CCM YATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUFUATIA KIFO CHA MHE. MUNGAIKatibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndg. Abdulrahman Kinana amemtumia salamu za rambi rambi Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Iringa Ndg. Jesca Msambatavangu kufuatia kifo cha Mhe Joseph Mungai, Mbunge mstaafu wa Jimbo la Mufindi kilichotokea jana tarehe 08 Novemba, 2016 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam.Mhe. Mungai, ameshika nyadhifa mbalimbali za uongozi na utumishi katika Chama na Serikali. Alikuwa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), Mkuu wa Mkoa, Mbunge kuanzia...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Michuzi

BASATA YATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUFUATIA KIFO CHA MSANII CHIJWELE CHE MUNDUGWAO

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limepokea kwa masikitiko na majonzi makubwa kifo cha Msanii wa muziki wa asili Chijwele Chemundugwao kilichotokea Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam leo mapema Asubuhi ya Alhamisi ya tarehe 16/04/2015 baada ya kuugua kwa muda mrefu. 
Che mundugwao ni msanii wa muziki wa asili na mdau wa muda mrefu wa sekta ya Sanaa nchini. Amekuwa na mchango mkubwa katika kukuza muziki wa asili nchini na baadaye kupitia Chama cha Muziki wa asili (TAFOMA)...

 

1 year ago

CCM Blog

CCM Z'BAR YATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KIFO CHA KADA WAKE

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIMzee Abdulrazaq Mussa Simai NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Dk. Abdulla Juma Saadalla ‘Mabodi’, ametuma salamu za rambirambi kwa familia ya Kada wake marehemu Mzee Abdulrazaq Mussa Simai 'Kwacha' aliyefariki  leo Machi 11,20118.
Mzee  Abdulrazaq  amefariki katika  Hospitali ya Kuu ya Taifa ya Muhimbili, iliyopo  Jijini Dar es salaam, alipokuwa akipatiwa matibabu baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Katika Salamu hizo Dk. Mabodi amesema CCM...

 

3 years ago

Dewji Blog

Rais Magufuli atuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Mhe. Beatrice Shelukindo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemtumia salamu za rambirambi Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai kufuatia kifo cha Mbunge Mstaafu wa Jimbo la Kilindi Mkoani Tanga Mhe. Beatrice Shelukindo kilichotokea jana tarehe 02 Julai, 2016.

Mhe. Beatrice Shelukindo ambaye amewahi kuwa Mbunge Bunge la Afrika Mashariki na baadaye kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa vipindi viwili mfurulizo hadi alipostaafu mwaka jana...

 

3 years ago

Michuzi

SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUFUATIA KIFO CHA MWENYEKITI WA CCM TAWI LA DMV MAREKANI

Napenda kuchukua fursa hii kutuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha ghafla cha mwenyekiti wa Tawi la CCM DMV ndugu George Sebo kilichotokea tarehe 18 Januari 2016, Jumatatu asubuhi katika Hospitali ya Prince George Maryland, nchini Marekani. 
Kwa kweli kifo hiki cha ghafla tumekipokea kwa mshtuko mkubwa na majonzi Watanzania wote tunaoishi hapa Marekani, kwani George Sebo alikuwa ni mtu mkarimu kwa watu wote bila kujali tofauti zozote za kiitikadi. 
Nachukua  fursa hii kwa niaba ya...

 

2 years ago

Michuzi

SALAMU ZA RAMBIRAMBI ZA CCM KUFUATIA KIFO CHA BALOZI MSTAAFU MZEE WAZIRI JUMA

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Kanali mstaafu Abdulrahman Kinana amemtumia salamu za rambi rambi Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tanga Ndg. Henry Shekifu kufuatia kifo cha Balozi mstaafu Mhe Waziri Juma, kilichotokea juzi tarehe 22 Novemba, 2016 jijini Dar es salaam.
Mhe Waziri Juma ameshika nyadhifa mbalimbali za uongozi na utumishi katika Chama na Serikali. Alikuwa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) kwa muda mrefu, Katibu wa CCM ngazi ya Mkoa, na Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake (UWT),...

 

4 years ago

Michuzi

RAIS MSTAAFU MHE. BENJAMIN WILLIAM MKAPA ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KWA BAKWATA KUFUATIA KIFO CHA MUFTI ISSA BIN SHAABAN SIMBA

Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mhe. Benjamin William Mkapa atuma salamu za Rambirambi kwa BAKWATA kufuatia kifo cha Mufti Issa Bin Shaaban Simba. Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mhe. Benjamin Mkapa, amemtumia Kaimu Mufti wa Tanzania, salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Mufti Issa Bin Shaaban Simba kilichotokea Jumatatu katika hospitali ya TMJ. Katika salamu zake Mhe. Mkapa ameelezea kushtushwa kwake na kifo cha Mufti Simba ambae amemuelea kama kiongozi “aliyekuwa muadilivu,...

 

3 years ago

CCM Blog

CCM YATOA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUFUATIA KIFO CHA RAIS WA AWAMU YA PILI WA SMZ MZEE ABOUD JUMBE MWINYI.

SALAMU ZA RAMBIRAMBIChama Cha Mapinduzi (CCM) kimepokea kwa majonzi na masikitiko makubwa taarifa za kifo cha Mzee Aboud Jumbe Mwinyi, Rais Mstaafu wa Awamu ya pili wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kilichotokea jana tarehe 14th Agosti 2016 nyumbani kwake Mji Mwema, Kigamboni  jijini Dar es salaam.


Mzee Aboud Jumbe Mwinyi, alikuwa Makamu Mwenyekiti wa Kwanza wa Chama cha Mapinduzi mara baada ya...

 

4 years ago

Michuzi

TFF YATUMA SALAM ZA RAMBIRAMBI KUFUATIA KIFO CHA BABA WA JERRY MURO

Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) limetuma salam za rambi rambi kwa familia ya Muro, kufutia kifo cha Mzee Cornel Muro kilichotokea mwishoni mwa wiki jijini Dar s salaam na mazishi kufanyika Machame mkoani Kilimanjaro.
Katika salamu zake za rambirambi kwa familia ya marehemu Muro, TFF imewapa pole wafiwa, ndugu jamaa na marafiki na kusema wako pamoja katika kipindi hiki cha maombelezo na kuomba mwenyezi Mungu awajilie nguzu wafiwa
Marehemu Cornel Muro ni baba mzazi wa Afisa Habari wa...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani