Cecafa yatoa pole kwa mauaji ya Garissa

Baraza la Vyama vya Soka vya Afrika Mashariki na Kati limesikitishwa na mauaji ya Chuo cha Garissa nchini Kenya.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

BBCSwahili

Watu 5 washtakiwa kwa mauaji ya Garissa

Watu watano wameshtakiwa kwa tuhuma za kula njama za kufanya kitendo cha ugaidi kuhusiana na shambulio lililofanywa na Al Shabaab huko Garissa

 

2 years ago

Michuzi

NRA YATOA POLE KWA WAFIWA NA WAKAZI WA ARUSHA KWA AJALI MBAYA ILIYOTOKEA JANA

KATIBU MKUU wa chama cha National  Reconstruction Alliance (NRA) Hassan Almas Kisabya (pichani kulia) ametoa pole kwa wafiwa,wakazi wa Arusha na Tanzania kwa ujumla kutokana na msiba mkubwa uliotokea Leo na kusababisha vifo vya wanafunzi   huko Karatu.Akiongea na wanahabari ofisini kwake, Almas amesema,NRA wamepokea kwa mstuko taarifa hiyo ya ajali na vifo vya wanafunzi ambao ni nguvu kazi ijayo ya Taifa letu.Kwa niaba  ya NRA, Almas amewataka wazazi ,Ndugu ,jamaa ,wana Arusha na watanzania...

 

2 years ago

Zanzibar 24

CCM Zanzibar yatoa pole kwa wananchi waliopata athari zinazotokana na Mvua

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar  kinatowa pole kwa wananchi wote walioathiriwa na mvua zinazoendelea kunyesha nchini kote.

Mvua hizi zinazoendelea kunyesha zimeathiri maeneo mbali mbali hasa katika kisiwa cha Pemba. Maeneo hasa yalioathiriwa yakiwemo Vijiji  vya Mbuyuni, Mwambe, Uweleni, Makombeni, Ukutini, Kendwa, Vitongoji, Chamanangwe na maeneo mengine katika Mikoa ya Kusini na Kaskazini Pemba. Pia zimeathiri miundombinu, majengo ya wananchi na ya Serikali.

Pamoja na juhudi...

 

2 years ago

Zanzibar 24

SMZ yatoa mkono wa pole kwa ADATADEA kufuatia kifo cha mwenyekiti wake

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imetoa mkono wa pole kwa Chama cha Siasa cha ADATADEA Taifa  kufuatia kifo cha Mwenyekiti wa Chama hicho Mzee John Lisa Chipaka.

Salamu hizo zimewasilishwa na Mjumbe wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Wazizi asiye na Wziaara Maalum wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mh. Juma Ali Khatibu wakati wa mazishi ya Mwanasiasa huyo Mkongwe
Tanzania yaliyofanyika leo mchana katika Makaburi ya Kindondoni Jijini Dar es salaam.

Mh. Juma Ali Khatibu amemuwakilisha...

 

4 years ago

BBCSwahili

Raia wapinga mauaji ya washukiwa Garissa

Wakaazi wa mji wa Garissa nchini Kenya wamevishtumu vikosi vya usalama kwa kuwaua washukiwa wa ugaidi.

 

4 years ago

BBCSwahili

Mauaji Garissa:Simanzi yatanda Nairobi

Biwi la simanzi lilitanda pale jamaa na marafiki wa wanafunzi waliouawa walipofika katika chumba cha kuhifadhia maiti,Nairobi

 

4 years ago

BBCSwahili

Matukio 10 makuu baada ya mauaji Garissa

Imepita sasa juma moja tangu wanamgambo wa Al Shabaab kuua watu 148 huko Garissa,matukio 10 makuu yaliyofuatia tukio hilo.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani