CCM YASOMBA WANACHAMA WAPYA 102 WAKIWEMO WA CUF,CHADEMA NA ACT WAZALENDO WILAYANI KAKONKO MKOANI KIGOMA


Na Rhoda Ezekiel Kigoma,
Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma imevuna jumla ya wanachama wapya 102 kutoka chama cha Act Wazalendo na Chama cha Wananchi Cuf.
Wanachama hao ambao wamepokelewa na mjumbe wa halmashauri kuu ya Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kigoma Prof Joyce Ndalichako ambaye aliwakabidhi wanachama hao wapya kadi 102 , akiwemo Mwenyekiti wa Chama cha ACT wazalendo Wilaya ya Kakonko pamoja na Mwenyekiti wa Chama cha wananchi CUF Wilayani humo .
Zoezi hilo alilifanya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

CCM KIGOMA YAVUNA WANACHAMA WAPYA 868 AKIWEMO MWENYEKITI WA CHAMA CHA ACT-WAZALENDO NA CUF WILAYANI KAKONKO


CHAMA Cha CCM Mkoa wa Kigoma kimevuna jumla ya Wanachama wapya 868 kutoka vyama mbalimbali vya siasa akiwemo mwenyekiti wa chama cha ACT-Wazalendo Venasi Busunzu wa wilaya ya Kakonko na Mwenyekiti wa CUF Kilembwe Omari mgombea udiwani kata ya Sinuka wamekabidhiwa kadi ya chama hicho jana, katika hitimisho ya sherehe za madhimisho ya kutimiza miaka 40 ya CCM.
Akihitimisha sherehe hizo jana zilizo fanyika Kimkoa Katika kijiji cha Mwakizega Wilayani Uvinza Mwenyekiti wa CCM kigoma Amani Kabourou...

 

1 year ago

Michuzi

WANACHAMA CHADEMA KAKONKO WATIMKIA CCM

Na Rhoda Ezekiel Kigoma,
JUMLA ya wanachama 27 wa Chadema wamejiunga na Chama Cha Mapinduzi(CCM)wilayani Kakonko mkoani Kigoma kutokana na kuvutiwa na utendaji kazi wa Serikali ya CCM.
Wanachama hao wamejiunga leo katika kikao cha Halmashauri Kuu ya Wilaya kilichoendeshwa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Humphrey Polepole.
Wakizungumza baada ya kukabidhiwa kadi na kiongozi huyo,wanachama hao wapya wamesema wamefikia uamuzi huo baada ya kuguswa na kazi zuri inayofanywa na CCM na kukosa...

 

4 years ago

Mwananchi

Wanachama CCM watimkia ACT- Wazalendo

Zaidi ya wanachama 100 kutoka CCM, Kata ya Chihanga, Manispaa ya Dodoma wamejiunga na ACT- Wazalendo.

 

1 year ago

Michuzi

POLEPOLE AENDELEA KUVUNA WANACHAMA WAPYA MKOANI KIGOMA

Na Rhoda Ezekiel Kigoma, 
JUMLA ya wanachama 27 kutoka Chama cha NCCR-Mageuzi  akiwemo aliewahi kuwa Diwani Kupitia Chama hicho Kata ya Kitagata  wilayani Kasulu mkoani Kigoma wamejiunga CCM.Miongoni mwa hao walijiunga CCM wapo pia wanaotoka Kata ya Nyakitonto na wamefikia uamuzi kutokana na utendaji kazi unaofanywa na Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Rais John Magufuli.Wanachama hao wapya wamejiunga CCM leo mbele ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho Humphray Polepole ambaye yupo...

 

2 years ago

Michuzi

UNHCR YATOA MICHE 200,000 KUFIDIA UHARIBIFU WA MAZINGIRA ULIOFANYWA NA WAKIMBIZI WILAYANI KAKONKO MKOANI KIGOMA

Na Rhoda Ezekiel -Globu ya Jamii Kigoma,
JUMLA ya miche 200,000 ya miti imetolewa na Shirika la Kuwahudumia wakimbizi UNHCR Wilayani Kakonko, itakayo fidia uharibifu wa mazingira uliofanywa na Wakimbizi waliopo katika kambi ya mtendeli kutokana na ukataji wa miti hovyo kwa ajili ya kujipatia kuni na miti ya kujengea nyumba za makazi ya kudumu.
Akizungumza na mwandishi Globu hii,Mkuu wa Wilaya ya Kakonko Kanali Hosea Ndagala alisema ujio wa wakimbizi wilayani humo umesababisha uharibifu ...

 

3 years ago

Michuzi

BENKI YA NMB YATOA MSAADA WA MAGODORO 18 KUCHANGIA KUPUNGUZA VIFO VYA MAMA NA MTOTO WILAYANI KAKONKO MKOANI KIGOMA


Na Rhoda Ezekiel -Globu ya Jamii Kigoma,
MKUU wa Wilaya ya Kakonko Kanali Hosea Ndagala ameipongeza idara ya Afya Wilayani Kakonko kwa jitihada ya kupungua kwa vifo vya mama na mtoto kutoka vifo 404 Kati ya vizazi hai 100,000 kwa mwaka kutokana na wadau wa Afya kuchangia Huduma hiyo kww ushiriki wa pamoja na watumishi wa idara ya afya.
Kauli hiyo imetolewa wakati mkuu huyo akipokea msaada wa vitanda Na magodoro 18 kutoka katika kampuni ya taasisi za kifedha NMB Kanda ya magraribi Tabora tawi...

 

5 years ago

Mwananchi

CCM yazoa wanachama wapya wilayani Temeke

>Watu 250 wamejiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia  Tawi la Kigunga B, Kilakala wilayani Temeke jijini Dar es salaam.

 

4 years ago

Vijimambo

ACT WAZALENDO YAZINDUA KAMPENI ZAKE WILAYANI BAHI MKOANI DODOMA

 Mgombea Mwenza wa chama cha ACT wazalendo Hamad Yusufu akizungumza na wakazi wa Mayamaya kata ya Zanka wilayani Bahi mkoa wa Dodoma kwenye mkutano wa kuomba kura alipokuwa akimnadi Mgombea Urais wa chama hicho Anna Mghwila, mgombea ubunge wa jimbo hilo Eva Kaka na madiwani wa kata mbalimbali.  Mgombea ubunge wa jimbo la Bahi Eva Kaka akimkabidhi fedha Mwalimu Joseph John mkazi wa Mayamaya kama kifuta machozi kutokana na mwalimu huyo kuunguliwa na majani kwa ajili ya malisho ya mifugo yake...

 

4 years ago

Vijimambo

CHADEMA YASAMBARATIKA LUDEWA BAADA YA WANACHAMA WAKE ZAIDI YA 500 WAHAMIA ACT - WAZALENDO

Wanachama  wa Chadema wilaya ya  Ludewa  mkoa wa  Njombe  wakiandamana  kupinga  maamuzi ya  chama  hicho  kukata  jina la mshindi  wa  kura  za maoni na  kumteua  aliyeshindwa ,mbali ya  kuandamana  pia  wanachama  hao  zaidi ya  500  walikihama  chama  hicho na  kujiunga na  ACT  WazalendoWanachama  wa  Chadema  waliohamia ACT wazalendo  wakiwa na  mabango ya  kukituhumu  chama   hicho  kwa  kukiuka  DemokrasiaWanachadema  wakiwa  nje ya  ofisi ya  ACT  Wazalendo  ambako  walifika  kuomba ...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani