CFAO MOTORS WAIFIKISHA KWA MARA YA KWANZA MERCEDECE BENZ GCL CLAA JIJINI ARUSHA

Mkurugenzi wa kampuni ya kuagiza,kuuza na kutengeneza magari ya Arusha Arts,  Gunvant Sachev (kushoto) akipokea tuzo ya uwakala bora katika kuuza vipuri na magari aina ya mercedece benz kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya CFAO Motors, Wayne McIntosh (wapili kushoto) wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa gari aina ya mercedece benz GCL class jijini arusha ikiwa ni mara ya kwanza gari hiyo kuingizwa jijini Arusha. 

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Dewji Blog

CFAO MOTORS waifikisha kwa mara ya kwanza Mercedes Benz GCL Class jijini Arusha

Mkurugenzi wa kampuni ya kuagiza, kuuza na kutengeneza magari ya Arusha Arts,  Gunvant Sachev (kushoto) akipokea tuzo ya uwakala bora katika kuuza vipuri na magari aina ya Mercedes Benz kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya CFAO Motors, Wayne McIntosh (wapili kushoto) wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa gari aina ya Mercedes Benz GCL Class jijini Arusha ikiwa ni mara ya kwanza gari hiyo kuingizwa jijini Arusha.

new-mercedes-benz-gl-class-wallpaper-1_640x480

 

 

3 years ago

Dewji Blog

CFAO Motors delivers Mercedes-Benz trucks to CocaCola Kwanza

Friday 16 th September 2016 a beautiful sunny day here in Dar es Salaam Tanzania, CFAO Motors Tanzania secured a tender to supply 8 units Brand New Mercedes Benz Actros 2032 Trucks to Coca Cola Kwanza Tanzania.

Our business relationship is of many years as they already have a fleet of more than 40 units Mercedes Benz Trucks. The Truck with the quality star, as they trust the brand that keeps their delivery line rolling 24/7.

p1000637

The delivery ceremony was of its own kind as seen on key handing...

 

5 years ago

GPL

CFAO MOTORS WAZINDUA TOLEO JIPYA LA MERCEDES BENZ JIJINI DAR‏

Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya CFAO Motors, Bw.Wayne McIntosh akiteta jambo na baadhi ya wageni waalikwa kwenye hafla fupi ya uzinduzi wa toleo jipya la gari aina ya Mercedes Benz E-Class uliofanyika jijini Dar kwenye hoteli ya Capetown Fish Market. Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya CFAO Motors, Bw.Wayne McIntosh (wa pili kulia) na Meneja Masoko wa CFAO Motors, Bi. Tharaia Ahmed (wa pili kushoto) wakibadilishana mawazo na...

 

4 years ago

Dewji Blog

Mercedes -Benz CFAO Motors yakabidhi malori 15 kwa kampuni ya mizigo SIGNON

0014

Meneja Mauzo wa Maroli ya Mercedes Benz (CFAO MOTORS), Bw Jerome Sentmea (kushoto), akimkabidhi mfano wa ufunguo wa gari Mkurungenzi wa Kampuni ya Usafirishaji mizigo (SIGNON), Bw Daniel Kiyan,malori 15 yamekabidhiwa kwa Mkurugenzi huyo kwaajili yakusafirishia mizigo wengine wanaoshuhudia (katikati), Afisa Mauzo wa Cfao Motors Bi Manka Oriyo, na wakwanza kulia Afisa Masoko na Huduma Cfao Motors Bi Angelina Ndege makabidhiano hayo yalifanyika makao makuu ya ofsi ya MERCEDES BENZ CFAO MOTORS...

 

5 years ago

Dewji Blog

CFAO Motors yaanzisha huduma mpya kwa wamiliki wa malori ya Mercedes Benz nchini

DSC_0426

Msimamizi wa ufundi wa Magari aina ya Mercedes Benz  kutoka kampuni ya CFAO Motors Bw. Winner Mushi (wa tatu kushoto) akionyesha matumizi ya kifaa maalum cha ukaguzi wa Malori ya Mercedes Benz (Star Diagnosis Machine) kwa baadhi ya mafundi na wasimamizi wa ufundi wa magari ya kampuni ya Bakhresa Group.

Bakhresa Group ni mmoja wapo wa wateja wa CFAO Motors ambao wanamiliki malori ya Mercedes Benz. Bw. Heico Herzog Mtaalamu wa ufundi (Flying Doctor) kutoka Mercedes Benz Ujerumani,(wa tatu...

 

3 years ago

Dewji Blog

CFAO Motors Group yang’arisha Bongo Carnival 2016 kwa magari ya kisasa

Kampuni ya CFAO Motors Group ambayo ndiyo wauzaji waliodhibitishwa wa magari ya Volkswagen na Mercedes Benz nchini wameshiriki katika Tamasha la Bongo Carnival 2016 ambapo bidhaa zao zimeonekana kuwa kuvutiwa na watu mbalimbali walioshiriki katika tamasha hilo.

Akizungumza na MO BLOG, Meneja Masoko wa CFAO Motors Group, Bi. Attu Mynah amesema walishiriki katika tamasha hilo ambalo linakujumuisha watoto mbalimbali ili kufurahi nao pamoja lakini pia kuonyesha bidhaa zinazouzwa na kampuni...

 

3 years ago

Dewji Blog

Shule 18 Dar kunufaika na elimu ya usalama barabarani kutoka kwa CFAO Motors Group na Alliance Autos

Katika kusaidia kupambana na ajali za barabarani kwa watoto wa shule za msingi jijini Dar es Salaam, kampuni ya CFAO Motors Group kwa kushirikiana na Alliance Autos ambao ni wauzaji wa magari ya Volkswagen wametoa msaada wa elimu na vifaa vya usalama barabarani kwa shule 18 zilizo katika Manispaa ya Ilala, Dar es Salaam.

Akizungumzia msaada huo Meneja wa Volkswagen nchini, Tharaia Ahmed amesema kuwa lengo la kutoa elimu na vifaa hivyo ni kuwasaidia wanafunzi wa shule ambao wengi wao wamekuwa...

 

2 years ago

Bongo Movies

Video: Chid Benz afunguka kwa mara ya kwanza baada ya kutoka Rehab ‘Stay away from Drugs’

Rapa Chid Benz amefunguka kwa mara ya kwanza tangia atoke Rehab alikokuwa akipata matibabu ya kuachana na matumizi ya madawa ya kulevya na amewaasa vijana watu,iaji wa Tanzania kuacha kabisa mchezo huo.

Rapa Chid Benz

Chid Benz ambaye anaonekana mwenye afya na uso wenye furaha, amesema madawa ya kulevya sio ya kuyazungumzia. Amesema kama mtu hataki kujutia maisha yake yote basi aachane na mchezo huo mara moja.

“Stay away from Drugs,wakae mbali sana na madawa ya kulevya kitu kibaya sana...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani