CCM WAELEKEZA MISHALE MAJIMBO YA UKAWA
Kuelekeza ‘mishale’ kwenye majimbo ya ubunge yanayoshikiliwa na upinzani ni moja ya majukumu waliyopewa washindi wa nafasi za juu katika uongozi wa CCM wa mikoa.

Katika chaguzi hizo, waliokuwa wasimamizi, wagombea na baadaye waliofanikiwa kushinda, wamekuwa ‘wakilishana yamini’ ya kuendesha mkakati wa kurudisha majimbo na kata walizoshindwa kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2015.

Lakini wakati CCM ikijipanga, Chadema imekejeli mikakati hiyo ikisema kazi hiyo itakuwa rahisi ikiwa chama hicho kitatekeleza...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Mwananchi

CCM, Ukawa waporana majimbo

Wakati matokeo ya ubunge yakiendelea kutangazwa, CCM na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) vinazidi kunyang’anyana majimbo vilivyokuwa vinayashikilia, yakiwamo majimbo yaliyokuwa chini ya wabunge maarufu.

 

3 years ago

Mwananchi

Ukawa ilivyoipa CCM majimbo

Licha ya makubaliano ya kusimamisha mgombea mmoja kila jimbo yaliyofikiwa na Ukawa, umoja huo wa Katiba ya Wananchi umepoteza majimbo mawili kwa sababu ya kushindwa kutekeleza makubaliano hayo.

 

3 years ago

Mwananchi

Ukawa wapinga ushindi wa CCM majimbo sita

Vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa); NCCR – Mageuzi na Chadema vimefungua kesi mahakamani kupinga matokeo ya uchaguzi wa ubunge katika majimbo sita.

 

11 months ago

Zanzibar 24

CCM kuelekeza mashambulizi kwenye Majimbo ya Ukawa

Kuelekeza ‘mishale’ kwenye majimbo ya ubunge yanayoshikiliwa na upinzani ni moja ya majukumu waliyopewa washindi wa nafasi za juu katika uongozi wa CCM wa mikoa. Katika chaguzi hizo, waliokuwa wasimamizi, wagombea na baadaye waliofanikiwa kushinda, wamekuwa ‘wakilishana yamini’ ya kuendesha mkakati wa kurudisha majimbo na kata walizoshindwa kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2015. Lakini wakati CCM ikijipanga, Chadema imekejeli mikakati hiyo ikisema kazi hiyo itakuwa rahisi ikiwa chama hicho...

 

4 years ago

Mwananchi

KUELEKEA MAJIMBONI: Patachimbika CCM na Ukawa majimbo ya Mvomero na Kilombero

>Leo tunaanza uchambuzi wa majimbo ya Mkoa wa Morogoro, tukiukamilisha mkoa huu tutakuwa tumehesabu jumla ya mikoa 17 ambayo tumefanikiwa kuchambua majimbo yote yaliyomo kwenye mikoa hiyo.

 

2 years ago

Mwananchi

KUELEKEA MWAKA MMOJA WA MAGUFULI: ...CCM, Ukawa waporana majimbo

Wakati matokeo ya ubunge yakiendelea kutangazwa, CCM na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) vinazidi kunyang’anyana majimbo vilivyokuwa vinayashikilia, yakiwamo yaliyokuwa chini ya wabunge maarufu.

 

3 years ago

Mwananchi

Kazi ipo CCM, Ukawa majimbo ya Chaani,Kijini, Mkwajuni, Nungwi na Tumbatu

Katika jimbo la Chaani hakuna shaka kuwa CCM ina nguvu ya kihistoria na imejijenga vilivyo. Jumla ya vyama vinne vilijitokeza ili kushiriki uchaguzi mkuu wa mwaka 1995 ikiwemo Chadema, CUF, Tadea na CCM

 

3 years ago

Dewji Blog

Taarifa ya CCM kunyakua majimbo 176 kati ya majimbo 264 na mengineyo soma hapa

123

Mjumbe wa Kamati ya Kampeni ya CCM, January Makamba.

CCM inapenda kutoa taarifa ifuatayo kwa wanachama, wapenzi na washabiki wake na kwa umma Watanzania.

Tathmini ya Upigaji Kura

Kama tulivyoeleza jana, tumeridhishwa na amani na utulivu uliotawala katika sehemu kubwa ya nchi yetu wakati wa zoezi la upigaji kura. Licha ya changamoto zilizojitokeza, ambazo baadhi zimeshughulikiwa, kwa jinsi zoezi la kupiga na kuhesabu kura lilivyoendeshwa kwa uwazi, matokeo ya uchaguzi huu yatakuwa ni...

 

3 years ago

Habarileo

CCM yashinda majimbo 159, Chadema majimbo 35

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeongoza kwa kunyakua majimbo ya uchaguzi 159, ambayo hadi jana yamethibitishwa na wasimamizi waliopewa mamlaka ya kutangaza matokeo hayo na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), huku Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kikifuatia kwa kupata majimbo 35.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani