CECAFA YATOA RATIBA YA KAGAME 2015, YANGA KUKATA UTEPE NA GOR MAHIA TOKA KENYA


Rais wa Baraza la Vyama vya Soka kwa nchi za Afrika Mashariki na Kati, Leodgar Tenga leo ametangaza kuanza kwa michuano ya kombe la Kagame itakayoanza kutimua vumbi Julai 18, 2015 na kumalizika Agosti 2 mwaka huu jijii Dar es salaam.
Akiongea na waandishi wa habari leo katika ofisi za TFF zilizopo Karume, Tenga ameishukuru serikali ya Tanzania na TFF kwa kukubali kuwa wenyeji wa michuano hiyo mikubwa, vyombo vya habari na wapenzi wa mpira wa miguu nchini kwa sapoti yao na kuipokea kwa mikono...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Michuzi

AZAM FC YATWAA UBINGWA WA CECAFA KAGAME CUP 2015 KWA KUICHAPA GOR MAHIA YA KENYA BAO 2-0


Wachezaji wa timu ya Azam FC ya jijini Dar es salaam wakisherehekea ubingwa wao wa Kombe la Cecafa Kagame Cup 2015, mara baada ya kuitungua timu ya Gor Mahia ya nchini Kenya Bao 2-0, katika mtanange uliopigwa kwenye Uwanja wa Taifa, Jijini Dar es salaam leo.Balozi wa Rwanda nchini Tanzania,Mhe. Eugene Segore Kayihura (wa pili kulia) akikabidhi kitita cha Dola za Kimarekani eflu 30 kwa Nahodha wa Timu ya Azam FC, John Bocco "Adebayor" ikiwa ni zawadi ya ushindi wa kwanza iliyotolewa na...

 

2 years ago

Mwanaspoti

Rooney kukata utepe kwa Gor Mahia

Mshambuliaji Wayne Rooney atacheza mechi yake ya kwanza akiwa na kikosi cha Everton leo dhidi ya Gor Mahia kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam (saa 11:00 jioni).

 

4 years ago

BBCSwahili

CECAFA:Yanga kumenyana na Gor Mahia

Huku michuano ya kombe la CECAFA mwaka huu ikianza siku ya jumamosi mjini Dar es Salaam,mechi tatu zitachezwa lakini kati yazo hakuna iliojaa mbwembwe kama ile ya Yanga ya Tanzania dhidi ya Gor Mahia ya Kenya.

 

4 years ago

BBCSwahili

CECAFA:Gor Mahia yainyamazisha Yanga

Mabingwa wa ligi ya soka nchini Kenya Gor Mahia walitoka nyuma na kuinyamazisha timu ya yanga kutoka Tanzania 2-1 katika mechi yao ya ufunguzi wa kombe la CECAFA katika uwanja wa kitaifa wa Dar es Salaam.

 

5 years ago

TheCitizen

Cecafa salutes Yanga, Gor Mahia

The Council of East and Central Africa Football Associations (Cecafa) has congratulated Young Africans and Gor Mahia for making it to the next round of the Africa club competitions.

 

4 years ago

Michuzi

AZAM YAINGIA FAINALI YA KAGAME 2015, KUCHEZA NA GOR MAHIA

 Beki wa Azam FC, Abbas  Mudathir Yahya akimiliki mpira huku akizongwa na mchezaji wa timu ya KCCA, Hassan Wasswa katika mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Kagame uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande)Mshambuliaji wa Azam FC, Kipre Tchetche akichuana na beki wa KCCA, Hassan Wasswa katika mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Kagame uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
 Beki wa Azam FC, Agrey Morris akichuana na beki wa KCCA,...

 

2 years ago

Mwanaspoti

Rooney ukata utepe kwa Gor Mahia

Mshambuliaji Wayne Rooney atacheza mechi yake ya kwanza akiwa na kikosi cha Everton leo dhidi ya Gor Mahia kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam (saa 11:00 jioni).

 

4 years ago

BBCSwahili

Timu 6 kukata utepe,CECAFA

Ratiba ya mechi ya mechi za ufunguzi katika michuano ya Kombe la Kagame CECAFA imekwisha kufahamika ambapo jumamosi hii APR ya Rwanda itakwana na Al Shandy ya Sudan.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani