Cesc Fabregas afunguka, asema Nimehamia Chelsea sababu Wenger kaniambia sina namba Arsenal

 Kiungo wa Spain  Cesc Fabregas (pichani) amefunguka leo kwa kusema alifanya mazungumzo na kocha wa Arsenal Arsene Wenge kabla ya kuhamia Chelsea, na kuambiwa kwamba nafasi yake tayari imeshacukuliwa na Mesut Ozil.  Fabregas alikuwa chagua la kwanza la Arsenal baada ya mchezaji huyo alipoamua kuondoka Barcelona mwishoni mwa msimu uliopita, lakini akamua kwenda Chelsea kwa dau la pauni milioni 30.  “Niliongea na Mzee Wenger naye akanambia atapata wakati mgumu kumpa nafasi ya kucheza kwani...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

GPL

FABREGAS: WENGER ALINIAMBIA SIHITAJIKI ARSENAL

Cesc Fabregas wakati akiongea na wanahabari nchini Brazil. KIUNGO wa Hispania, Cesc Fabregas amefunguka kuwa aliambiwa na Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger kuwa alikuwa hahitajiki katika timu yake maana nafasi yake tayari ilikuwa imechukuliwa na kiungo wa Ujerumani Mesut Ozil. Mesut Ozil. Fabregas amesema aliongea na Wenger kabla ya kufanya maamuzi ya kujiunga na Chelsea kwa… ...

 

3 years ago

BBCSwahili

Cesc Fabregas amwagiwa sifa na Antonio Conte

Meneja wa Chelsea, Antonio Conte amesifu mabao mawili yaliyofungwa na Cesc Fabregas lakini amesisitiza sifa hizo hazimaanishi chochote

 

2 years ago

Dewji Blog

Gareth Bale na Cesc Fabregas waitolea nje Manchester United

Kumbe kama mambo yangekwenda kama jinsi yalivyopangwa yawezekana kabisa kwa sasa Gareth Bale, Cesc Fabregas na Toni Kroos wangekuwa wakicheza soka katika klabu ya Manchester United lakini kutokana na dili zingine ambazo walikuwa wakizipata wakaipotezea Man United.

Hilo limejulikana baada ya kocha wa zamani wa an United, David Moyes kuzungumza kuhusu maisha yake ya soka wakati akifundisha timu hiyo na kusema kuwa mpango wake mkubwa ulikuwa ni kuiwezesha Man United kuzidi kuwa na mafanikio...

 

1 year ago

BBCSwahili

Arsene Wenger: Sina wasiwasi wa kufutwa kazi Arsenal

Vijana wa Wenger watakuwa wenyeji wa viongozi wa ligi Manchester City mechi ya Ligi ya Premia mnamo Alhamisi, siku nne baada yao kupokezwa kichapo cha 3-0 katika fainali ya Kombe la Carabao na Manchester City uwanjani Wembley.

 

3 years ago

Bongo5

Cesc Fabregas na mpenzi wake, Daniella wanatarajia kupata mtoto wao wa 3

Mchezaji wa klabu ya Chelsea, Cesc Fabregas na mpenzi wake, Daniella Semaan ambao wamejaaliwa kupata watoto wawili ambao wote ni wakike, Lia (amezaliwa 2013) na Capri (amezaliwa 2015).

fabregas

Kupitia account zake za Twitter na instagram, Fabregas amethibitisha kuwa wanataraji kupata mtoto wao wa 3, safari hii atakuwa wa kiume.

cesc-fabregas-family

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote...

 

2 years ago

MillardAyo

TBT: Cheki picha za utoto za Neymar, Zidane, Gerard Pique na Cesc Fabregas

Moja kati ya vitu ambavyo inawezekana mtu wangu ukawa unavikosa kutoka kwa mastaa wako wa soka ni picha zao za utoto, mara nyingi umekuwa ukiona picha zao za ukubwani na wakiwa katika mafanikio katika soka. Leo naomba nikusogezee TBT pichaz za mastaa wa soka wa timu ya taifa ya Hispania Cesc Fabregas na Gerard Pique, mshambuliaji wa FC […]

The post TBT: Cheki picha za utoto za Neymar, Zidane, Gerard Pique na Cesc Fabregas appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

TheCitizen

Chelsea date Arsenal as Wenger celebrates 20th

Arsene Wenger celebrates his 20th anniversary as Arsenal manager this weekend against opponents who have caused him more anguish than almost any other team.

 

4 years ago

Africanjam.Com

WHAT JOSE MOURINHO SAID ABOUT WENGER BEFORE TODAY'S CHELSEA CLASH WITH ARSENAL

José Mourinho has said his history with Arsène Wenger and Arsenal will have no bearing on Chelsea’s latest meeting with the Gunners at Stamford Bridge on Saturday lunchtime and he will offer his hand to his rival before kick-off.There is no love lost between the pair and they have previous in terms of flashpoints, the most recent of which came at the Community Shield last month, when they did not shake hands after Arsenal’s victory. Wenger appeared to give Mourinho a deliberately wide berth...

 

2 years ago

Mwananchi

Arsenal inakabiliwa na vita mbili, asema Wenger

Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger amekiri timu yake inakutana na mtihani wa kumaliza ndani ya timu nne za juu huku ikiwa bado na lengo la kuifukuza Chelsea kileleni.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani