CCM Z’bar kubadili mbinu

Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Dk Abdallah Juma Abdallah maarufu Mabodi amesema chama hicho kimejipanga kufanya siasa za kisayansi zenye ushindani wa sera, kitaaluma na ubunifu zitakazojenga mazingira ya ushindi mwaka 2020.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Mwananchi

TMA kubadili mbinu utoaji taarifa

>Mkurugenzi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk Agness Kijazi amesema licha ya mamlaka hiyo kutoa taarifa za hali ya hewa,   watumiaji wamekuwa hawazingatii  hali inayosababisha kuendelea kutokea kwa majanga.

 

2 years ago

Mwananchi

LHRC yataka polisi kubadili mbinu

Dar es Salaam. Kituo cha Sheria na Haki za Binaadamu (LHRC) kimelitaka Jeshi la Polisi kubadili mbinu za kukabiliana na uhalifu kwa sababu mbinu wanazotumia sasa zimekuwa zikiwasababishia usumbufu wananchi wasiokuwa na hatia.

 

2 years ago

Bongo5

Guardiola ilitubidi kubadili mbinu dhidi ya Barcelona

Kocha wa klabu ya Manchester City Pep Guardiola amekiri kuwa ilimlazimu abadili mbinu dhidi ya Barcelona katika mechi ya Ligi ya Mabingwa siku ya Jumanne usiku.

joseph-guardiola-manchester-city-barcelona-uefa-champions-league-01112016_1j1h7o927tipt1otkhcby85ykg

Guardiola awali alitamka kuwa ataendelea kung’ang’ania falsafa yake ya pasi nyingi kutokea nyuma, lakini mfumo wa kucheza moja kwa moja uliisaidia City kujipatia ushindi wa 3-1 dhidi ya Barcelona.

Hata hivyo, Muhispania huyo alieleza kuwa mfumo huo wa uchezaji uliwawezesha kufanya mashambulizi ya kushtukiza na kuzua mashambulizi ya...

 

2 years ago

Bongo Movies

Mzee Chilo Awataka Wasanii wa filamu Kubadili Mbinu

Nguli wa filamu, Ahmed Olotu maarufu kama ‘Mzee Chilo’ amesema anajua tasnia ya filamu inakumbwa na changamoto nyingi lakini wasanii wa filamu wanatakiwa kubadilisha mbinu za kibiasha ili wanufaike na kazi zao.

Mzee Chilo

Mzee Chilo

Akiongea na Bongo5 wiki hii, Chilo amewataka wasanii wa filamu kubadili mtazamo wa kibiashara ili waweze kunufaika na kazi zao.

“Mimi nasema tutengeneze kazi nzuri kama hali ni mbaya zaidi tubadili hata mbinu kwa tupeleka filamu zetu kwenye majumba ya sinema,” alisema Mzee...

 

2 years ago

Bongo5

Mzee Chilo awataka wasanii wa filamu kubadili mbinu ili wanufaike na kazi zao (Video)

Nguli wa filamu, Ahmed Olotu maarufu kama ‘Mzee Chilo’ amesema anajua tasnia ya filamu inakumbwa na changamoto nyingi lakini wasanii wa filamu wanatakiwa kubadilisha mbinu za kibiasha ili wanufaike na kazi zao.

Akiongea na Bongo5 wiki hii, Chilo amewataka wasanii wa filamu kubadili mtazamo wa kibiashara ili waweze kunufaika na kazi zao.

“Mimi nasema tutengeneze kazi nzuri kama hali ni mbaya zaidi tubadili hata mbinu kwa tupeleka filamu zetu kwenye majumba ya sinema,” alisema Mzee Chilo....

 

3 years ago

Mwananchi

ACT wataja mbinu kumaliza mgogoro Z’bar

Chama cha ACT- Wazalendo kimetoa mapendekezo matatu ya kumaliza mgogoro wa kisiasa Zanzibar ili kuwaondolea wananchi wa visiwani humo hali ngumu ya maisha.

 

12 months ago

Zanzibar 24

Wajasiria Mali Z’bar Wapewa Mbinu Mpya

WANAWAKE visiwani Zanzibar wameshauriwa kutumia vizuri fursa ya ujasiriamali kwa lengo la kujiongezea kipato na kujiajiri wenyewe.

Ushauri huo umetolewa na Mkurugenzi wa Taasisi ya New Vision Consortium (NVCT) Pily Khamis Lapda, amesema wanawake wengi hapa nchini wamekuwa wakifanya shughuli za ujasiriamali kwa mazoea jambo linalopelekea kushindwa kufikia malengo yao ya kumiliki mitaji mikubwa ya kibiashara.

Amesema zipo njia mbali mbali za kuwakomboa wanawake kiuchumi zikiwemo kupenda na...

 

3 years ago

Mwananchi

CCM yashauriwa kubadili katiba

Wakati maandalizi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ya kumkabidhi Rais John Magufuli uenyekiti wa chama hicho yakitarajiwa kuanza kesho, Mhadhiri wa Chuo Kikuu Dar es Salaam, Dk Benson Bana amekishauri chama hicho kubadili katiba yake ili Rais asiwe mwenyekiti wa chama. 

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani