CHADEMA 19 NA 17 ACT-WAZALENDO WATIMKIA CCM


CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Mwananchi

Wanachama CCM watimkia ACT- Wazalendo

Zaidi ya wanachama 100 kutoka CCM, Kata ya Chihanga, Manispaa ya Dodoma wamejiunga na ACT- Wazalendo.

 

3 years ago

Mwananchi

Chadema, ACT-Wazalendo waijibu CCM

Chadema na ACT-Wazalendo hutofautiana kwa mengi, lakini jana waliungana kuitolea uvuvi CCM baada ya msemaji wa chama hicho tawala, Christopher ole Sendeka kuwazungumzia vibaya Edward Lowassa na Zitto Kabwe.

 

3 years ago

CloudsFM

ACT-Wazalendo Kuvuna Wabunge Kutoka CCM na CHADEMA

Baada ya vumbi la uchaguzi mkuu kuanza kumtika tumeona kura za maoni zinazoendelea kupigwa kutoka Chadema na CCM kwenye kila jimbo.

Chadema wanachagua wagombea ili baadae watakapokubaliana na wenzao CUF, NCCR Mageuzi, NLD, itabidi baadhi ya Majimbo wapewe vyama hivyo ambavyo vipo kwenye umoja huo UKAWA.

Na hapo ndiyo utazuka mgogoro mkubwa wa baadhi ya wagombea ambao majimbo yao watapewa UKAWA, hapo ndipo ACT-Wazalendo watakapojipatia wagombea wanaokubalika na kuwasimamisha kama wagombea wa...

 

2 years ago

Michuzi

KIGOGO WA CHADEMA NA ACT-WAZALENDO AHAMIA CCM NA WAFUASI WAKE


Aliyekuwa Mratibu wa Kanda ya Pwani wa Chadema, na Baadaye Mratibu wa Kampeni wa ACT Wazalendo wakati wa uchaguzi Mkuu ulipita, Nixon Tugara akikabidhiwa kadi ya CCM na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana alipoamua kuhamia CCM wakati wa uzinduzi wa jengo la Kitegauchumi la CCM, Upanga jijini Dar es Salaam, leo.Nixon Tugara akifurahia kadi yake ya CCM baada ya kukabidhiwa na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana wakati wa hafla ya uzinduzi wa jengo la Kitegauchumi la CCM, Upanga...

 

5 years ago

Michuzi

KAMPENI ZA CCM KALENGA ZATINGA KIJIJI ALICHOZALIWA MGOMBEA WA CHADEMA, MWENYEKITI WA CHADEMA NA WANACHAMA 50 WATIMKIA CCM

 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kijiji cha Wangama, Fred Mgata (kulia) akikabidhi kadi za chyama hicho kwa Katibu wa CCM Mkoa wa Iringa, Hassan Mtenga baada ya yeye na wanachama wengine 50 wa Chadema kuamua kukihama na kujiunga CCM katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika  katika Kijiji hicho kilichopo Kata ya Luhota, Iringa Vijijini leo. Mgombea ubunge wa Jimbo la Kalenga kupitia Chadema ambaye ni mzaliwa wa kijiji hicho,  Grace Tendega alikuwa chini ya...

 

2 years ago

Michuzi

CCM YASOMBA WANACHAMA WAPYA 102 WAKIWEMO WA CUF,CHADEMA NA ACT WAZALENDO WILAYANI KAKONKO MKOANI KIGOMA


Na Rhoda Ezekiel Kigoma,
Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma imevuna jumla ya wanachama wapya 102 kutoka chama cha Act Wazalendo na Chama cha Wananchi Cuf.
Wanachama hao ambao wamepokelewa na mjumbe wa halmashauri kuu ya Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kigoma Prof Joyce Ndalichako ambaye aliwakabidhi wanachama hao wapya kadi 102 , akiwemo Mwenyekiti wa Chama cha ACT wazalendo Wilaya ya Kakonko pamoja na Mwenyekiti wa Chama cha wananchi CUF Wilayani humo .
Zoezi hilo alilifanya...

 

1 year ago

Michuzi

ACT WAPATA PIGO ,VIONGOZI WA NNE NA WAFUASI 45 WATIMKIA CCM

Chama cha ACT Wazalendo wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma , kimepata pigo baada ya viongozi wake wa nne na wafuasi 14 ambao ni wananchama kuhamia Chama tawala Chama cha Mapinduzi (CCM). Viongozi hao wamesema wamechukua maamuzi ya kuhamia CCM baada ya kuona utendaji kazi wa Mhe , Rasi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Maguful kuwa ni mzuri,pamoja na kusema chama hicho cha ACT hakina uwezo wala mwelekeo wa kuchukua dola, hivyo wamesema wapo sahihi kuhamia CCM ili kuendana na...

 

2 years ago

Mwananchi

Makada wa Chadema watimkia CCM

Makada 15 wa Chadema waliojitambulisha kuwa viongozi wa chama hicho Wilaya ya Ilemela Mkoa wa Mwanza  wamehama chana hicho na kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM).

 

4 years ago

Mtanzania

Vigogo CCM Arusha watimkia Chadema

IMG_20150809_114435NA ELIYA MBONEA, ARUSHA

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Arusha, Onesmo Ole Nangole na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Mkoa huo, Isack Joseph, wamekihama chama hicho na kujiunga na Chama cha  Demokrasia na Maendeleo (Chadema).

Ole Nangole na Joseph walifikia uamuzi huo jijini hapa jana na kusema kwa nyakati tofauti wamelazimika kuchukua uamuzi huo kwa kuwa utaratibu wa kumpata mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ulikiukwa.

Kwa mujibu wa wana CCM hao, wakati wa mchakato...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani