CCM yawachomoa madiwani watatu jimbo la Mbowe

Wakati madiwani watatu wa Chadema wilayani Hai wakihamia CCM, katibu wa itikadi na uenezi wa chama hicho tawala, Humphrey Polepole amesema wataendelea kuchomoa wapinzani mmoja mmoja.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Zanzibar 24

Madiwani watatu wa Chadema watimkia CCM

Madiwani watatu wa CHADEMA akiwemo Jacob Silas Mollel wa Kata ya Elang’atadapash, Elias Mepukori Mbao wa Kata ya Kamwaga na  Diyoo Lomayani Laizer Kata ya Olmolog katika halmashauri ya Longido mkoa wa Arusha, wametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na Chama cha Mapinduzi ( CCM).

Sababu za kujiunga CCM ni kuunga mkono jitihada za Rais John Magufuli katika vita dhidi ya ufisadi, kuinua uchumi na pia kurejesha nidhamu kazini.

Tukio hilo limejiri ikiwa ni siku moja tu imepita tangu...

 

11 months ago

Malunde

MBOWE AFUNGUKA MADIWANI 46 WA CHADEMA KUHAMIA CCM

Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Taifa (CHADEMA) Mhe, Freeman Mbowe amefunguka na kutoa neno kuhusu madiwani 46 ambao wamejiuzulu nafasi zao na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kusema kuwa jambo hilo linafanywa na CCM kwa lengo la kuwakatisha tamaa wana CHADEMA.

Mbowe amesema kuwa wapo watu wanadhani kitendo cha baadhi ya madiwani kuhama CHADEMA na kwenda CCM ni kukiuwa chama hicho na kusema suala hilo haliwezi kutokea kwani madiwani wa CHADEMA nchi nzima wapo zaidi ya...

 

2 years ago

Malunde

MADIWANI WATATU WA CHADEMA WAJIUZULU NA KUTIMKIA CCM HAI KILIMANJARO

Wakati Wimbi la Madiwani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kujiunga na Chama cha Mpinduzi (CCM) likiwa limepamba moto mkoani Arusha, majirani zao wa Kilimanjaro nao wameanza kutimka kwa kile wanachodai kuwa ni kumuunga mkono Rais Dkt John Pombe Magufuli.

Mapema leo mchana Julai 26, 2017, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole amewapokea madiwani watatu kutoka katika Halmashauri ya Wilaya ya Hai ambao wametangaza kujiuzulu nyadhifa zao na kujiunga CCM.

Madiwani...

 

1 year ago

Michuzi

MADIWANI WA CCM WALIOSHINDA KATIKA UCHAGUZI JIMBO LA HAI WAKABIDHIWA VYETI


Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini .
MSIMAMIZI wa uchaguzi katika jimbo la Hai, mkoani Kilimanjaro , Ndugu Yohana Sintoo amesema kuwa zoezi la uchaguzi katika kata tatu zilizokuwa hazina uwakilishi limekamilika salama na kuwapata viongozi watakaowawakilisha wananchi kwenye kata husika.


Ndg Sintoo ameyasema hayo wakati akikabidhi vyeti kwa madiwani wateule watatu walioshinda  kwenye uchaguzi mdogo uliofanyika Novemba 26 mwaka huu.


“Ndugu zangu mtakumbuka kuwa mwishoni mwa...

 

3 years ago

Mwananchi

Ukuta wawafikisha kortini madiwani watatu

Rombo. Madiwani watatu wa Chadema na mfuasi mmoja wa chama hicho wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Rombo kwa makosa ya kufanya uchochezi.

 

1 year ago

Zanzibar 24

Madiwani watatu wa CHADEMA wapigwa stop

Madiwani watatu wa Chadema halmashauri ya Mji wa Njombe wametolewa nje ya kikao cha baraza la madiwani na kusimamishwa kuhudhuria vikao 3 kutokana na kujadili mkataba wa halmashauri na kampuni iliyowekwa kukusanya ushuru ambayo inawanyanyasa wananchi.

 Madiwani hao ni pamoja na George Sanga diwani Kata Ramadhani, Sigrada Mligo, diwani viti maalum, Legnard Danda, diwani kata Ihungilo ambao walitolewa kwenye mkutano na kusimamishwa kuhudhuria vikao vitatu baada ya kuhoji...

 

3 years ago

Mwananchi

Madiwani Kino wawapoka vyeo wahandisi watatu

Baraza la Madiwani wa Manispaa ya Kinondoni limeamuru kushushwa vyeo na kuwakata mishahara wafanyakazi tisa wakiwamo wahandisi watatu kwa kushindwa kutumia taaluma yao kutoa ushauri kwenye ujenzi wa barabara.

 

2 years ago

Malunde

MADIWANI WATATU WA CHADEMA WAJIUZULU NAFASI ZAO

Madiwani watatu wa Chadema Manispaa ya Iringa wameamua kuachia nafasi zao kwa madai ya mwenendo mbaya wa chama.
Madiwani hao walichukua uamuzi huo baada ya kumwandikia barua ya kujiuzulu mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa. Madiwani ambao wamechukua uamuzi huo ni Baraka Kimata wa Kata ya Kitwiru na wawili wa viti maalumu; Husna Ngasi na Leah Mlelewa.
Wakizungumzia uamuzi huo, viongozi hao walisema kuwa wameamua kufanya hivyo baada ya kuchoshwa na mwenendo wa chama...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani