa kubwa .

 

Mkuu wa wilaya ya Kondoa Shabani Kisu  anapata nafasi katika uzinduzi...

 

4 years ago

Habarileo

Watanzania watakiwa kulinda amani, utulivu

Waziri Mkuu, Mizengo PindaWATANZANIA wametakiwa kulinda amani ya nchi kwa manufaa ya vizazi vya sasa na vijavyo ili kuliletea taifa maendeleo.

 

4 years ago

Habarileo

Asisitiza amani na utulivu kwenye uchaguzi

KATIBU wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga, Shija Othmani amewahimiza wafuasi wa vyama mbalimbali na wananchi kuendelea kudumisha amani na utulivu kwenye kipindi hiki cha kumalizia kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na siku ya uchaguzi ili kufanikisha kazi hiyo.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani