CCM wamtelekeza Mzee Makamba

JANUARY Makamba, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia Muungano na Mazingira ametoa madai mazito kwa chama chake, kuwa Chama cha Mapinduzi (CCM) kimemtelekeza baba yake Mzee Yusuph Makamba akiwa mgonjwa. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Makamba ameandika ujumbe huyo katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Facebook, akielezea hali ya baba yake ...

MwanaHALISI

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Tanzania Daima

CCM wamtelekeza Nyerere

SERIKALI inadaiwa kutelekeza Makumbusho ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere hali inayopekea kukabiliwa na ukata mkubwa wa fedha za kujiendesha ambapo kwa sasa haina huduma ya maji safi na...

 

3 years ago

Raia Tanzania

Mzee Makamba asema mgombea Ukawa fisadi

KATIBU Mkuu wa zamani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yussuf Makamba, amesema mgombea urais kwa tiketi ya Chadema kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) ni fisadi, mwongo na hakerwi na umasikini wa Watanzania.

Amemtaka kujitokeza hadharani kukanusha kwamba yeye si fisadi na kwamba, alitaka kuondoka CCM mwaka 1995 na alimwandikia barua kueleza hayo.

Makamba alisema hayo jana, kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro, alipohutubia mkutano wa hadhara wa kampeni wa mgombea urais wa...

 

2 years ago

Mtanzania

Nahitaji ufafanuzi kutoka kwa Mzee Makamba

MZEE Yusuf Makamba

MZEE Yusuf Makamba

Na LEAH MWAINYEKULE,

MZEE Yusuf Makamba ni aina ya mwanasiasa ambaye wengi wetu hupenda sana kumsikiliza. Tangu alipokuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, wengi tulikuwa tukifuatilia hotuba zake kwa karibu.

Binafsi, nilikuwa napendelea sana kusikiliza hotuba zake kutokana na umahiri wake wa kunukuu vifungu vya Maandiko Matakatifu kila alipokuwa akizungumza.

Mwishoni mwa wiki iliyopita wakati wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambao ulikuwa na lengo la kumchagua...

 

4 years ago

Mwananchi

Mzee Makamba atangaza kumnadi January urais 2015

Mbio za urais ndani ya CCM zimechukua sura mpya baada ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama hicho, Yusuf Makamba kutangaza rasmi kumuunga mkono mtoto wake, January Makamba.

 

5 years ago

GPL

MAMIA WASHIRIKI MAZISHI YA MAMA WA MZEE MAKAMBA‏

 Mzee Yusufu Makamba akishauriana jambo na mwanae January Makamba wkati wa shughuli za mazishi zikiendelea. Mzee Yusufu Makamba amefiwa na mama yake mzazi aliyefahamika kama Mariam Masau Kivugo  kilichotokea tarehe 21 January 2014.…

 

2 years ago

Michuzi

RAIS MAGUFULI AMEFANANA NA YOHANA MBATIZAJI - MZEE YSUFU MAKAMBA

Na  Immaculate Makilika –MAELEZO
Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu Mstaafu wa Chama cha Mapinduzi na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam  Mzee Yusufu  Makamba asema Rais Magufuli anafanana na Yohana Mbatizaji kwa vile ni kiongozi  anayefanyakazi bila kuogopa.Makamba ametoa kauli hiyo leo kwa njia ya simu katika mahojiano maalum na  Mwandishi  wa habari hizi. Alisema kuwa  Rais ni kiongozi mchapakazi ambaye hayumbushwi na maneno wala vitisho  kwa vile anasema ukweli katika kutekeleza majukumu yake.“Yohana...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani