CCM yashauriwa kubadili katiba

Wakati maandalizi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ya kumkabidhi Rais John Magufuli uenyekiti wa chama hicho yakitarajiwa kuanza kesho, Mhadhiri wa Chuo Kikuu Dar es Salaam, Dk Benson Bana amekishauri chama hicho kubadili katiba yake ili Rais asiwe mwenyekiti wa chama. 

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Tanzania Daima

Serikali yashauriwa kubadili mitaala ya elimu

SERIKALI kupitia Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imeshauriwa kubadili mitaala ya sekta hiyo kwa kuwashirikisha wadau mbalimbali wa elimu ili kuleta mabadiliko makubwa ya kimaendeleo katika taifa na...

 

3 years ago

StarTV

Serikali yashauriwa kubadili sera ya elimu Ili kuinua ufaulu wa wanafunzi:

 

Taasisi ya Haki Elimu imeishauri serikali kubadili sera ya elimu iliyopangwa kuanza mwaka huu ili kuinua kiwango cha elimu na ufaulu wa wanafunzi nchini.

Februari 2015 Serikali ilitangaza Sera Mpya ya Elimu na Mafunzo ya 2014 ambayo ilizinduliwa na aliyekuwa Rais wa Tanzania, Jakaya Kikwete, na imeanza kutumika mwaka huu wa masomo.

 Mkurugenzi Mtendaji wa Haki Elimu, John Kalage amesema kama wadau wanaopenda kuona maendeleo ya elimu nchini, hivyo ni vyema serikali kubadili sera ya elimu...

 

5 years ago

Mwananchi

Zanzibar yashauriwa kurekebisha Katiba

 Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imeshauriwa kufanya marekebisho ya Katiba kabla ya Uchaguzi Mkuu Mwaka 2015 ili kuondoa vifungu vinavyogongana na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

 

3 years ago

StarTV

Serikali yashauriwa kuharakisha upatikanaji wa katiba mpya

 

Jaji Mkuu wa Kenya Dokta Willy Mutunga ameishauri Serikali ya Tanzania kuharakisha mchakato wa Katiba Mpya iliyopendekezwa  ili itoe fursa kwa mahakama nchini kufanya kazi zake kwa uwazi na weledi pamoja na kuwashirikisha wananchi hasa katika uteuzi wa majaji wakuu.

Amesema, ili hilo litekelezwe kwa ufanisi Katiba pekee ndiyo jibu la kuleta maendeleo katika Nyanja zote kwani itaweza kuzingatia masilahi ya Watanzania na nchi kwa ujumla.

Jaji Mutunga ameyasema hayo wakati wa mazungumzo...

 

3 years ago

BBCSwahili

Wanyarwanda wanapiga kura kubadili Katiba

Vituo vya kupigia kura vinafunguliwa asubuhi hii ili Wananchi wa Rwanda zaidi ya milioni sita leo wapige kura ya maoni kukubali ama kukataa kubadili katiba ili kumruhusu Rais wa nchi hiyo Paul Kagame kugombea tena kiti cha urais.

 

5 years ago

Tanzania Daima

Sitta ataweza kubadili filamu ya Katiba?

WENGI walipenda kuiita ni vichekesho ‘comedy’ lakini kwangu naomba niende mbele zaidi na kuita kuwa ni filamu, hili ni Bunge Maalumu la Katiba ambalo tangu limeanza mkoani Dodoma niliamua kujiondoa...

 

3 years ago

Mwananchi

Sumaye: Ningefuta sheria ya kubadili Katiba

Waziri Mkuu wa zamani, Frederick Sumaye ameishauri Serikali ya Awamu ya Tano kufuta Sheria ya Mabadiliko ya Katiba na kutunga ambayo itaunda timu ndogo ya wataalamu badala ya Bunge la katiba lenye watu zaidi ya 600 ambao hawana ujuzi.

 

1 year ago

VOASwahili

Wapinzani wapinga mchakato wa kubadili katiba Burundi

Kampeni za kuwahamasisha wananchi wa Burundi kushiriki kaitka kura ya maoni zimeanza rasmi Jumatano nchini humo wakiwemo wale ambao wanapinga rasimu mpya ya katiba ya nchi hiyo inayojadiliwa.

 

5 years ago

Mwananchi

Warioba: Kazi ya Bunge la Katiba siyo kubadili Rasimu

Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba amesema litakuwa jambo lisilo la kawaida kwa Bunge Maalumu la Katiba kubadili hoja ya msingi iliyopo kwenye Rasimu ya Katiba, akisisitiza kuwa jukumu lake ni kuifanyia marekebisho.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani