CCM yahaha kutafuta mgombea Zanzibar

HARAKATI za kutafuta mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika uchaguzi mkuu utakaofanyika mwakani zimezidi kushika kasi ambapo safari hii baadhi ya majina kutoka Zanzibar yanatajwa tajwa kumrithi Rais...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

CAF yahaha kutafuta mbadala wa Morocco

Shirikisho la soka barani Africa CAF linahaha kutafuta nchi gani itakayookoa jahazi baada Morocco kuondolewa rasmi kuandaa fainali hizo.

 

5 years ago

Mwananchi

Serikali yahaha kutafuta soko la mahindi nje

Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika imetoa wito kwa wafanyabiashara kuchangamkia masoko ya mazao ya chakula nje ya nchi hasa mahindi kwa kuwa yapo mengi nchini.

 

5 years ago

Mwananchi

Simba yahaha kutafuta fedha za kujiandaa na ligi

Timu ya Simba inakabiliwa na ukata, ambapo inafanya juu chini kupata fedha kwa ajili ya kujiandaa na Ligi Kuu Tanzania bara itakayoanza Januari 25.

 

3 years ago

StarTV

Halmashauri ya Busekelo yahaha kutafuta soko la Uzalishaji Wa Mchele:

 

Halmashauri ya Busokelo wilayani Rungwe mkoani Mbeya inahaha kutafuta soko la mchele kutokana na uzalishaji mkubwa iliyonao ya zao hilo kwa sasa.

Kwa sasa Halmashauri hiyo inazalisha wastani wa Tani 4.5 za mpunga kwa hekta tofauti na miaka michache iliyopita ambapo uzalishaji ulikuwa Tani 1.2.

Asilimia 80 ya wakazi wa Halmashauri ya Busokelo mkoani Mbeya  wanaendesha maisha yao kwa kutegemea ufugaji na kilimo  kikiwemo cha zao la Mpunga  ambalo ni moja ya mazao makuu ya chakula na Biashara...

 

4 years ago

Michuzi

CCM INA UWEZO WA KUTAFUTA MGOMBEA WA URAIS MWENYE SIFA - RAZA  Mbunge wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar,Mohamed Raza akionesha baadhi ya vifungu vya sheria vilivyopo kwenye kitabu kidogo cha sheria za Zanzibar,Mbele ya Waandishi wa Habari (hawapo pichani) leo katika ukumbi wa Idara ya Habari MAELEZO jijini Dar es Salaam. Mtangazaji wa BB Swahili nchini Tanzania,Arnold Kayanda akifanya mahojiano mafupi na Mbunge wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Mohamed Raza mara baada ya kuzungumza na Waandishi wa habari katika ukumbi wa Idara ya Habari MAELEZO...

 

4 years ago

Michuzi

Mkutano wa Kampeni Mgombea Urais wa CCM Zanzibar Dk Shein, Viwanja vya Bungi Zanzibar


Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Dk Ali Mohamed Shein, akiwasili katika viwanja vya mkutano Bungi akiwapungia mkono Wananchi waliohudhuria mkutano huo wa Kampeni katika viwanja vya mpira Bungi akiongozana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndg Vuai Ali Vuai . Wanachama wa Chama cha Mapinduzi wakimsikiliza Mgombea Urais wa Zanzibar  kupitia CCM Dk Ali Mohamed Shein. uliofanyika katika viwanja vya bungi.Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,...

 

4 years ago

Michuzi

KIKAO CHA KAMATI MAALUM ZANZIBAR YAPITISHA JINA LA MGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR KUPITIA CCM DK. ALI MOHAMED SHEIN

MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein, akipongezwa  na Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal wakati wa Kikao cha Kamati Maalum ya CCM Zanzibar ilokutana ukumbi wa Mkutano Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui kwa ajili ya kupitisha Jina la Mgombea Nafasi ya Urais wa Zanzibar Dk. Shein. VIONGOZI wa Meza Kuu wakiwa katika ukumbi wa Mkutano Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui kwa ajili ya kupitisha Jina la Mgombea Nafasi ya Urais wa Zanzibar Dk. Shein.

NAIBU Katibu Mkuu wa CCM...

 

2 years ago

Zanzibar 24

CCM Zanzibar yasifu juhudi za SMT na SMZ za kutafuta ufumbuzi wa kero za Muungano

KATIBU wa Kamati Maalum ya NEC, Idara ya Itikadi na Uenezi CCM Zanzibar  Bi. Waride Bakari Jabu amepongeza juhudi zinazofanywa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar pamoja na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuzitafutia ufumbuzi wa kudumu kero za muungano ambapo kwa sasa zimebakia Tatu kati ya 15, zilizokuwa zikiukabili muungano huo.

Akizungumza huko Afisini Kwake  CCM Afisi Kuu  Kisiwandui Zanzibar, alisema juhudi hizo zinatakiwa kupongezwa kwani haikuwa kazi rahisi kufikia...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani