CHADEMA Kaskazini yalaani unyama aliofanyiwa Tundu Lissu

CHADEMA Blog

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Channelten

Kukamatwa kwa Tundu Lissu Chadema yalaani hatua ya jeshi la Polisi

Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimelaani kitendo cha Jeshi la Polisi kumkamata Mwanasheria Mkuu wa Chama hicho na Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lisu kwa kile ilichodai bila kuzingatia kanuni na taratibu za Bunge huku ikilitaka Jeshi hilo kumwachia Mbunge huyo kwa dhamana.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaaam Katibu Mkuu wa CHADEMA Dk. Vicent Mashinji amedai kitendo kilichofanywa na Jeshi hilo cha kumkamata Tundu Lisu akiwa katika maeneo ya Bunge ni...

 

1 year ago

Malunde

CCM YALAANI TUNDU LISSU KUPIGWA RISASI

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia kwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Humphrey Polepole kimelaani kitendo alichofanyiwa Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu kwa kupigwa risasi leo mchana nyumbani kwake Dodoma.
Taarifa hiyo ya CCM inalaani kitendo hicho cha kikatili na kusema si kitendo cha utu hivyo kimelitaka jeshi la polisi kufanya uchunguzi wa tukio hilo na kuwachukulia sheria kali wote ambao watapatikana kuhusika katika tukio hilo. 

 

1 year ago

VOASwahili

Marekani yalaani kupigwa risasi Tundu Lissu

Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania Ijumaa imelaani tukio la kushambuliwa kwa risasi Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu.

 

1 year ago

Malunde

KAKA WA TUNDU LISSU AFUNGUKA ALICHOKIONGEA TUNDU LISSU BAADA YA KUTOKA ICU

Kaka wa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, Alute Mughwai ameeleza jinsi alivyomtoa mdogo wake chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) na kile ambacho alikisema mara tu baada ya kutoka ndani kwa mara ya kwanza.
Akizungumza na Mwananchi leo Jumatano, Alute amesema Lissu mara baada ya kutoka si yeye pekee alifurahi hata ndugu zake waliokuwapo walifurahia tukio hilo.
“Manesi walipanga kumtoa nje Jumamosi (Oktoba 14) na kwa kuwa Lissu alijua tunakwenda, aliwaeleza wasimtoe wasubiri ndugu zake...

 

1 year ago

CHADEMA Blog

KAMBI RASMI YA UPINZANI YALAANI VITENDO VIOVU ALIVYOTENDEWA MNADHIMU MKUU WA KAMBI YA UPINZANI MHE TUNDU LISSU

Kambi rasmi ya upinzani bungeni imelaani na kupinga vitendo viovu alivyotendewa Mnadhimu wa Kambi hiyo, Tundu Lissu, ambaye alinusurika kifo baada ya kushambuliwa na watu wasiojulikana Septemba 7, mwaka huu mjini Dodoma Lissu ambaye ni Mwanasheria Mkuu wa Chadema, anaendelea kupatiwa matibabu katika hospitali moja ya Nairobi, Kenya.Akiwasilisha bungeni maoni ya kambi rasmi ya upinzani

 

3 years ago

Raia Mwema

Tundu Lissu kuwa mbadala wa Mbowe Chadema?

 

Na Ezekiel Kamwaga

TUNDU AntiphasLissu (48) nifumbo (enigma). Ni muumini wa siasa za mrengo wa kushoto anayevuma katika chama cha kisiasa kilichojengwa kwenye misingi ya mrengo wa kulia.

Ni mwanaharakati anayefanya vema katika eneo ambalo wanasiasa ndio wanaopewa nafasi. Ni mwanasheria anayefanya siasa zinazowasumbua wanasiasa waliobobea katika eneo hilo.

Ni nani huyu Tundu Lissu ambaye kwenye wiki za karibuni ametawala vyombo mbalimbali vya...

 

1 year ago

BBCSwahili

Chadema chakosoa hali ya uchunguzi wa Tundu Lissu

Chama cha upinzani nchini Tanzania Chadema kimeuliza maswali mengi kuhusu hatua zilizopigwa katika uchunguzi wa Mbunge wa Singida mashariki Tundu Lissu ambaye mwezi uliopita alipigwa risasi

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani