CCT watoa tamko zito kwa Rais Kikwete

Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) imetoa tamko zito ikieleza kushangazwa na kauli ya Rais Jakaya Kikwete ya kupinga mapendekezo yaliyomo katika Rasimu ya Katiba iliyotokana na maoni ya Watanzania na kusema kitendo hicho kimeishusha hadhi Tume ya Mabadiliko ya Katiba aliyoiteua.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Raia Mwema

Mamwene watoa tamko zito kwa Jiji la Mbeya

UJUZI wa wenyeji (indigenous knowledge) ulipopuuzwa na wataalamu, umesababisha wakazi wa Jiji la

Felix Mwakyembe

 

3 years ago

Global Publishers

Bosi zantel azikwa kwa tamko zito!

IMG_1730

Jeneza lililobeba mwili wa marehemu likiwa Kanisani kwa ajili ya kuombewa.

Na Waandishi Wetu, UWAZI
DAR ES SALAAM: Tamko zito limetolewa na waombolezaji kufuatia kifo cha bosi wa Kitengo cha Huduma kwa Wateja wa Kampuni ya Zanzibar Telecom Limited (Zantel), Gabriel Kamukara, 39, (pichani) kuuawa kwa kupigwa risasi na watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi.

Kamukara alipigwa risasi Desemba 22, mwaka jana eneo la Barabara ya Cocacola jijini Dar na kuporwa shilingi milioni 10 alizotoka...

 

1 year ago

MwanaHALISI

Akwilina aagwa, wanafunzi watoa neno zito kwa serikali

WAZIRI wa Elimu na Mafunzo, Prof. Joyce Ndalichako amesutwa na wanafunzi wa Chuo cha Usafirishaji Tanzania (NIT) baada ya kutaka kuwatetea wauaji wa Akwilina Akwilini. Anaripoti Mwandishi Wetu …. (endelea). Tukio hilo limetokea leo Alhamisi Viwanja vya NIT, Mabibo jijini Dar es salaam wakati wa kuaga mwili wa Marehemu Akwilina, aliyeuwawa kwa risasi “iliyorushwa na ...

 

5 years ago

Mwananchi

Chadema watoa siku tatu kwa Rais Kikwete

Rais Jakaya Kikwete ametakiwa kufuta kauli yake ya kuwataka wana CCM kuacha unyonge na kujibu mapigo dhidi ya upinzani na ametakiwa kuomba radhi ndani ya siku tatu, vinginevyo suala hilo litafikishwa jumuiya za kimataifa.

 

2 years ago

Channelten

Utendaji na uzalendo wa Rais, CCM Sumbawanga watoa tamko

7-5

RAIS Dr John Pombe Magufuli amepongezwa kwa uzalendo mkubwa alionao kwa nchi na rasilimali zilizoko katika nchi ya Tanzania kiasi cha kuamua kujitoa maisha yake kuitetea nchi ya Tanzania na watu wake kama alivyofanya muasisi wa Taifa hili Hayati Mwl Julius Kambarage Nyerere.

Pongezi hizo na uungwaji mkoano kwa Rais Dr. Magufuli zimetolewa leo ikiwa ni maazimio 17 ya kikao cha Halmashauri kuu ya CCM wilaya ya Sumbawanga mjini iliyoketi katika mji mdogo wa Mpui wilaya ya Sumbawanga.

Baadhi ya...

 

5 years ago

GPL

RAIS KIKWETE NA MKEWE WATOA HESHIMA ZA MWISHO KWA BALOZI WA MALAWI FLOSSIE CHIDYAONGA

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiweka sahihi katika kitabu cha maombolezo alipokwenda kutoa heshima za mwisho kwa Balozi wa Malawi nchini Tanzania Marehemu Flossy Gomile-Chidyaonga leo katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam jana. Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete…

 

5 years ago

Tanzania Daima

Kikwete azingatie ushauri wa CCT kuinusuru nchi 

KAMA Rais Jakaya Kikwete anataka akumbukwe kwa mazuri aliyowafanyia Watanzania baada ya kumaliza awamu yake ya pili ya uongozi, ajirudi na kuwaambia wenziye wa CCM kukubaliana na maoni ya wananchi...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE NA MAMA SALMA KIKWETE WATOA POLE KWENYE MSIBA WA MAREHEMU JAJI MAKAME

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweha saini katika kitabu cha maombolezo alipokwenda kutoa pole nyumbani kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Kwanza wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu, Mheshimiwa Lewis Makame Masaki jijini Dar es salaam aliyefariki  katika Hospitali ya AMI Trauma Centre Jijini Dar es Salaam tarehe Agosti 19, 2014. Mama Salma Kikwete akiweha saini katika kitabu cha maombolezo alipokwenda kutoa pole nyumbani kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Kwanza wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji...

 

3 years ago

Mtanzania

Chadema kutoa tamko zito

Tumaini Makene

Tumaini Makene

* Kurushwa na vituo vitatu vya TV

Na MWANDISHI WETU, Dar es Salaam

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), leo kinatarajia kulihutubia taifa kupitia vyombo vya habari vya ndani na nje kuhusu maazimio ya Kamati Kuu iliyoketi kwa siku nne mfululizo.

Maazimio hayo ambayo yanaitwa ‘mazito na makubwa’ kuwahi kutolewa na chama hicho katika siku za hivi karibuni, yanatarajiwa kuonyeshwa moja kwa moja na vituo vitatu vya runinga   nchini.

Chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani