CCM YAWATEUA RODRICK MPOGOLO KWA NAIBU KATIBU MKUU WA CCM-BARA, HUMPHREY POLEPOLE KATIBU MWENEZI


Na Bashir Nkoromo, DarChama Cha Cha Mapinduzi (CCM), leo kimeteua viongozi waandamizi watatu kuziba nafasi zilizokuwa wazi, kutokana na waliokuwa wakizishikilia kupewa majukumu mengine ya serikalini.


Uteuzi huo, umefuatia Halamshauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC) katika kikao chake, kilichofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam, leo chini ya Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli,  na kuridhia mapendekezo ya Kikao cha Kamati Kuu ya CCM, kilichofanyika juzi pia chini ya Dk. Magufuli.


Akizungumza na...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

NAIBU KATIBU MKUU CCM BARA, RODRICK MPOGOLO ZIARANI JIMBO LA ILALA, TEMEKE.


Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara, Rodrick Mpogolo, akizungumza na Wanachama, Viongozi wa CCM wa Jimbo la Ilala wakati akiwa katika ziara yake ya kuimarisha Chama Mkoa wa Dar es Salaam, jana.
Baadhi ya Wanachama wa CCM Jimbo la Ilala wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu CCM Bara.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara, Rodrick Mpogolo, akiwasili kwenye Ukumbi wa CCM Ilala kwa ajili ya kuzungumza na Wanachama, Viongozi wa CCM wa Jimbo la Ilala wakati akiwa katika ziara yake ya kuimarisha Chama Mkoa wa...

 

2 years ago

Michuzi

NAIBU KATIBU MKUU CCM BARA RODRICK MPOGOLO AMALIZA KWA KISHINDO ZIARA YA KUIMARISHA CHAMA JIMBO LA UBUNGO NA KIBAMBA

 Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara, Rodrick Mpogolo, akiteta jambo na Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Kisare Matiku Makori, katika Ukumbi wa CCM Manzese, wakati wa ziara yake ya kuimarisha Chama kwa kuzungumza na Wenyeviti, Makatibu na Wenezi wa Kata, Makatibu wa Jumuiya  ya ngazi za Kata, Wenyeviti wa Mitaa na Mabalozi wa Jimbo hilo la Ubungo jijini Dar esSalaam , jana.  Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Kisare Matiku Makori, akizungumza kutoa tathmini ya usalama wa kisiasa katika Wilaya yake mbele...

 

2 years ago

CCM Blog

NAIBU KATIBU MKUU WA CCM-BARA RODRICK MPOGOLO AZINDUA KWA KISHINDO KAMPENI ZA UDIWANI MBWENI, DAR ES SALAAM, LEO

Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo, leo amezindua kwa kishindo kampeni za uchaguzi mdogo wa udiwani katika Kata ya Mbweni, Wilayani Kinondoni jijini Dar es Salaam, akifuatana na viongozi mbalimbali wa Chama akiwemo Katibu wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Saad Kusilawe. Pichani, Mpogolo akimnadi mgombea wa Udiwani katika Kata hiyo kwa tiketi ya CCM, Hashim Mbonde katika mkutano uliofanyika kwenye Viwanja vya Ofisi ya afisa Mtendaji Kata ya Mbweni. Kumradhi, Kutokana na muda hatukuweza...

 

2 years ago

Michuzi

NAIBU KATIBU MKUU WA CCM-BARA RODRICK MPOGOLO AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA CHINA HAPA NCHINI


 Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo akizungumza na Balozi wa China hapa nchini, Dk. Lu Youqing, nyumbani kwa Balozi huyo, jijini Dar es Salaam Jumapili Machi 19, 2017. Mazungumzo hayo yalihusu zaidi kuhusu juhudi za kuongeza ushirikiano baina na CCM na Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC) katika nyanja mbalimbali ikiwemo uhusiano wa kidundugu uliopo kwa siku nyingi baina ya vyama hivyo na uchumi. Kushoto ni Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Kanali Mstaafu Ngemela...

 

2 years ago

CCM Blog

NAIBU KATIBU MKUU WA CCM-BARA RODRICK MPOGOLO ATINGA DODOMA LEO, LUHWAVI AMKABIDHI RASMI OFISI

 Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo akikaribishwa na Katibu wa Sekretarieti, Anamringi Macha, alipowasili leo jioni Makao Makuu ya CCM, mjini Dodoma kukabidhiwa rasmi Ofisi na aliyekuwa Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM-Bara, Rajab Ruhwavi.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo akikaribishwa na Naibu Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi alipowasili Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma leo jioni kwa ajili ya Luhwavi kumkabidhi Ofisini. Katikati ni Katibu wa Sekretarieti,...

 

2 years ago

CCM Blog

NAIBU KATIBU MKUU WA CCM-BARA RODRICK MPOGOLO AZINDUA MATEMBEZI YA UVCCM YA MIAKA 52 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR LEO


Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo akisalimia baadhi ya viongozi wa UVCCM, baada ya kuwasili kwenye uzinduzi wa matembezi ya miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar, kwenye Viwanja vya Donge, Vijibeni, Wilaya ya Kaskazini Jimbo la Donge, mkoa wa Kaskazini Unguja. Kushoto ni Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM, Shaka Hamdu Shaka na Mwenyekiti wa UVCCM Sadifa Khamis Juma.
Vijana wa Kikundi cha Sarakasi cha Mtimkavu wakionyesha uhodari wao wakati wa uzinduzi wa matembezi hayo.
Vijana wa Kikundi cha...

 

2 years ago

CCM Blog

NAIBU KATIBU MKUU WA CCM-BARA RODRICK MPOGOLO AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA CHINA HAPA NCHINI, LEO JIJINI DAR ES SALAAM

  Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo akizungumza na Balozi wa China hapa nchini, Dk. Lu Youqing, nyumbani kwa Balozi huyo, jijini Dar es Salaam, leo, Machi 19, 2017. Mazungumzo hayo yalihusu zaidi kuhusu juhudi za kuongeza ushirikiano baina na CCM na Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC) katika nyanja mbalimbali ikiwemo uhusiano wa kidundugu uliopo kwa siku nyingi baina ya vyama hivyo na uchumi. (Picha na Bashir Nkoromo).
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo akizungumza...

 

2 years ago

CCM Blog

NAIBU KATIBU MKUU MPYA WA CCM RODRICK MPOGOLO AKABIDHI MADAWATI 200 YALITOLEWA NA CCM MKOANI MOROGORO LEO

Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo akimsalimia Mkuu wa mkoa wa Morogoro Dk Steven Kebwe alipowasili kwenye Ofisi ya CCM ya mkoa huo, akiwa katika ziara ya kikazi leo. Katika ziara hiyo alimkabidhi mkuu huyo wa mkoa madawati 200 yaliyotolewa na CCM mkoa huo na baadaye alifungua semina ya Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM mkoa wa Morogoro. Katikati ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Morogo Innocent Kalogeris  Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo akimsalimia Mkuu wa wilaya ya...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani