CCM kuelekeza mashambulizi kwenye Majimbo ya Ukawa

Kuelekeza ‘mishale’ kwenye majimbo ya ubunge yanayoshikiliwa na upinzani ni moja ya majukumu waliyopewa washindi wa nafasi za juu katika uongozi wa CCM wa mikoa. Katika chaguzi hizo, waliokuwa wasimamizi, wagombea na baadaye waliofanikiwa kushinda, wamekuwa ‘wakilishana yamini’ ya kuendesha mkakati wa kurudisha majimbo na kata walizoshindwa kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2015. Lakini wakati CCM ikijipanga, Chadema imekejeli mikakati hiyo ikisema kazi hiyo itakuwa rahisi ikiwa chama hicho...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Mwananchi

CCM, Ukawa waporana majimbo

Wakati matokeo ya ubunge yakiendelea kutangazwa, CCM na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) vinazidi kunyang’anyana majimbo vilivyokuwa vinayashikilia, yakiwamo majimbo yaliyokuwa chini ya wabunge maarufu.

 

3 years ago

Mwananchi

Ukawa ilivyoipa CCM majimbo

Licha ya makubaliano ya kusimamisha mgombea mmoja kila jimbo yaliyofikiwa na Ukawa, umoja huo wa Katiba ya Wananchi umepoteza majimbo mawili kwa sababu ya kushindwa kutekeleza makubaliano hayo.

 

11 months ago

Malunde

CCM WAELEKEZA MISHALE MAJIMBO YA UKAWA
Kuelekeza ‘mishale’ kwenye majimbo ya ubunge yanayoshikiliwa na upinzani ni moja ya majukumu waliyopewa washindi wa nafasi za juu katika uongozi wa CCM wa mikoa.

Katika chaguzi hizo, waliokuwa wasimamizi, wagombea na baadaye waliofanikiwa kushinda, wamekuwa ‘wakilishana yamini’ ya kuendesha mkakati wa kurudisha majimbo na kata walizoshindwa kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2015.

Lakini wakati CCM ikijipanga, Chadema imekejeli mikakati hiyo ikisema kazi hiyo itakuwa rahisi ikiwa chama hicho kitatekeleza...

 

3 years ago

Mwananchi

Ukawa wapinga ushindi wa CCM majimbo sita

Vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa); NCCR – Mageuzi na Chadema vimefungua kesi mahakamani kupinga matokeo ya uchaguzi wa ubunge katika majimbo sita.

 

4 years ago

Mwananchi

KUELEKEA MAJIMBONI: Patachimbika CCM na Ukawa majimbo ya Mvomero na Kilombero

>Leo tunaanza uchambuzi wa majimbo ya Mkoa wa Morogoro, tukiukamilisha mkoa huu tutakuwa tumehesabu jumla ya mikoa 17 ambayo tumefanikiwa kuchambua majimbo yote yaliyomo kwenye mikoa hiyo.

 

2 years ago

Mwananchi

KUELEKEA MWAKA MMOJA WA MAGUFULI: ...CCM, Ukawa waporana majimbo

Wakati matokeo ya ubunge yakiendelea kutangazwa, CCM na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) vinazidi kunyang’anyana majimbo vilivyokuwa vinayashikilia, yakiwamo yaliyokuwa chini ya wabunge maarufu.

 

3 years ago

Mwananchi

Kazi ipo CCM, Ukawa majimbo ya Chaani,Kijini, Mkwajuni, Nungwi na Tumbatu

Katika jimbo la Chaani hakuna shaka kuwa CCM ina nguvu ya kihistoria na imejijenga vilivyo. Jumla ya vyama vinne vilijitokeza ili kushiriki uchaguzi mkuu wa mwaka 1995 ikiwemo Chadema, CUF, Tadea na CCM

 

3 years ago

Michuzi

CCM inapenda kutoa taarifa ifuatayo kwa wana-CCM na kwa umma: MALALAMIKO YA CCM KUHUSU MATOKEO KWENYE BAADHI YA MAJIMBO

Chama cha Mapinduzi hakijaridhishwa na utaratibu wa kukusanya na kujumlisha matokeo kwenye baadhi ya majimbo. Katika majimbo manne kumekuwa na ukiukwaji mkubwa wa utaratibu wa uchaguzi, hasa katika kujumlisha matokeo, uliopelekea wabunge wa upinzani kutangazwa washindi. Majimbo hayo ni Iringa Mjini, Mikumi, Ndanda na Kawe. 
Wasimamizi wa uchaguzi katika majimbo haya wamevuruga uchaguzi. Kutokana na utata uliokuwa umejitokeza wakati wa zoezi la kujumlisha kura, CCM iliomba kura zihesabiwe upya...

 

3 years ago

GPL

MALALAMIKO YA CCM KUHUSU MATOKEO KWENYE BAADHI YA MAJIMBO

Mjumbe wa kamati ya Kampeni ya CCM, January Makamba. Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamesema watakwenda mahakamani kupinga matokeo ya ubunge majimbo ya; Iringa Mjini, Mikumi, Ndanda na Kawe. Akizungumza na wanahabari jijini Dar es Salaam, Mjumbe wa kamati ya Kampeni ya CCM, January Makamba amesema kuwa CCM haijaridhishwa na utaratibu wa ukusanyaji na ujumlishaji wa matokeo katika baadhi ya majimbo. Taarifa yote soma hapa chini ...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani