CCM SINGIDA : NYALANDU KAHAMA CCM KWA HASIRA ZA KUKOSA UWAZIRI


Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Singida kimesema sababu zilizotolewa na aliyekuwa Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu za kuacha ubunge hazina mashiko, isipokuwa kilichomsukuma kufikia uamuzi huo ni hasira za kukosa uwaziri.

Katibu wa CCM mkoani Singida, Jamson Mhagama alisema jana Jumatatu Oktoba 30,2017 kuwa, “Kwa maono yake ameona siasa za nchi haziendi vizuri na kuamua kwenda kusaka siasa zitakazompendeza, tunamtakia kila la kheri. Ila tunamwonya kuwa asitarajie tena kupata...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Zanzibar 24

Nyalandu ahama CCM kwa hasira za kukosa Uwaziri: Mhagama

Katibu wa CCM mkoani Singida, Jamson Mhagama amesema sababu zilizopelekea aliyekuwa Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu kuacha ubunge na kuhama kabisa CCM ni hasira za kukosa uwaziri. “Kwa maono yake ameona siasa za nchi haziendi vizuri na kuamua kwenda kusaka siasa zitakazompendeza, tunamtakia kila la kheri. Ila tunamwonya kuwa asitarajie tena kupata ubunge kupitia Chadema anakolilia kwenda, CCM itashinda kwa kishindo katika uchaguzi mdogo ujao,” alisema. “Wananchi walimwamini...

 

4 years ago

Michuzi

NYALANDU ASHINDA KURA ZA MAONI UBUNGE CCM SINGIDA KASKAZINI

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, ameibuka na ushindi wa kishindo katika kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuwania ubunge Jimbo la Singida Kaskazini.
Nyalandu, ambaye alikitetea nafasi hiyo aliwashinda wagombea wenzake saba waliojitokeza kupambana naye, ambapo aliongoza kwenye kata zote za jimbo hilo na kuwaacha mbali wapinzani wake.
Mwanasiasa huyo kijana na mwenye ushawishi mkubwa, aliongoza katika Kata za Ikhanoda, Msange, Itaja, Mwasauya, Mrama, Maghojoa,...

 

2 years ago

CHADEMA Blog

Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu ajivua Ubunge; ajitoa CCM na kuomba kujiunga CHADEMA

NIMEAMUA kujiuzulu NAFASI yangu ya Ujumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM, pamoja na nafasi zote za Uongozi ndani ya Chama kuanzia leo, Oktoba 30, 2017. HALIKADHALIKA, asubuhi ya leo nimemwandikia Spika wa Bunge, Mh. Job Ndugai, Mb., barua ya kujiuzulu nafasi yangu ya UBUNGE wa Jimbo la Singida Kaskazini kupitia tiketi ya CCM, nafasi ambayo nimeitumikia kwa vipindi vinne

 

2 years ago

MillardAyo

Ayo TV MAGAZETI: Hasira 5 za Lowassa kwa Serikali, CCM, Madudu ya elimu Bungeni

Kila siku asubuhi ungana na AyoTV ili kusomewa habari zote kubwa kwenye Magazeti ya Tanzania  ambapo leo May 14, 2017 yupo David King, ukibonyeza play kwenye hii video hapa chini atakusomea zote kubwa za leo. ULIKOSA UCHAMBUZI WA MAGAZETI KUTOKA AYO TV MAY 13 2017? UNAWEZA KUIANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI.

The post Ayo TV MAGAZETI: Hasira 5 za Lowassa kwa Serikali, CCM, Madudu ya elimu Bungeni appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

Michuzi

MWENYEKITI WA CCM JAKAYA MRISHO KIKWETE AWASILI SINGIDA KWENYE MAADHIMISHO YA MIAKA 39 YA KUZALIWA CCM


 Kikwete akiwapungia mkono wananchi Mwenyekiti wa CCM, Rais mstaafu Jakaya Kikwete akijadiliana jambo na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kulia) pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Singida, Parseko Kone. Kulia ni Katibu Mwenezi wa CCM, Nape Nnauye. Kikwete akiwa na Nape, Kone na Kinana baada ya kuwasili.Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

3 years ago

Dewji Blog

Wanachama wa CCM Singida, wajitokeza kuvaa viatu alivyoviacha Mgana Msindai vya nafasi ya uenyekiti CCM mkoa

IMG_1998

Mwana CCM, Martha Mosses Mlata (kushoto) akirejesha fomu za kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Singida kwa Katibu msaidizi CCM mkoa wa Singida, Adamu Makulilo leo.Nafasi ya Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Singida,iliachwa wazi na Mgana Izumbe Msindai aliyetimkia CHADEMA baada ya kushindwa kwenye kura za maoni wakati wa kinyang’anyiro za kura za maoni (nafasi ya ubunge) ndani ya CCM.

IMG_2001

IMG_2008

Mwanyekiti wa jumuiya ya wazazi (CCM) mkoa wa Singida, Yusuph Mwandami Gwayoka (kushoto) akikabidhiwa...

 

4 years ago

Michuzi

CCM inapenda kutoa taarifa ifuatayo kwa wana-CCM na kwa umma: MALALAMIKO YA CCM KUHUSU MATOKEO KWENYE BAADHI YA MAJIMBO

Chama cha Mapinduzi hakijaridhishwa na utaratibu wa kukusanya na kujumlisha matokeo kwenye baadhi ya majimbo. Katika majimbo manne kumekuwa na ukiukwaji mkubwa wa utaratibu wa uchaguzi, hasa katika kujumlisha matokeo, uliopelekea wabunge wa upinzani kutangazwa washindi. Majimbo hayo ni Iringa Mjini, Mikumi, Ndanda na Kawe. 
Wasimamizi wa uchaguzi katika majimbo haya wamevuruga uchaguzi. Kutokana na utata uliokuwa umejitokeza wakati wa zoezi la kujumlisha kura, CCM iliomba kura zihesabiwe upya...

 

2 years ago

Malunde

TUNDU LISSU AMPONGEZA NYALANDU KWA UJASIRI WA KUIPIGA CHINI CCM

Mbunge wa Singida Mashariki(Chadema), Tundu Lissu amempongeza aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki(CCM), Lazaro Nyalandu kwa kupata ujasiri wa kuchukua hatua kubwa ambayo hata wabunge wengi waliopo ndani ya CCM wanashindwa kuichukua.

Lissu ambaye yuko kwenye matibabu jijini Nairobi  nchini Kenya amempongeza Nyalandu kwa kuwa ni alikuwa mbunge jirani yake na kuwa ujasiri wa kufanya hivyo.
Mbali na kumpongeza Nyalandu pia Lissu amezungumzia uchaguzi wa madiwani katika kata 43 akieleza kuwa...

 

3 years ago

Michuzi

mwenyekiti wa ccm rais Mstaafu Dkt Jakaya Kikwete akiendelea kukagua shughuli mbalimbali kuelekea kilele cha maadhimisho ya miaka 39 ya ccm mkoani singida

 Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akipiga picha na mke wake Mama Salma Kikwete, leo, mbele ya nyumba alimoishi mjiini Singida mwaka 1975, wakati huo akiwa katibu Msaidizi wa  TANU  wilaya ya Singida mjini. Kikwete yupo mkoani Singida kwa ajili ya kuongoza Maadhimisho ya Miaka 39 ya CCM, ambayo kilele chake kitaifa ni leo. (Picha na Bashir Nkoromo).Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akiasili kwenye Ofisi ya CCM mkoa wa Singida leo, alipotembelea Ofisi hiyo, akiwa...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani